Rais Dkt. Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa Wakuu wa nchi SADC

Rais Dkt. Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa Wakuu wa nchi SADC

Mwinyi hana kazi za kufanya huko Znz? au ndio wameanza kufanya kazi kishkaji hawa waswahili?

Kwani Dr. Mpango ana kazi gani? naona hii nchi sasa inaanza kujiendea tu kama gari bovu mtaroni.
Inawezekana bado rais Samia na Makamu wake wana mlima wa mambo ya kufanya. Sidhani ingekuwa busara makamu aende kwani wako kwenye mikakati ya kupanga namna ya kuendesha serikali.
 
KUNA HAJA KUBWA SANA WATANZANIA KUELIMISHWA KUHUU MUUNGANO SIKUTARAJIA HATA KIDOGO KWAMBA KUNA WATU WATASHANGAA RAIS WA ZANZIBAR KUMUWAKILISHA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. YAONESHA WAZI WATANZANIA WENGI HAWAELEWI KUHUSU MUUNGANO!!!

HIVI LEO BAADHI YA WATU TENA WENGINE NI WASOMI WANASHANGAA JAMBO HILO!! KAZI KWELI KWELI!!!

Mwandiko wako sijaipenda.
Kwani Rais wa Zanzibar ana cheo/wadhifa gani katika serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kama isemavyo katiba...???
Na kama katiba inamtambua katika serikali ya Muungano basi ni haki yake kuagizwa kwenda huko

Mjumbe wa baraza la mawaziri.
 
Au mama anaanza kuwa paranoid of coup d'etat?
Asianze habari za kujifungia kama jiwe
Aende hata Saudi akahiji basi
Si lazima afanye kila kitu, mnataka awe anazurula kila kona. Huo mkutano hauna maajabu ya kulazimisha awepo. Ni kawaida ya marais wapya kutoenda nje mapema, wana kazi kubwa za kufanya na kupanga safu.

Hata Biden anamtuma Senator nje ya nchi badala ya kumtuma Secreatary of State kutoa msimamo wa US. Ila kuna issue ya msingi Secretary ataenda, na nzito zaidi Biden atabidi asafiri nje. Hakuna ajabu katika kuwatumia wote watatu SSH, Mwinyi au VP.
 
Mwinyi hana kazi za kufanya huko Znz? au ndio wameanza kufanya kazi kishkaji hawa waswahili?

Kwani Dr. Mpango ana kazi gani? naona hii nchi sasa inaanza kujiendea tu kama gari bovu mtaroni.
SUKUMA GANG
 
Akienda kwenye mkutano,anaenda kama mwakilishi wa Rais wa Tanzania,haendi kama Rais wa Znz....

Mhe Samia angeweza kumtuma yeyote aende kumwakilisha either awe madarakani au asiwe madarakani

Mfano the late JPM alishawahi kumtuma mzee Mkapa na Mzee kikwete mara nyingi waende kumwakilisha.

Uwakilishi is not a big deal.
Afadhali umewafafanulia sukuma gang walishaanza kuchonga.
 
Sa

Safu yenyewe ndo type za kina Abbas na Msigwa!
Basi hatufai
Kumbe shida yako wewe ni pingapinga na kudai hatufai. Unazunguka mbali kuhoji kivipi Mwinyi kamuwakilisha, hata angemtuma Makamu ungepinga vilevile.
 
Kwa kweli, Mwenyezi Mungu ametuweza. Mara ghafla paaaa nchi iko mikononi mwa wazanzibar.
Hii kitu inawaumiza sana CCM na wapenz wa muungano...znz watainyonua bara watakavyo na watafanya yale yote ambayo yasingefanyika endapo angekuwepo Magu au rais wa Bara
 
Kwani Rais wa Zanzibar ana cheo/wadhifa gani katika serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kama isemavyo katiba...???
Na kama katiba inamtambua katika serikali ya Muungano basi ni haki yake kuagizwa kwenda huko

Rais wa Zanzibar ni mjumbe wa Baraza la mawaziri la JMT
 
Back
Top Bottom