Hizo mil 50 ulkuwa unataka kuzifanyia nini? Maana ndo imekuwa nongwa kama vile kwenye hivyo vijiji hakuna kilichofanyika zaidi ya hiyo mil 50.
Ugatuzi wa madaraka ?Kwan lazima aende Magufuli huko nje, unaelewa nini maana ya ugatuzi wa madaraka.
Kisingizio chenu tunakijua, mtalia kama kawaida yenu Tume haiko huru!![emoji2][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] NEC inang’olewa meno ya kuumizia upinzani mwaka huu.
Bora kipi? Aende sana ulaya na akiwa nyumbani misele mingi au aache kwenda ulaya na akiwa nyumbani misele mingi?.
Hata wenyewe alikimbia kikaoUenyekiti wa jumuia ya sadc si wa kuchaguliwa, ni wa zamu. Ukikufikia unapokea kijiti. Mwakilishi hana maamuzi mpaka awasiliane na aliemtuma. Mikutano ina ngazi za wahusika. Kukacha kwenda na kutuma wajumbe kuna tatizo, na hasa yanapokuwa ni mazoea.
Kama kutoka nje ya tanzania ndio urais bora basi kikwete msinge mtukana nakumkosea heshima kipindi cha utawala wake .chadema ndo mlisema kikwete rais gani wa ajabu anasafiri sana nje.chadema hamjui mnataka nini hadi umri huu.Rais Lissu atatuwakilisha vyema.
wewe nawe ni Great thinker? 🤣 🤣 🤣 🤣Kwani Magufuli alichaguliwa na wa ulaya
Kwani Rais akitoka nje ya nchi anaenda kutembea?Kuna nchi ngapi nje, akizitembelea zote nilini atawatembelea watanzania walio mchagua na angeeleza nini wananchi wakati huu wa uchaguzi.
Kuna mgombea hafahamu hata majina ya vijiji na shida zao.
Halafu anapiga Trillion 1.5Pesa nyingi ambazo zingetumika kwenye safari za Rais mara kwa mara huko Ulaya,zinafanya mambo mengine ya maendeleo,wateule wa Rais kama mabalozi,waziri wa mambo ya nje n.k watamuwakilisha Rais.
Si ajitoe basi kwenye hizo jumuia tunachangia hela za nini kama siyo kuzidi kujitia umasikiniKwani Magufuli alichaguliwa na wa ulaya
🤣🤣🤣🤣Kamata mwizii meeeenMagufuli muongo kama kawaida yake. Mkutano mkuu wa UN mwaka huu unafanyika kwa Video conference hamna anaekwenda. Aacha uongo haumsaidii au yeye alitaka kwenda kushiriki kwenye video?
Ukiwa baba lazima ujifunze kuwaachia baadhi ya kazi watoto wako ili hata ukiondoka au kufa basi wawepo wa kuendeleza hizo taratibu..Si ajitoe basi kwenye hizo jumuia tunachangia hela za nini kama siyo kuzidi kujitia umasikini
Jee kuna sheria gani au katiba gani duniani inayosema mgombea apite bila kupingwaNa hebu tueleze kifungu gani au Ibara ipi ya katiba inamtaka rais akazuru nje ya Tanzania wakati tayari tunao wawakilishi.
Sheria inayotamka vigezo vya kuwa mgombea wa nafasi anayoitaka.Jee kuna sheria gani au katiba gani duniani inayosema mgombea apite bila kupingwa
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Acha kupotosha,ni lini JPM aliyasema hayo.?Duuh,kwahiyo JPM anawadanganya wadanganyika kuwa aliwashinda marais wenzake kwenye uenyekiti wa SADC?
[emoji16][emoji16]
Ule mkutano ni wa majuha tu ,niambie Kikwete kahudhuria mara ngapi na nini faida tuliyoipata ?,sana ni kuitangaza Tanzania ni nchi maskini kisha kurudi na vyandarua ,huyu hajasafiri mambo yanaonekana ,acha ujinga"Mtu anasimama analalamika eti sina mahusiano mazuri na Nchi za Ulaya kwani ni lazima mtu kwenda huko Ulaya, hata sasa kuna mkutano wa umoja wa mataifa nimesema siendi nitatuma Mabalozi wetu wakatuwakilishe huko na ndiomaana tukawaweka huko watuwakilishe"
"Ningekuwa sina mahusiano mazuri je ningechaguliwa kuwa mwenyekiti wa SADC, mimi nitabakia hapa hapa kuwapambania Watanzania wanyonge walionipigia kura sio lazima kwenda huko Ulaya " Dkt. Magufuli CHATO
Wewe ndiye Rais wetu, uliechaguliwa kwa matokeo ya uchaguzi. Tulitegemea utakua unaiwakilisha nchi katika mikutano ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na pia Umoja wa Afrika. Matokeo yake uliwatuma wateule na wasaidizi wako. Tunahitaji Rais atakaetuwakilisha kwenye mikutano. Hatukuchagua mwari wa kukaa ndani.
Wakati wa awamu ya nne mlimlalamikia Sana JK kwa kupenda sana safari za nje, leo huyu hapendi safari za nje imekuwa kilio chenu tena.Kila kitu au jambo flani lifanyike kwa kipimo kulingana na Hali halisi ya wakati huo ,unajua kabisa jambo hili nitakapo kwenda kama Rais litakuwa na Faida zaidi ya kuwatuma Mabalozi baasi unaamua na kutenda.
Hata Chakula ukikizidisha utavimbiwa Mkuu.
Wewe unaekijua, kimekusaidia nini? Maana bado nakuona hapa ukilalamikia maisha tu [emoji23][emoji23].Mwamba anajua kikwao na kiswahili tu, so usitake kumfedhehesha mzee wa watu hko kwa mabeberu wasioitakia mema nchi yetu. Ushindwe na ulegee.