Rais awasamehe Makamishina walioshirikiana na Kangi Lugola uliokuwa na viashiria vya ufisadi

[emoji125][emoji125][emoji125]
 
ESCROW wallipiga TSHS 340 billions, lakini wakina kangi tunaambiwa waliingiza taifa hasara ya Bills 1000, mpaka leo akina Rugemalira wako ndani lakini hawa wamesamehewa.

Hapo ndipo utajua kuwa dunia ina mambo mpaka jogoo anaweza taga.
Mkuu mkataba huo ulikuwa bado upo kwenye mchakato raisi akaona mapema kwa hiyo hakuna hasara yoyote iliyotokea maana mkataba ulikuwa bado hujatekelezeka
 
Retired
Halafu bado wapo wanamuomwamini akisimama juu ya majukwaa na kudai kuwa MAENDELEO HAYANA CHAMA!

Wakati yeye mwenyewe ndiye kinara wa kuvichukia vyama vya upinzani, especially Chadema!
nashukuru umeliona hilo. Very sad!
 
Raisi ameonyesha wapo watu wa kupelekwa mahakamani wanapofanya uhalifu na wapo watu ambao hata wakifanya uhalifu mkubwa kiasi gani kwa amri yake hawatashitakiwa, hii inaitwa DOUBLE STANDARD.
 
Msamaha haumaanishi kuwa kosa halikutendeka.
 
ESCROW wallipiga TSHS 340 billions, lakini wakina kangi tunaambiwa waliingiza taifa hasara ya Bills 1000, mpaka leo akina Rugemalira wako ndani lakini hawa wamesamehewa.

Hapo ndipo utajua kuwa dunia ina mambo mpaka jogoo anaweza taga.
Hasara ya bilioni 1000 ilitokana na nini
 
upinzani wanajitahidi sana.

tatizo ni sisi wananchi wenyewe kutokusimama na upinzani.
Upinzani huu wa akina Mbowe wa kubadili gia angani? Watanzania tulisimama nao 2015 wakatuangusha, itachukua miaka mingi upinzani kuhaminika
 
Nchii hii imekuwa ya mauza uza mno. utakumbuka kuna polisi walishiriki kutorosha dhahabu ya mabilioni kule Mwanza. walikamatwa na baadae mh Rais alisema amewasamehe!!!!!
umetaja Takukuru, nakuhakikishia TAKUKURU inafanya vizuri ikiwa ni watuhumiwa ni vyama vya upinzani au kwa mtu yeyote asiye na itikadi ya CCM, na watumishi wengine wadogo wadogo wasio wanachama wa CCM.
Unakumbuka issue ya Nasari na Lema dhidi ya biashara ya udiwani?
ya kushangaza ni mengi, kuliko kinyume chake.
 
Mkuu mkataba huo ulikuwa bado upo kwenye mchakato raisi akaona mapema kwa hiyo hakuna hasara yoyote iliyotokea maana mkataba ulikuwa bado hujatekelezeka
RWANDES
Kama mkataba ule ulikuwa katika hatua za awali na hakuna hasara yoyote iliyopatikana kwa Taifa, ni kwanini basi siku ile Rais Magufuli alionekana "kufura" sana hadi kusababisha amfukuze kazi waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola, tena hadharani mbele ya waandishi wa habari??
 
ESCROW wallipiga TSHS 340 billions, lakini wakina kangi tunaambiwa waliingiza taifa hasara ya Bills 1000, mpaka leo akina Rugemalira wako ndani lakini hawa wamesamehewa.

Hapo ndipo utajua kuwa dunia ina mambo mpaka jogoo anaweza taga.
Nafaka
Haya mazingaombwe yanapatikana katika nchi moja tu hapa duniani, nayo si nyingine bali Tanzania!
 
Ile ni Siahasa sio Siasa elewa hapo mkuu...ukitaka kuthibitisha hilo wale wote tuliombiwa wameingia miktataba ya hovyo hakuna aliyepelekwa mahakamani.
 
Hii ni wazi kuwa kama huyu amesamehewa mbele ya kadamnasi kama alivyowatamka awali. Inamaanisha kazi iliyofanywa na Takukuru haikuwa na maana na Kangi pia ameshasamehewa hivyo hakuna kesi kamwe. Na wala hutasikia hatua kuchukuliwa. Sasa yanayoendelea kwa CDM kuhoji hela walizokubaliana kujichangisha kwa manufaa ya kuendeleza chama ndio mtaji uliopo. Tuna safari ndefu kufika.
 
Lugola kajifunga mabomu, dikteta anamuogopa kumgusa. Kamwambia NIGUSE NIKINUKISHE hahahahaha

Attachments

  • ETQKOp_WsAEtvLN.jpg
    84.5 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…