NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Hujui unachokiongea!
Hela zinabaki hapa hapa! Unafikili msafala, na kulala mahoteli ya kifahari raisi na wasaidizi wake fedha kiasi gani zingebaki huko kwa mabeberu? Acha kuwaza mkojo unapoishia mkuu!Kwani huu Msafara wake wa hapa hapa Nchini na Helkopter juu unajua anatumia kiasi gani Mkuu !?
Kuna nchi ngapi nje, akizitembelea zote nilini atawatembelea watanzania walio mchagua na angeeleza nini wananchi wakati huu wa uchaguzi.
Kuna mgombea hafahamu hata majina ya vijiji na shida zao.
Hela zinabaki hapa hapa! Unafikili msafala, na kulala mahoteli ya kifahari raisi na wasaidizi wake fedha kiasi gani zingebaki huko kwa mabeberu? Acha kuwaza mkojo unapoishia mkuu!
Gharama za misafara ya magufuli ni balaa, directly and indirectly. Mbali ya hayo magari na helcopter, huku mikoani barabara hufungwa mjini wakati bado anahutubia wilayani umbali wa 100km!Kwani huu Msafara wake wa hapa hapa Nchini na Helkopter juu unajua anatumia kiasi gani Mkuu !?
CCM inawanachama hai zaid ya 8.7m+, bado wanao fall in love hawa hawana vyama, wengine ni wa vyama vingine nk.Hebu weka hapa kura sahihi za wagombea wote, unajua kwanini haziruhusiwi kuhojiwa? Na sheria hiyo iliwekwa na CCM ambao ndio wanaotangaza matokeo na kuandaa uchaguzi.
Nikweli ila umenielewa vibaya, nilikuwa namaanisha umesema sisi watanzania ni masikini basi nikasemea family yako kama miongoni mwa watanzania labda kama sio watanzania nyie.Mkuu haunijui sikujui hivyo hauwezi kunisemea chochote juu ya Maisha yangu ,Great thinker hajadili Watu hapa unatakiwa kujadili Hoja iliyo Mezani.
Kuwa Mwenyekiti wa SADC ilikuwa ni zamu by ROTATION wala hakugombea akashinda MSITUPOTOSHE!!!!!!
Wwe unataka Raisi atoke Nje ya Nchi ili upige deal lako,Sasa na hatoki ngoo Mabalozi wanatosha!!"Mtu anasimama analalamika eti sina mahusiano mazuri na Nchi za Ulaya kwani ni lazima mtu kwenda huko Ulaya, hata sasa kuna mkutano wa umoja wa mataifa nimesema siendi nitatuma Mabalozi wetu wakatuwakilishe huko na ndiomaana tukawaweka huko watuwakilishe"
"Ningekuwa sina mahusiano mazuri je ningechaguliwa kuwa mwenyekiti wa SADC, mimi nitabakia hapa hapa kuwapambania Watanzania wanyonge walionipigia kura sio lazima kwenda huko Ulaya " Dr Magufuli CHATO
Wewe ndiye Rais wetu, uliechaguliwa kwa matokeo ya uchaguzi. Tulitegemea utakua unaiwakilisha nchi katika mikutano ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na pia Umoja wa Afrika. Matokeo yake uliwatuma wateule na wasaidizi wako. Tunahitaji Rais atakaetuwakilisha kwenye mikutano. Hatukuchagua mwari wa kukaa ndani.
Balozi anamuwakilisha Raisi tuseme inatosha!!Kuna tofauti kubwa sana ya Cheo cha Rais na hao wawakailishi unao wahubiri hapa ,katika kutia uzito (msisitizo) wa jambo flani hasa ukizingatia kuwa sisi ni Nchi Masikini sana.