Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vizuri

Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vizuri

Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.
ACHENI UJINGA WENU kwa KIONGOZI wa NCHI naviomba Vyombo vya USALAMA viwaangalie hawa Wajinga wa AINA hii WACHUKULIWE HATUA KALI.RAIS sio mtu wa Kufanyiwa MIZAHA ya Kijinga jinga RAIS WETU AHESHIMIWE.
 
Ni sawa tu maana Paskali Mayalla umri umeenda na hali yake ni ngumu hapa mjini. Ifahamike Paskali kakulia mjini na hana uwezo wa kurudi kijijini maana hakuwa amejipanga. Hivyo kuliko aishi hapa mjini hadi aanze kudhalilika, ni vyema akasaidiwa kwa kupewa ulaji wowote kama wazee wengi wastaafu huko CCM.

Kama ni kujipendekeza ameshafanya hivyo sana, je mamlaka ya uteuzi inataka afanyeje tena? Naunga mkono asaidiwe asije kudhalilika kwa kuanza kutuomba bia bar.
 
ACHENI UJINGA WENU kwa KIONGOZI wa NCHI naviomba Vyombo vya USALAMA viwaangalie hawa Wajinga wa AINA hii WACHUKULIWE HATUA KALI.RAIS sio mtu wa Kufanyiwa MIZAHA ya Kijinga jinga RAIS WETU AHESHIMIWE.

Rais aliyeko madarakani kwa wizi wa kura heshima anatoa wapi boss? Ww sema aogopwe na sio kutaka aheshimiwe. Rais anayepaswa kuheshimiwa ni aliyeingia madarakani kwa uchaguzi wa halali, na sio kwa ule ushenzi wa 2020.
 
Pascal umri wa kustaafu umefika

CCM ukiwa mzee ndio unapewa sehemu ya ulaji, huoni ile tume kaunda mama juzi ya kufuatilia sijui udhaifu wa mifumo na utawala wa sheria, wote ni wazee, na kwa kiwango kikubwa wao ndio walikuwa wasimamizi wa uchafu ambao leo wanatakiwa wasimamie ufumbuzi wa matatizo waliyoshindwa kuyatatua wakiwa ofisini!
 
Back
Top Bottom