macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Inawezekana bado rais Samia na Makamu wake wana mlima wa mambo ya kufanya. Sidhani ingekuwa busara makamu aende kwani wako kwenye mikakati ya kupanga namna ya kuendesha serikali.Mwinyi hana kazi za kufanya huko Znz? au ndio wameanza kufanya kazi kishkaji hawa waswahili?
Kwani Dr. Mpango ana kazi gani? naona hii nchi sasa inaanza kujiendea tu kama gari bovu mtaroni.