Mcanada
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 982
- 1,942
Wanalinda nini na kwa maslahi ya nani ikiwa nchi ipo wazi inaibiwa, na huyo wanayemlinda hana nguvu ya kuwazuia nyuma ya pazia.. ni upuuzi na upumbavu mkubwa kulinda sanamu lisilo na thamani shwain..Mpaka hapo uzi kamili....
Nimeona mama yuko ziara, halafu majamaa yamepiga combat, na mitutu juu, halafu ziara yenyewe ni kaenda kuona wananchi wake.
Hii ina effect gani kisaikolojia kwa wananchi? Na inamaanisha nini? Maanake sio kwamba usalama wameshindwa kuweka usalama pasipo 'ku send message'....sijui kama naeleweka lakini.