FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,236
- 2,512
- Thread starter
- #61
Peleka ubishi wa kitoto shule, kafanye homweki kwanza na ukimaliza kalale.Labda wewe, Ndyo unaitaji huruma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peleka ubishi wa kitoto shule, kafanye homweki kwanza na ukimaliza kalale.Labda wewe, Ndyo unaitaji huruma
Na hiyo ndio maana ya mimi kutumia neno "Very Advanced."Sasa unafikiri usalama wetu wameshindwa kuwa diplomatic na kujificha hadharani kama unavyoelezea hapo???? Ngoja mama akiwa anafanya kampeni utanieleza kama majamaa yatakuwa yamevaa combat na mi himars mkononi.
Boss, nimeshasema ni kwa wote wanaofanya hivi, na mnajua hii tabia ilianzia wapi... na ni kwamba inafanywa kimaksudi ili kuleta fear!!! Kitu ambacho narudia tena, hakiendani na hali ya 'kiongozi aliyechaguliwa na wanachi' kwa sababu anatakiwa ku appear approachable kwa wananchi.Kwa hiyo we,ndiyo mara yako ya kwanza kuona kiongozi wa nchi
Tz akilindwa na mtutu...ehhh
Ova
Kiongozi tuliyenaye sasa hivi hakuchaguliwa na wananchi bali ameingia kwenye nafasi ya urais kama replacement. Hiyo ni sababu tosha ya kuongeza ulinzi. Bado, ukilinganisha hali ya kiuchumi na kisiasa kwa sasa nchini ni wazi Rais ameongeza maadui wengi zaidi kuliko kipindi ameingia madarakani au kipindi chochote kile.Boss, nimeshasema ni kwa wote wanaofanya hivi, na mnajua hii tabia ilianzia wapi... na ni kwamba inafanywa kimaksudi ili kuleta fear!!! Kitu ambacho narudia tena, hakiendani na hali ya 'kiongozi aliyechaguliwa na wanachi' kwa sababu anatakiwa ku appear approachable kwa wananchi.
Ndo hivyo,Hapi umenipata kabisa mkuu, kuna majamaa humu hawajaelewa kabisa nachomaanisha.
Definately not, ila usalama wanapatia mafunzo huko, usalama ni very very highly trained officers, best of the best nchini....point is, kwa Tanzania, rais akitaka kufanyiwa baya, hawatamtungua kwa marisasi...hapo ni unachezewa na kemikali....sasa mi himars na kemikali ni wapi na wapi.Na hiyo ndio maana ya mimi kutumia neno "Very Advanced."
Je unadhani sisi tupo Advanced vya kutosha kwenye sector ya usalama wa Kitaifa ukilinganisha na Marekani?
Baaaaaas! Sasa tuko pamoja....katika hali ya kuwa sarcastic, ningekujibu kwamba, alichaguliwa maanake, alikuwa kwenye kampeni na mwendazake kama mgombea mwenza.Kiongozi tuliyenaye sasa hivi hakuchaguliwa na wananchi bali ameingia kwenye nafasi ya urais kama replacement. Hiyo ni sababu tosha ya kuongeza ulinzi. Bado, ukilinganisha hali ya kiuchumi na kisiasa kwa sasa nchini ni wazi Rais ameongeza maadui wengi zaidi kuliko kipindi ameingia madarakani au kipindi chochote kile.
Sababu wananchi wengi wana maumivu ya maamuzi dhaifu kutoka juu. Hizo ni sababu chache kati ya nyingi za kuboresha na kumuongezea ulinzi.
Umeishawahi kuona jinsi pesa na sigara zinavyosafirishwa?Mpaka hapo uzi kamili....
Nimeona mama yuko ziara, halafu majamaa yamepiga combat, na mitutu juu, halafu ziara yenyewe ni kaenda kuona wananchi wake.
Hii ina effect gani kisaikolojia kwa wananchi? Na inamaanisha nini? Maanake sio kwamba usalama wameshindwa kuweka usalama pasipo 'ku send message'....sijui kama naeleweka lakini.
Hata kama atalindwa na watu, wavae mavazi ya kawaida, waweke mitutu ndani ya makotiMoja kati ya kukosa uelewa wa vipngozi wankiafrika ni kuwa na fikra za kizamani Sana kuhusu kuuawa!!
