Uongo gani sasa kasema hapo wewe kima?
Seems huna akili za kufikiria vizuri,Rais alisema pesa yote itakayopatikana kwa tozo kwa miezi ijayo zielekezwe kwenye ujenzi wa miundombinu ya madarasa na kununua samani..
Bado miezi 4 tuu shule zifunguliwe na je itaendelea kusubiria makusanyo ya kila mwezi hadi lini ikiwa tayari kuna pesa iko mkononi? Unadhani na pesa za kununulia mahindi zimetoka wapi?
Kuna mazingira ya dharura lazima u act kidharura.Tozo zitaendelea na lazima ziwe endelevu,toka zeanza hata miezi 4 bado ..
Alafu usijitoe ufahanu wakikamilisha madarasa zinarudi kwenye afya maana ndio kwanza wametoa pesa za majengo ya awali 3, Kazi ya ujenzi Ili angalau majengo ya kutoa huduma yafanyike ni majengo jumla 7