Wakati wa awamu ya nne mlimlalamikia Sana JK kwa kupenda sana safari za nje, leo huyu hapendi safari za nje imekuwa kilio chenu tena.
Wapinzani hamueleweki mnachokitaka, target yenu Ni kupinga kila kitu (upinzani usiokuwa na tija).
Basi hakuna ubaya, kwakuwa yeye ameamua kuwakilishwa badala ya kupuuza , Kama jinsi ambavyo JK alitakiwa kuwakilishwa, kulingana na hoja yako hapo juu [emoji867].Jk alizidi hata Safari ambazo angewakilishwa alienda yeye so alizidi kipimo ,huyu wa sasa hata zile Safari zenye mafanikio kwa ajili ya Watu (Wananchi) wake ameziwekea ngumu na misimamo mikali.
Hapana ,ni Faida kushirikiana na wengine ukizingatia haishi mwenyewe hapa Duniani na hawezi kufanya kila kitu peke yake.
[/QUOTKwani kuna jambo gani limekwama baada ya rais Magufuli kuacha kusafiri nje ya inchi
Mkuu ambaye hajui kuwa yeye ni baba wa familia na kama baba majukumu yake ni yapi niyakuongopa kama ukoma"Mtu anasimama analalamika eti sina mahusiano mazuri na Nchi za Ulaya kwani ni lazima mtu kwenda huko Ulaya, hata sasa kuna mkutano wa umoja wa mataifa nimesema siendi nitatuma Mabalozi wetu wakatuwakilishe huko na ndiomaana tukawaweka huko watuwakilishe"
"Ningekuwa sina mahusiano mazuri je ningechaguliwa kuwa mwenyekiti wa SADC, mimi nitabakia hapa hapa kuwapambania Watanzania wanyonge walionipigia kura sio lazima kwenda huko Ulaya " Dkt. Magufuli CHATO
Wewe ndiye Rais wetu, uliechaguliwa kwa matokeo ya uchaguzi. Tulitegemea utakua unaiwakilisha nchi katika mikutano ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na pia Umoja wa Afrika. Matokeo yake uliwatuma wateule na wasaidizi wako. Tunahitaji Rais atakaetuwakilisha kwenye mikutano. Hatukuchagua mwari wa kukaa ndani.
Mbona alipiga kampeni hatimaye akashinda kwa kishindo!! Wacha longolongoKuwa mwenyekiti ni utaratibu uliowekwa wa kubadilishana hiyo nafasi kila baada ya muda fulani. Hisingekuwa hivyo, wasingemchagua
Mbona alipiga kampeni hatimaye akashinda kwa kishindo!! Wacha longolongo
Hii ni hatari, kwa hiyo unataka Jpm akakuwakilishe kwenye mikutano ya kimataifa katika kila mwaliko?? Chadema ni giza linalohitaji kurunzi yenye mwanga mkali sana."Mtu anasimama analalamika eti sina mahusiano mazuri na Nchi za Ulaya kwani ni lazima mtu kwenda huko Ulaya, hata sasa kuna mkutano wa umoja wa mataifa nimesema siendi nitatuma Mabalozi wetu wakatuwakilishe huko na ndiomaana tukawaweka huko watuwakilishe"
"Ningekuwa sina mahusiano mazuri je ningechaguliwa kuwa mwenyekiti wa SADC, mimi nitabakia hapa hapa kuwapambania Watanzania wanyonge walionipigia kura sio lazima kwenda huko Ulaya " Dkt. Magufuli CHATO
Wewe ndiye Rais wetu, uliechaguliwa kwa matokeo ya uchaguzi. Tulitegemea utakua unaiwakilisha nchi katika mikutano ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na pia Umoja wa Afrika. Matokeo yake uliwatuma wateule na wasaidizi wako. Tunahitaji Rais atakaetuwakilisha kwenye mikutano. Hatukuchagua mwari wa kukaa ndani.
NdioKwani Magufuli alichaguliwa na wa ulaya
Ndio naelewaKwan lazima aende Magufuli huko nje, unaelewa nini maana ya ugatuzi wa madaraka.
Kwani Magufuli alichaguliwa na wa ulaya
Jiwe ni jipu Mamy, Piga chini tarh.28 October"Mtu anasimama analalamika eti sina mahusiano mazuri na Nchi za Ulaya kwani ni lazima mtu kwenda huko Ulaya, hata sasa kuna mkutano wa umoja wa mataifa nimesema siendi nitatuma Mabalozi wetu wakatuwakilishe huko na ndiomaana tukawaweka huko watuwakilishe"
"Ningekuwa sina mahusiano mazuri je ningechaguliwa kuwa mwenyekiti wa SADC, mimi nitabakia hapa hapa kuwapambania Watanzania wanyonge walionipigia kura sio lazima kwenda huko Ulaya " Dkt. Magufuli CHATO
Wewe ndiye Rais wetu, uliechaguliwa kwa matokeo ya uchaguzi. Tulitegemea utakua unaiwakilisha nchi katika mikutano ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na pia Umoja wa Afrika. Matokeo yake uliwatuma wateule na wasaidizi wako. Tunahitaji Rais atakaetuwakilisha kwenye mikutano. Hatukuchagua mwari wa kukaa ndani.
Tafta sifa za mgombea wa ccm utapata majibuNa hebu tueleze kifungu gani au Ibara ipi ya katiba inamtaka rais akazuru nje ya Tanzania wakati tayari tunao wawakilishi.
Kila kitu kinahitaji kiasi, usikae muda mrefu wala usisimame muda mrefu ila vyote vinatakiwa katka maisha yako ya kila siku.Nafikiri Magufuri alisikia kilio chetu wapenzi wa Chadema tangu enzi za Mze Kikwete tulivyokuwa tunamusakama rais kwamba anakwenda sana nje ya nchi. Sasa Magufuri kaamua kutulia nafikiri hapo tungefurahi zaidi kwasababu hapendi kwenda nje
Kwahiyo kingereza kimekupa maisha sio[emoji848]?Hakuna sehem nimelalamikia maisha mzee,, usinilishe maneno.
"Mtu anasimama analalamika eti sina mahusiano mazuri na Nchi za Ulaya kwani ni lazima mtu kwenda huko Ulaya, hata sasa kuna mkutano wa umoja wa mataifa nimesema siendi nitatuma Mabalozi wetu wakatuwakilishe huko na ndiomaana tukawaweka huko watuwakilishe"
"Ningekuwa sina mahusiano mazuri je ningechaguliwa kuwa mwenyekiti wa SADC, mimi nitabakia hapa hapa kuwapambania Watanzania wanyonge walionipigia kura sio lazima kwenda huko Ulaya " Dkt. Magufuli CHATO
Wewe ndiye Rais wetu, uliechaguliwa kwa matokeo ya uchaguzi. Tulitegemea utakua unaiwakilisha nchi katika mikutano ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na pia Umoja wa Afrika. Matokeo yake uliwatuma wateule na wasaidizi wako. Tunahitaji Rais atakaetuwakilisha kwenye mikutano. Hatukuchagua mwari wa kukaa ndani.
Daaaaaaaaah Hivi CCM mlianzaje kutuletea mtu huyu ambaye hakuna anachokielewa, Huyu naamini hata historia ya Tanzania haijui."Mtu anasimama analalamika eti sina mahusiano mazuri na Nchi za Ulaya kwani ni lazima mtu kwenda huko Ulaya, hata sasa kuna mkutano wa umoja wa mataifa nimesema siendi nitatuma Mabalozi wetu wakatuwakilishe huko na ndiomaana tukawaweka huko watuwakilishe"