Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Pascal is typing.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Tindo , ni kweli ki umri, naitafuta 60, na ni kweli kwa sasa hali yangu ya maisha ni ngumu sana hapa mjini, bado naishi nyumba ile ile ya kupanga ubazi mzima hapa Tandale kwa Mtogole, nyuma ya uwanja wa fisi na usafiri wangu bado ni ule ule usafiri wa boda boda, hivyo nikipatiwa Bajaj nitakuwa nimekombolewa sana!.Ni sawa tu maana Paskali Mayalla umri umeenda na hali yake ni ngumu hapa mjini.
Sio nimekulia mjini, bali nimezaliwa mjini, na kukulia mjini, sijawahi kuishi kijijini ukiondoa kile kisa cha Mzee Mayalla (RIP) ile 1976!. Hivyo sina kijijini popote pa kurudi!.Ifahamike Paskali kakulia mjini na hana uwezo wa kurudi kijijini maana hakuwa amejipanga.
Hapo kwa kweli nitakuwa nimesaidiwa sana!.Hivyo kuliko aishi hapa mjini hadi aanze kudhalilika, ni vyema akasaidiwa kwa kupewa ulaji wowote kama wazee wengi wastaafu huko CCM.
Kama huku nako ni kujipendekeza, ili nilambe uteuzi...Kama ni kujipendekeza ameshafanya hivyo sana,
Hili la kuomba bia bar, namshukuru sana Mungu, in my entire life, sijawahi kuomba bia bar au kwa yeyote kwasababu mimi sinywi bia na sijawahi kunywa bia maisha yangu yote!.je mamlaka ya uteuzi inataka afanyeje tena? Naunga mkono asaidiwe asije kudhalilika kwa kuanza kutuomba bia bar.
Aliangukia pua vibaya mno , kumbe kiongozi wa kuchuja majina ya wagombea aliwahi kumhujumu huko nyuma , yaani Pascal alivuta bahasha ya khaki kutoka kwa watu fulani ili amchafue huyo mama , enzi za yale makundi ya ccm , basi Mayalla akafanya kama alivyotumwa akamchafua mama wa watu , kumbuka huyo mama alijua Pascal kavuta mpunga ili kumchafua .Jambo lake la bunge la EAC liliishi wapi?
Aliangukia pua vibaya mno , kumbe kiongozi wa kuchuja majina ya wagombea aliwahi kumhujumu huko nyuma , yaani Pascal alivuta bahasha ya khaki kutoka kwa watu fulani ili amchafue huyo mama , enzi za yale makundi ya ccm , basi Mayalla akafanya kama alivyotumwa akamchafua mama wa watu , kumbuka huyo mama alijua Pascal kavuta mpunga ili kumchafua .
Siku hazigandi , Hamadi ! kufumba na kufumbua Pascal alipofika kwenye meza ya usaili wa wagombea wa bunge la Africa Mashariki akakuta yule mama ndio kiongozi wa jopo la Wasaili , unadhani nini kilitokea ?
Maelezo haya ni kwa Mujibu wa Pascal Mwenyewe na uzi umo humu .
Pamoja na kwamba JF ina nguvu sana lakini huyu jamaa mamlaka zinajua yeye anataka hela tu , ukizungumza kuhusu cheo fulani , kitu cha kwanza anachouliza ni mshahara , yaani yeye kusaidia nchi yake hawezi .Bora mfanye kumuombea Direct maana colum kila siku inampita sio vizuri jamani mnaona kabisa mtu anavyopambana humu JF kuimba mapambio kwa staili yake, lakini mnajifanaya hamuoni
Fanyeni mumpe kawilaya kapata basi da!
Hiyo watu wa pwani tuna tahamaki kwa kusema “ile kupepesa macho hamadi huyu hapa, unapigwa na bumbuwazi unajikanyaga, anavua miwani ana kuangalia unavyoteseka... yeye ndio ndio jecha wakati huo...”Aliangukia pua vibaya mno , kumbe kiongozi wa kuchuja majina ya wagombea aliwahi kumhujumu huko nyuma , yaani Pascal alivuta bahasha ya khaki kutoka kwa watu fulani ili amchafue huyo mama , enzi za yale makundi ya ccm , basi Mayalla akafanya kama alivyotumwa akamchafua mama wa watu , kumbuka huyo mama alijua Pascal kavuta mpunga ili kumchafua .
Siku hazigandi , Hamadi ! kufumba na kufumbua Pascal alipofika kwenye meza ya usaili wa wagombea wa bunge la Africa Mashariki akakuta yule mama ndio kiongozi wa jopo la Wasaili , unadhani nini kilitokea ?
Maelezo haya ni kwa Mujibu wa Pascal Mwenyewe na uzi umo humu .
[emoji38][emoji38][emoji38]Hiyo watu wa pwani tuna tahamaki kwa kusema “ile kupepesa macho hamadi huyu hapa, unapigwa na bumbuwazi unajikanyaga, anavua miwani ana kuangalia unavyoteseka... yeye ndio ndio jecha wakati huo...”
ACHENI UJINGA WENU kwa KIONGOZI wa NCHI naviomba Vyombo vya USALAMA viwaangalie hawa Wajinga wa AINA hii WACHUKULIWE HATUA KALI.RAIS sio mtu wa Kufanyiwa MIZAHA ya Kijinga jinga RAIS WETU AHESHIMIWE.
Ni sawa tu maana Paskali Mayalla umri umeenda na hali yake ni ngumu hapa mjini. Ifahamike Paskali kakulia mjini na hana uwezo wa kurudi kijijini maana hakuwa amejipanga. Hivyo kuliko aishi hapa mjini hadi aanze kudhalilika, ni vyema akasaidiwa kwa kupewa ulaji wowote kama wazee wengi wastaafu huko CCM.
Kama ni kujipendekeza ameshafanya hivyo sana, je mamlaka ya uteuzi inataka afanyeje tena? Naunga mkono asaidiwe asije kudhalilika kwa kuanza kutuomba bia bar.
this time atapata wilaya au U DEDBora mfanye kumuombea Direct maana colum kila siku inampita sio vizuri jamani mnaona kabisa mtu anavyopambana humu JF kuimba mapambio kwa staili yake, lakini mnajifanaya hamuoni
Fanyeni mumpe kawilaya kapata basi da!
Kwanini usimuombe akuteue wewe!Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.
Kwa sasa Pascal anafanya vizuri kwenye mambo gani?! Kampuni yake inachochote cha kuigwa? Kwa sasa ni Wakili, sijawahi kusikia au kumwona akiappear mahakani kutetea hata kesi ya wizi wa kuku. Michosho tu.Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.
Wewe very likelyni paskal, umejaribu Sasa unaona mbinu hii làbda itajipa.Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.
Mayalla ampe awe Mkurugenzi Mkuu wa TBC,yule Rioba aliyepo naona ni mtu wa siasa sana,hana jipya.Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.
Pascal Hanna kitu pale , Yule Ni nyoka mbaya Sana na tumbo lake ndilo linalom_ drive. Ndumila kuwili wa kutupwaAre you serious?
Pascal binafsi namuona kama bendera fuata upepo. Watu wa namna hiyo waogope sana
Mbona pasko anatumika kitambo sana. Kazi yake ni kutumika kupima upepo wa jambo au kupindisha upepo wa jambo. Na yupo kwa payroll kabisaRais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.