myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
👍👍Akienda kwenye mkutano,anaenda kama mwakilishi wa Rais wa Tanzania,haendi kama Rais wa Znz....
Mhe Samia angeweza kumtuma yeyote aende kumwakilisha either awe madarakani au asiwe madarakani
Mfano the late JPM alishawahi kumtuma mzee Mkapa na Mzee kikwete mara nyingi waende kumwakilisha.
Uwakilishi is not a big deal.