Rais anavyotembea na walinzi waliobeba mitutu anaonesha nini wananchi?

Rais anavyotembea na walinzi waliobeba mitutu anaonesha nini wananchi?

Mikwala ni Deterrence ya gharama nafuu mkuu
Sasa hoja ndio kama hizi, wengine humu ni ubishi tu. Na hawaelewi mada. Hiyo 'Deterrence' ni dhidi ya kina nani? Kama ni wananchi wake, kwa nini?
 
Mkuu rejea ile video ya issis wa Msumbiji walisema wanataka kumla kichwa Rais wa TZ.
maadui wapo wa nje na ndani uwezi kuwa Rais kwa nchi zetu hizi za matopeni alafu ukaacha kujilinda,hata uwe unagawa mamilioni kwa wanachi bado kuna maadui watakuwepo tu.
Mmmhhh! Hii mbona kali, na vyombo vya habari vikakaa kimya?
 
Moja kati ya kukosa uelewa wa vipngozi wankiafrika ni kuwa na fikra za kizamani Sana kuhusu kuuawa!!

KWA teknolojia ya kisasa haihitaji wadunguaji kuua mtu mkubwa kama kennedy wa america bali technology ya mauaji ya kemikali sumu na mionzi,

Ni vizuri tukajikita kwenye ulinzi wa klteknolojia kuliko kuleta taharuki kwenye JAMII kama hivyo!!

Hiwezi kuyaona uote hayo KWA nchi zilizopiga hatua,kiongozi anapaswa kulindwa KWA vifaa maalumu kilomita kadhaa toka aliepo na sio kulindwa na watu!!

Mungu aibariki nchi yangu Tanzania!!
 
Niambie wewe ni nchi zipi Duniani zilizoendelea Rais akakosa ulinzi madhubuti?

ntajie nchi isiyo na wajinga,maradhi na umasikini alafu Rais alindwi?
Mkuu, umepotea kabisa! Sijui kama unaweza saidiwa hapa.
 
Moja kati ya kukosa uelewa wa vipngozi wankiafrika ni kuwa na fikra za kizamani Sana kuhusu kuuawa!!

KWA teknolojia ya kisasa haihitaji wadunguaji kuua mtu mkubwa kama kennedy wa america bali technology ya mauaji ya kemikali sumu na mionzi,

Ni vizuri tukajikita kwenye ulinzi wa klteknolojia kuliko kuleta taharuki kwenye JAMII kama hivyo!!

Hiwezi kuyaona uote hayo KWA nchi zilizopiga hatua,kiongozi anapaswa kulindwa KWA vifaa maalumu kilomita kadhaa toka aliepo na sio kulindwa na watu!!

Mungu aibariki nchi yangu Tanzania!!
Yani hapo ni wananchi wananyamzishwa, hakuna cha usalama wa mibunduki kama ile.
 
Huo ulinzi uliouna bado hautoshi. Rais ni taasisi sio mtu mmoja, ni uso wa Nchi. Kwa wenzetu kwakua wapo very advanced kwenye sector ya ulinzi sometimes inakuwa ngumu kuona idadi yao kamili. Lakini kuna uwezekano walinzi wapo kila sehemu na wengine huwezi kuwadhania. Dunia sio pepo na hata iweje hauwezi pendwa na kila mtu especially ukiwa uso wa Nchi.
 
Sasa unafikiri usalama wetu wameshindwa kuwa diplomatic na kujificha hadharani kama unavyoelezea hapo???? Ngoja mama akiwa anafanya kampeni utanieleza kama majamaa yatakuwa yamevaa combat na mi himars mkononi.
 
Mpaka hapo uzi kamili....

Nimeona mama yuko ziara, halafu majamaa yamepiga combat, na mitutu juu, halafu ziara yenyewe ni kaenda kuona wananchi wake.

Hii ina effect gani kisaikolojia kwa wananchi? Na inamaanisha nini? Maanake sio kwamba usalama wameshindwa kuweka usalama pasipo 'ku send message'....sijui kama naeleweka lakini.
Kwa hiyo we,ndiyo mara yako ya kwanza kuona kiongozi wa nchi
Tz akilindwa na mtutu...ehhh

Ova
 
Back
Top Bottom