Kumchoma mwizi moto ni kujichukulia sheria mkononi, CHADEMA acheni tabia hii mara moja, mliyoitendea familia ya Akwilina inatosha!Kwaiyo nchi hii wezi wanaomba msamaha kesi inaisha?....nazani huo msamaha uende mpaka walioko magereza wapangwe uwanjani waombe msamaha kwa pamoja waachiwe wakajumuike na familia zao....inatia hasira Sana kuona wezi wa mabilion wanasamehewa bila kurudisha alafu mwizi wa simu anachomwa Moto mtaani au kuhukumiwa miaka 2
mkataba ulivunjwa kwa makubaliano ya pande zote zinazohusika.Hivi raisi anaweza kumsamehe mtu ambaye ndo yupo katika uchunguzi!!! Na hela zetu walipa kodi nani atazirudisha??
Kumbe Sio Mahakama Tena inayowatia watu hatiani au kuwafutia mashitaka bali ni rais? Majizi Yanajuana Na Kusameheana
Mie nilisema tangu mwanzoni kwamba suala hili lilikuwa ni kukurupuka tu kwa Magufuli, hakuna kesi hapa. Kile kilichosainiwa hakikuwa Mkatama ilikuwa MOU ambayo haina nguvu kisheria. Baada ya MOU ndio ungefuata Mkataba. MOU inaweka mazingira ya kujadiliana tu kuelekea mkataba.Namfatilia Hotuba ya Mh Rais akiwa anauhutubia Asakri Magereza katika sherehe ya uzinduzi wa jengo la ofisi za Magereza, sasa hivi kupitia TBC1 amekili kuwasamehe wale viongozi wote walio shiriki kusaini mkataba ulio kuwa na viashria vya RUSHWA akiwemo Aliyekuwa Kamishina Generali ndugu Andengenye na wenzake wanne.
Sambamba na msahama huo ameaidi kumpangia kazi nyingine ndugu Andengenye.
Sambamba na msamaha huo hajaweka wazi kama na yule mzee wetu aliye kuwa mjeda na baadae akawa mbeba sime ya spika,na baadae waziri mzuri mkata mauno kama nae atamssmehe au la!?
Pia amewataka mkuu wilaya ya Dodoma na mkurugenzi wa Jiji la Dodoma wapunguze KUOKUTA sasa WAOE.
Over.
Shida ni nini hapo, mbona haueleweki? WAKATI WA KUTUMBULIWA ILIKUWA HADHARANI, LEO KAWASAMEHE HADHARANI, ulitaka awasamehe kimya kimya au unataka nini?Attorney General AG / Mwanasheria Mkuu wa Serikali abebe mzigo wa kushitakiwa Serikali kwa kufanya makosa ya kuwatuhumu, kuwaharibia sifa mbele ya jamii n.k hawa maafisa.
Hatua ya uchunguzi? Kwa hiyo kelele zote zile ilikuwa ni za nini? Amekuwa mtoto wa chekechea?
Serikali inayopambana na ufisadi.
ivi mfano mimi nikafanya ufisadi nikaomba msamaha atanielewa .?
Mkata mauno kapona
Bangi huku kwetu inaheshimika sio FARU JOHN!Sishangai maana Leo amesema alipokuwa jeshini alikuwa ana blasti au kushtua kwa maana nyingine alikuwa anavuta bangi.
Kwa katiba yetu Rais Ana power mzee yuko juu ya sheria naona Rais anakwenda kutokana na katiba iliyopoHivi raisi anaweza kumsamehe mtu ambaye ndo yupo katika uchunguzi!!! Na hela zetu walipa kodi nani atazirudisha??
Katiba Ina mruhusu mzeeMagufuli
Raisi yeye
Jaji yeye
Hakimu yeye
Mkemia yeye
Daktari yeye
Mtaalaam wa dawa za asili yeye
Ni kama Mussa yule kiongozi wa waisraeli ... nabii yeye ...daktari yeye... mchungaji yeye...n.kMagufuli
Raisi yeye
Jaji yeye
Hakimu yeye
Mkemia yeye
Daktari yeye
Mtaalaam wa dawa za asili yeye
Kawasamehe kwani walishahukumiwa na mahakama? Sheria za nchi zinavunjwa jamani
Nafuatilia Hotuba ya Mh Rais Magufuli akiwa anahutubia Askari Magereza katika sherehe ya uzinduzi wa jengo la ofisi za Magereza, sasa hivi kupitia TBC1 amekiri kuwasamehe wale viongozi wote walioshiriki kusaini mkataba uliokuwa na viashria vya rushwa akiwemo aliyekuwa Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaj ndugu Andengenye na wenzake wanne.
Sambamba na msahama huo ameaidi kumpangia kazi nyingine ndugu Andengenye.
Sambamba na msamaha huo hajaweka wazi kama na yule mzee wetu aliyekuwa mjeda na baadae akawa mbeba sime ya Spika na baadae Waziri mzuri mkata mauno kama nae atamsamehe au la!?
Pia amewatakaMkuu Wilaya ya Dodoma na mkurugenzi wa Jiji la Dodoma wapunguze KUOKOTA sasa WAOE.
Pia soma > Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai
Over.
Katia hali halisi hakuna kesi tena. Msamaha kwa Andengenye na makamishna wote ni msamaha kwa Kangi. Kwa ufupi Lugola leo anakuja mwili wa Uno unoHivi raisi anaweza kumsamehe mtu ambaye ndo yupo katika uchunguzi!!! Na hela zetu walipa kodi nani atazirudisha??
Musa yalimshinda mpaka akafanya UGATUZI wa madaraka baada ya kushauriwa na mkewe YethroNi kama Mussa yule kiongozi wa waisraeli ... nabii yeye ...daktari yeye... mchungaji yeye...n.k
HahahaaaaaaaaaMagufuli
Raisi yeye
Jaji yeye
Hakimu yeye
Mkemia yeye
Daktari yeye
Mtaalaam wa dawa za asili yeye
Yap! Maigizo ya siasaYalikuwa maigizo kumbe.!