KWA teknolojia ya kisasa haihitaji wadunguaji kuua mtu mkubwa kama kennedy wa america bali technology ya mauaji ya kemikali sumu na mionzi,
Ni vizuri tukajikita kwenye ulinzi wa klteknolojia kuliko kuleta taharuki kwenye JAMII kama hivyo!!
Hiwezi kuyaona uote hayo KWA nchi zilizopiga hatua,kiongozi anapaswa kulindwa KWA vifaa maalumu kilomita kadhaa toka aliepo na sio kulindwa na watu!!
Mungu aibariki nchi yangu Tanzania!!
Labda anamuonyesha Bashiru Kwamba yupo kamili Gado!Hata kama atalindwa na watu, wavae mavazi ya kawaida, waweke mitutu ndani ya makoti
Mimi ni mlipa kodi mashuhuri tu kwenye sekta ya pombe na sigara....bila shaka zipewe ulinzi wa kupindukia...hatuna shida maanake saa ya kununua hakuna kona nyingi.Umeishawahi kuona jinsi pesa na sigara zinavyosafirishwa?
Raisi wa nchi sio kstibu kata,ukimuua Raisi,nchi inaingia kwenye msuko suko,Raisi wa nchi,amebeba Siri nyingi za nchi,akipata shida nchi inayumba,lazima apewe ulinzi mzito.
Sasa kwenye uhalisia kwa hapa bongo,hao walinzi wake,ni swaga tu wanaonyesha ni wepesi kama mrenda,watu wakiamua kumpopoa Raisi wa Tz,wanampata faster sana,
Rushwa imechsngia,kuingiza watoto wa wakubwa,wasio jua kitu,wapo pale kula bata tu,wakija kitaa tunagombea nao madem
Kiongozi mkubwa wa nchi au taifa lolote lazima ana adui sababu yeye kwa nafasi yake hawezi kumridhisha kila mtu.Sasa hoja ndio kama hizi, wengine humu ni ubishi tu. Na hawaelewi mada. Hiyo 'Deterrence' ni dhidi ya kina nani? Kama ni wananchi wake, kwa nini?
Uko sahihi kabisa, na kuhusu suala la usalama, ni paramount. Lazma watu wa kadhia hii wapewe ulinzi bora kuliko yeyote nchini.....Kiongozi mkubwa wa nchi au taifa lolote lazima ana adui sababu yeye kwa nafasi yake hawezi kumridhisha kila mtu.
Kuna ambao wana tamaa ya madaraka wanaweza kutaka kumuondoa wachukue nafasi.
Kuna wenye hisia za kizalendo kupitiliza wanaweza kuona hafanyi kwa maslahi ya nchi wakataka kumuondoa.
Kuna wahalifu kama wauza dawa za kulevya wanaweza kutaka kumuondoa waweke mtu atakaye waachia wafanye biashara yao bila kusumbuliwa. .... n.k.
Usijidananye atakuja kutokea au alitokea kuwepo raisi au kiongozi yeyote duniani atapendwa/alipendwa na kila mtu anaye muongoza au na watu wa nchi za nje wanaotaka maslahi yao flani yatekelezwe na nchi nyingine. Lakini kiuhalisia watakacho hao wa nchi za nje kitaathiri maslahi ya nchi nyingine.
Kuna watu wanaohisi hafuati maslahi ya dini flani, n.k. Mfano kuna dini au tamaduni hazitaki kuongozwa na mwanamke.
Fikiri kwa upana usiwaze kiushabiki wa kisiasa.
ipo iyo video.na kuna uzi humu kuna jamaa liuweka kujadili hilo.Mmmhhh! Hii mbona kali, na vyombo vya habari vikakaa kimya?
nimshaelewa.kwa cord ulizoficha ni kutisha watu.Mkuu, umepotea kabisa! Sijui kama unaweza saidiwa hapa.
ukileta mada kuwa specific ili watu wachangie kwa usahihi.Tumia akili yako hata kwa sekunde mbili tu kabla hujaja kuandika upuuzi humu.
Hapo ilikuwa as specific as I could get mkuu.ukileta mada kuwa specific ili watu wachangie kwa usahihi.
Kwahiyo Samia naye anafuata kasumba ya Ibilisi?Hii kasumba aliianzisha Ibilisi Magufuli.
Na wewe Ndugai.