Mshughulishaji
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,351
- 1,875
Mtoa mada ana udini ni wale waleNadhani wako nusu kwa nusu.
Lakini alicho kisema huyo mtoa mada hakina mashiko maana Buhari anapendwa na watu wa dini zote kutokana na kuweza kuwadhibiti boko Haram.
We jamaa mzima kichwani??Nadhani undanganya. Kuna Togo,Burkina Faso, Benin, Ghana, Ivory Coast, Liberia, Sierra Leone, Cape Verde, Equatorial Guinea, Guinea Bissau, Sao Tome etc ni za majority christians
Sasa watu wanaoa mpaka wake wanne utashindana nao kwa wingi wa watu!? Hao ni noma aisee!Kuna Hausa na Fulani wanazaliana kama nzi!
Usipotoshe maandiko, misingi ya imani ya kikristo huijui. Baki na uislam wako unaouamini. Utaonekana ni mpuuzi kwa upotoshaji unaoufanya
Another story -Burna Boy X manifestNigeria was never meant to be a country, Nigeria started off as a British company . To understand Nigeria you need to know where it came from.
My point of view ...
Nigeria is still under British rule,Nigeria will never be stable
Hao wazungu wanaosilimu wana lao jambo, mzungu awe muarabu? Hawa ndiyo waunda ile dini moja ya dunia CHRISLAM. Dunia imeishaKwani Italy ni nchi ya kikristo? Kueneza kwa nguvu maana yake ndiyo nini? Hao wazungu wanaosilimu huko ulaya wanakuwa wameshikiwa mapanga?
Tatizo hii dini yenu imejaa unafiki mnachosema sio mnachokiaminisha.
View attachment 2525793
Sasa wale waasi wa SELEKA wenye itakadi za kiislamu ni raia wa Chad au ni raia wa Central Africa mkuu???Central Africa 61 percent ni Protestants, 28 percent ni Catholics na 9 percent ni Muslims.
Dini zote za wazungu,waarabu,wahindi,wachina zimejaa unafiki sababu sifa ya binadamu ni unafiki na kuvutia upande wake.Lakini ukitaka kujua kuna sehemu watu walilazimishwa dini kwa nguvu,nenda balkan area afu waulize wakazi wa asili wa kule kuhusu utawala wa ottoman empire ulikua unafanyaje.Kwani Italy ni nchi ya kikristo? Kueneza kwa nguvu maana yake ndiyo nini? Hao wazungu wanaosilimu huko ulaya wanakuwa wameshikiwa mapanga?
Tatizo hii dini yenu imejaa unafiki mnachosema sio mnachokiaminisha.
View attachment 2525793
Kuna kitu labda huelewi kuhusu msingi wa dini ya kiislamu.Uislamu haukujengwa kwa misingi ya kukubali au kuzipa uhuru dini nyingine.Ndio maana katika mafundisho yake unaupinga ukristo na uyahudi wazi wazi.Lakini sio sahii wewe kusema ina vinasaba vya shetani sababu sio lazima kila mtu aamini unachokiamini wewe.Sawa mkuuWavaa kobaaz popote walipo wakipata nafasi tu wanaanza pachika itikadi zao za Mtume Mudy swalalaa subuana wataala
Hivyo wana vina saba vya ushetani.
Burkina Faso waislam wengi,moja ya tatizo linalosemwa kuhusu ugaidi Burkina Faso ni waislam wengi lakini hapajawahi kuwa na rais muislamNadhani undanganya. Kuna Togo,Burkina Faso, Benin, Ghana, Ivory Coast, Liberia, Sierra Leone, Cape Verde, Equatorial Guinea, Guinea Bissau, Sao Tome etc ni za majority christians
Umesema uislamu unalazimisha watu. Nimekupa mfano nchi zenye watu wengi ambao sio waislamu. Mfano mzuri kuna Japan, South Korea n.k.Hao wazungu wanaosilimu wana lao jambo, mzungu awe muarabu? Hawa ndiyo waunda ile dini moja ya dunia CHRISLAM. Dunia imeisha
Mi ninakupa nchi yenye waislamu wengi kuliko wote kama Indonesia utafute historia kilichowafanya watu wasilimu.Dini zote za wazungu,waarabu,wahindi,wachina zimejaa unafiki sababu sifa ya binadamu ni unafiki na kuvutia upande wake.Lakini ukitaka kujua kuna sehemu watu walilazimishwa dini kwa nguvu,nenda balkan area afu waulize wakazi wa asili wa kule kuhusu utawala wa ottoman empire ulikua unafanyaje.
