Unapo taja trilion 4 unaziona ni nyingi sana hadi unaliziza zinafanya nini lakini unasahau kuna watanzania milion 62+ ambao bado wanahitaji mahitaji mengine kila siku na ndanibyake kuna wanachuo wanahitaji mikopo, kuna watumishi wa umma wanahitaji mishahara, kuna wastaafu wanahitaji pension na malipo yao ya mwenzi lakini kuna wanafunzi elimu bure wamo humo, hapo bado miradi mikubwa inayo jengwa na inahitaji mabilion ya pesa ,
hapo hapo wakulima wana lalamika mazao yao hayauziki , ndio maanabmwenda zake alikuwa anapiga porojo na uongo mwing lakini ndiye aliye kopa pakubwa ndani ya mda mfupi kuliko wote , kuongoza nchi sio sawa na kuongoza familia