Rais anavyotembea na walinzi waliobeba mitutu anaonesha nini wananchi?

Wanalinda nini na kwa maslahi ya nani ikiwa nchi ipo wazi inaibiwa, na huyo wanayemlinda hana nguvu ya kuwazuia nyuma ya pazia.. ni upuuzi na upumbavu mkubwa kulinda sanamu lisilo na thamani shwain..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…