Mkuu katafute kwanza historia ya balkani states na ottoman empire afu ndio umjibu swali hilo yule aliyekuuliza kuhusu islamnazation ya kutumia nguvu.Mimi nimechangia hoja moja tu""DINI ZOTE DUNIANI NI WANAFIKI""Mi ninakupa nchi yenye waislamu wengi kuliko wote kama Indonesia utafute historia kilichowafanya watu wasilimu.
Ukiangalia historia ukristo ndiyo wameshiriki kumwaga damu kwa kiasi kikubwa. Wabelgiji walikuwa wananyongwa hadi watoto wanahukumiwa kwa kushikishwa biblia.
Kuna "The Slave Bible" ipo washington biblia iliyokuwa inatumika enzi za utumwa sio sawa na hii.
Kwa historia tunaweza kukubali kuna vitu vimetendeka sio kwa pande zote ila unafiki wa kusema kwenye ukristo kwao kila kitu shwari ndiyo unafiki hatuutaki.
Kuna kundi linaitwa "Ku Klux Klan" lipo marekani la kikristo na inafanya mambo ya kikatili kwa kutumia ukristo.
Kwa kipindi hiki cha kupata taarifa kwa urahisi, wakristo hawana budi kutafuta njia nyingine za kutunga propaganda. Hizi wanazozitumia wanaonekana ni namna gani wazushi na wanafiki kupitiliza kwa mtu mwenye akili.
Walikuepo kama Compore na hata huyu aliyepindua serikali iliyopita.Majina ya kifaransa yasikuchanganye mkuu.Burkina Faso waislam wengi,moja ya tatizo linalosemwa kuhusu ugaidi Burkina Faso ni waislam wengi lakini hapajawahi kuwa na rais muislam
Kuna sehemu nyingi tu duniani kama middle east,balkan areas,italy,north africa,sudan,uingereza,latin america na pacific island,s. Dini zilikua zinalazimishwa kinguvu kwa wengine.Umesema uislamu unalazimisha watu. Nimekupa mfano nchi zenye watu wengi ambao sio waislamu. Mfano mzuri kuna Japan, South Korea n.k.
Unaleta pumba za kusema mzungu kuwa mwarabu. Sasa hivi zile propaganda zenu mlizokuwa mnafundishana makanisani, watu wanaziona wazi. Mwenye akili atapima kwenye pumba na mchele.
sasa kama unaona kuna propaganda, kwani uislam una nini cha maana zaidi ya kuwa ni utamaduni wa muarabu? Muafrika ni muhanga tu kwa hao wazungu na waarabu. Bora hao wajapani na wakorea wana miungu yao.muafrika anashabikia miungu ya kigeni huku akiacha Mungu wake. Yaani amekuwa brainwashed. Hayo madini waachiwe wenyeweUmesema uislamu unalazimisha watu. Nimekupa mfano nchi zenye watu wengi ambao sio waislamu. Mfano mzuri kuna Japan, South Korea n.k.
Unaleta pumba za kusema mzungu kuwa mwarabu. Sasa hivi zile propaganda zenu mlizokuwa mnafundishana makanisani, watu wanaziona wazi. Mwenye akili atapima kwenye pumba na mchele.
Kwa pande zote zilikuwa zinalazimishwa. Kuna nyingine kuhusu "Spain Inquistion" ulitendeka umafia kwa waislamu na wayahudi.Kuna sehemu nyingi tu duniani kama middle east,balkan areas,italy,north africa,sudan,uingereza,latin america na pacific island,s. Dini zilikua zinalazimishwa kinguvu kwa wengine.
Dini zote ni unafiki mkuu na zilikua zinalazimisha watu kujiunga nazo either kwa ushawishi au kwa kutumia jambia.Dini zote ni unafiki haijalishi zimetokea magharibi au mashariki.Kwa pande zote zilikuwa zinalazimishwa. Kuna nyingine kuhusu "Spain Inquistion" ulitendeka umafia kwa waislamu na wayahudi.
Pia, kuna mgogoro mkubwa kati ya "Catholics" na "Protestants" ndani ya North Ireland hadi leo. Taarifa hizi huwa haziwekwi kwenye vichwa vya habari vikubwa.
Sasa mkuu unataka waweke taarifa unazotaka wewe,hilo halitowezekana.Vyombo vyote unavyoviita vikubwa kama Al Jazeera na CNN au BBC vinaweka habari kwa maslahi yao na sio matakwa ya watazamaji mkuu.Vyombo vyote vya habari duniani ni vyombo vya propaganda tu mkuu.Kwa pande zote zilikuwa zinalazimishwa. Kuna nyingine kuhusu "Spain Inquistion" ulitendeka umafia kwa waislamu na wayahudi.
Pia, kuna mgogoro mkubwa kati ya "Catholics" na "Protestants" ndani ya North Ireland hadi leo. Taarifa hizi huwa haziwekwi kwenye vichwa vya habari vikubwa.