Rais Dkt. Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa Wakuu wa nchi SADC

Rais Dkt. Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa Wakuu wa nchi SADC

Mwinyi hana kazi za kufanya huko Znz? au ndio wameanza kufanya kazi kishkaji hawa waswahili?

Kwani Dr. Mpango ana kazi gani? naona hii nchi sasa inaanza kujiendea tu kama gari bovu mtaroni.
Wadau walianza kumsifia Madame, sasa ngoja tuone maana safari ndiyo baado mbichi.
 
Mwinyi hana kazi za kufanya huko Znz? au ndio wameanza kufanya kazi kishkaji hawa waswahili?

Kwani Dr. Mpango ana kazi gani? naona hii nchi sasa inaanza kujiendea tu kama gari bovu mtaroni.
Tutasema sana ila mzizi wa haya yote ni katiba mbovu tuliyo nayo, rais anaweza kuamua chochote anacho jisikia na hamna kitu tutamfanya.
 
Huu ndio muda muafaka wa Zanzibar kudeal na zile kero za Mungano zimezodumu tangu mwaka 1964.

Nadhani Mama anaweza kuamua kuwapa wakitakacho ili isionekane na yeye ni dictator.
 
KUNA HAJA KUBWA SANA WATANZANIA KUELIMISHWA KUHUU MUUNGANO SIKUTARAJIA HATA KIDOGO KWAMBA KUNA WATU WATASHANGAA RAIS WA ZANZIBAR KUMUWAKILISHA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. YAONESHA WAZI WATANZANIA WENGI HAWAELEWI KUHUSU MUUNGANO!!!

HIVI LEO BAADHI YA WATU TENA WENGINE NI WASOMI WANASHANGAA JAMBO HILO!! KAZI KWELI KWELI!!!

Mwandiko wako sijaipenda.
 
Sikumbuki kama hili lilishawahi Kutokea huko nyuma
 
Back
Top Bottom