Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Ngoja tupige kura.Are you serious?
Pascal binafsi namuona kama bendera fuata upepo. Watu wa namna hiyo waogope sana
ACHENI UJINGA WENU kwa KIONGOZI wa NCHI naviomba Vyombo vya USALAMA viwaangalie hawa Wajinga wa AINA hii WACHUKULIWE HATUA KALI.RAIS sio mtu wa Kufanyiwa MIZAHA ya Kijinga jinga RAIS WETU AHESHIMIWE.Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.
Huyu jamaa tukiacha mambo machache ambayo kwa kweli si mabaya sana. Lakini kiukweli yukoRais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.
ACHENI UJINGA WENU kwa KIONGOZI wa NCHI naviomba Vyombo vya USALAMA viwaangalie hawa Wajinga wa AINA hii WACHUKULIWE HATUA KALI.RAIS sio mtu wa Kufanyiwa MIZAHA ya Kijinga jinga RAIS WETU AHESHIMIWE.
Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.
Kwani wewe ni chawa wa pascal?Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.
Pascal umri wa kustaafu umefika
Hakika kabisa. !!Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.