OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Apewe utendaji wa kitongoji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, mfano hapa alitumwa na ofisi kuupima uelewa wa boss waoMbona pasko anatumika kitambo sana. Kazi yake ni kutumika kupima upepo wa jambo au kupindisha upepo wa jambo. Na yupo kwa payroll kabisa
Una uhakika gani kuwa hamtumii?Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.
Mnawakuza sana hawa watu.Baba yake Pasco mayala alikuwa Afisa Usalama wa Mkoa wa mwanza, au basi.......labda, may be, it's possible
Bodi ya kusifu na kuabudu.Kuteuliwa uzeeni ? Awe mwenyekiti wa bodi ipi ?
Ahsante Kaka Kilaza.Ni kweli, mfano hapa alitumwa na ofisi kuupima uelewa wa boss wao
Na hapa akatumwa kupima upepo kama Idara imeshtukiwa TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
Na hapa akatumwa apime upepo kama boss ni dikiteta Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!
Na hapa kwa sababu system bado ni ya The Sukuma Gang, na hawamtaki Mamii hivyo wakamtuma Pasco amtishe ili atishike 2025 asigombee... Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
Huu ndio utendaji uliotukuka wa Idara yetu kwa sasa!.
Naendelea na kazi!.
P
Kama Meneja Wa Makampuni ni aka yangu, then it's an honor to me!, angalia threads zake, siingii hata robo!.Pascal umejianzishia uzi
. Hafai hata ukatibu tawala au kiongozi wa chama cha kina Mama!Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.
Pascal gani unayemsemea? Huyu aliyesema Makonda ndio anayefaa kumrithi magufuli? Kama ndio huyo naweka big Noooo.....Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.
gang MakusuPascal gani unayemsemea? Huyu aliyesema Makonda ndio anayefaa kumrithi magufuli? Kama ndio huyo naweka big Noooo.....
Humu JF, wengi wanauwezo wa kusoma, kuandika na kuelewa, wenye uwezo to read in between the lines ni wachache, sometimes naandika kwa wengi, sometimes naandika kwa wachache, baadhi ya mabandiko yangu, unapaswa uushikishe bongo yako vinginevyo utaishia chaka. Soma tena huku umeshirikisha Bongo Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...Pascal gani unayemsemea? Huyu aliyesema Makonda ndio anayefaa kumrithi magufuli? Kama ndio huyo naweka big Noooo.....