Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,343
- 7,516
Si umeona mafanikio makubwa ya shule za kata, watoto ni werevu mno siku hizi, hivyo basi tumeona tukazie humo humo, ule ushauri wa ELIMU, ELIMU, ELIMU ndo huo.Kwa hiyo sasa hivi mmeghairi kujenga barabara za lami vijijini?
Maana mwanzo mlisema ni kwa ajili ya barabara za vijijini
Kama kuna sehemu yoyote umeona ujenzi wa darasa jipya ambao wanakijiji hawajachangishwa unishtue mkuu, upige na picha ya ushahidi, uiweke hapa.