Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vizuri

Mkuu

Ukiangalia teuzi nyingi zipo kwenye mfumo wa kiserikali Yaani wateule wanatoka taasisi za umma mara chache Sana taasisi BINAFSI!

Sasa ikiwa kwenye utumishi wa umma halafu ukaondolewa KWA Tatizo FULANI HIVI la kimfumo ni ngumu kurudishwa kwenye mfumo kirahisi!!

Huyu jamaa aliwahi fanya KAZI palee sasa kuna kutoridhishwa na mfumo utendaji wake, Yaani competent wise but toxic to governance system!!!

Akatimuliwa Hadi leo Hawa mwamini Tena hana baraka za mfumo TENA!!

Source-aliwahi anaduka HUMU zamani Sana!
 
Huna uwezo wa kukataa uteuzi wa Rais akikuteua.

Uzi huo ulikukosesha ubunge wa EA maana mamlaka zilitafsiri kama DHARAU.

Anyway yaeza kuwa umeshasamehewa.
 


Anyway waeza kutufaa popote utakapoteuliwa.
 
Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.
Mkuu Meneja Wa Makampuni , nimerejelea hili bandiko baada ya kutokea opening ya msemaji, hivyo watu humu wananitaja taja! .
Niko kwenye tano la mwisho kugonga 60!.

Ukiwa mkweli na mzalendo, utasaidia tuu hata bila kuombwa hivyo mimi kwa hivi hivi nilivyo na ninayoyafanya, ni msaada mkubwa sana kwa Mama Samia, serikali yake na taifa kwa ujumla, mfano mzuri ni ushauri huu Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! na baada ya ushauri huo, nikaletewa sauti hii Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke hoja za bandiko hili ni msaada mkubwa sana kwa Mama kwasababu hata kama wanaona lakini hawawezi kumshauri. Kumuenzi Magufuli: Tujikumbushe 'spana' za JF zilivyomsaidia Hayati Magufuli na Taifa. Je, Samia pia tumsaidie kwa 'spana' au tumkune tu tusimpare?
Pasco hahitaji uteuzi wowote!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…