SALAAM WAKUU.

Kwa jinsi bw: HUSSEIN ALLY MWINYI anavyoiongoza ZANZIBAR naona anafaa kabisa kuiongoza TANZANIA baada ya mama SAMIA.

AU WAKULUNGWA MNAONAJE?
Yaani Mataga mnakazi kweli,

ukoo wenu wote mnajiona takataka Hakuna hata mmoja anaefaa,Hadi uwapigie debe wanaume wenzio?
 
SALAAM WAKUU.

Kwa jinsi bw: HUSSEIN ALLY MWINYI anavyoiongoza ZANZIBAR naona anafaa kabisa kuiongoza TANZANIA baada ya mama SAMIA.

AU WAKULUNGWA MNAONAJE?
Ni zamu ya mkristo

USSR
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona mmeifanya hii nchi ya ukoo wenu.

#MaendeleoHayanaChama
Ni rare advantage kuwa na ukoo ambao una sifa za uongozi. Kwa hiyo ni upendelleo wa kipekee muno kujikuta kwenye nchi fulani muna ukoo ambao una sifaza uongoz. Watu ni wengi, binadamu si wengi kama walivyo watu
Mara nyingi Mungu huwa amawapa uongozi binadamu ila si watu
 
Zanzibar ungekuwa unaishi pekeako ungedanganya kirahisi; ila nasi tupo huko! Una maanisha nini kusema "ameacha miradi mikubwa kama bandari, uvuvi na kuchimba mafuta n gesi," wakati hivyo vitu ndiyo vinafanyika kwa kasi? Umeandika hisia za chuki siyo FACTS! Badilika.πŸ™πŸ™πŸ™
 

Chuki gani? Kwani uongo? Hivi ni bandari ipi inajengwa hivi sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…