Mkuu
Meneja Wa Makampuni , kwanza heri ya mwaka mpya!, pili asante kuniombea kwa Mama aniteue nimsaidie chochote kwenye serikali yake. Hii ina maana kubwa sana kwangu, kwa haya ninayoyafanya, kumbe kuna watu humu wana yaona na ku appreciate, hivyo it's a very good encouragement kwangu kuendelea kuyafanya. Asante.
Mtu ukiwa na uwezo wa kuisaidia nchi yako, unaweza kuisaidia pale pale ulipo bila kuhitaji kuteuliwa kwenye nafasi yoyote.
Hiki ndicho nimekuwa nakifanya siku zote na naendelea kufanya.
Naamini bandiko hili uliwahi kuliona,
Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!, naomba kukuhakikishia ujumbe huu umemfikia Rais Samia, na anauheshimu.
Mungu Ibariki Tanzania.
P