Rais anayekuja kazi yake kubwa iwe kurudisha nchi kwenye uchumi wa kati

Rais anayekuja kazi yake kubwa iwe kurudisha nchi kwenye uchumi wa kati

World bank
View attachment 3675838
Source

Sijui mnatoa wapi taarifa zenu, huu uongo mara kwa mara unarudiwa humu jukwaani, kujua kama nchi ni middle ama lower income unaangalia tu GDP per Capita haiwezekani ufike 1300-1400 GDP per Capita na usiwe middle income.
Ohooo 😀😀
 
Uchumi wa kati wa juuu hahahaha siku hizi sisikiii hizo kelele tena za uchumi sijui wa kati daah
Kwa sababu viongozi waliopo sasa wanapambana kukuza chumi zao binafsi na familia zao badala ya kukuza uchumi wa nchi
 
Back
Top Bottom