Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
JPM shujaa wa Afrika.Mwamba wa Karne. Endelea kupumzika kwa amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trust the processTatizo la Mgao wa Umeme limekuwepo kwa muda mrefu sana, Toka enzi za Nyerere, na Sasa tatizo hilo linaendelea kuwepo , sisi watu wazima tumeona mgao Kwa Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa mgao upo kwa Samia.
Hili ni Tatizo kubwa sana, japokuwa Wamebadilishwa mawaziri na watendaji wakuu wa TANESCO Mara kwa mara bado tatizo limeendelea kuwepo na wananchi wanazidi kulalamika.
Kipindi cha Magufuli ulitumika ujanja ujanja Ili kupunguza Makali ya mgao , japo mabwawa yalikauka na mgao ulikuwepo, kwa maana kilichofanyika Serikali ilitoa maelekezo kwa watumiaji wachache ambao wana matumizi wakubwa ya umeme kuzima mitambo hali iliyopelekea watumiaji wengi/wapiga kura kuonja kidogo makali ya mgao, ila athari zilikuwapo sana kiuchumi mana uzalishaji ulipungua.
Kwa mwaka huu tumekuwa na mgao wa umeme Toka January kwasababu mbalimbali hasa hitilafu za mitambo na mabwawa kukauka maji.
Sasa Swali langu he ni nani atakuja kutumalizia tatizo hili Sugu/Cronic la mgao wa Umeme, huku ndani ya tatizo Hilo tukiwa na tatizo jingine la kukatika katika kwa umeme ambalo halisababishwi na mabwawa kupungua maji.
China ,South Africa nk kuna mgawo sembuse Tzn?Tatizo la Mgao wa Umeme limekuwepo kwa muda mrefu sana, Toka enzi za Nyerere, na Sasa tatizo hilo linaendelea kuwepo , sisi watu wazima tumeona mgao Kwa Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa mgao upo kwa Samia.
Hili ni Tatizo kubwa sana, japokuwa Wamebadilishwa mawaziri na watendaji wakuu wa TANESCO Mara kwa mara bado tatizo limeendelea kuwepo na wananchi wanazidi kulalamika.
Kipindi cha Magufuli ulitumika ujanja ujanja Ili kupunguza Makali ya mgao , japo mabwawa yalikauka na mgao ulikuwepo, kwa maana kilichofanyika Serikali ilitoa maelekezo kwa watumiaji wachache ambao wana matumizi wakubwa ya umeme kuzima mitambo hali iliyopelekea watumiaji wengi/wapiga kura kuonja kidogo makali ya mgao, ila athari zilikuwapo sana kiuchumi mana uzalishaji ulipungua.
Kwa mwaka huu tumekuwa na mgao wa umeme Toka January kwasababu mbalimbali hasa hitilafu za mitambo na mabwawa kukauka maji.
Sasa Swali langu he ni nani atakuja kutumalizia tatizo hili Sugu/Cronic la mgao wa Umeme, huku ndani ya tatizo Hilo tukiwa na tatizo jingine la kukatika katika kwa umeme ambalo halisababishwi na mabwawa kupungua maji.
Tumpe Mbowe urais , ili afanye approach nzuri na nia nzuri?Nia nzuri approach mbovu
Jiwe alitakiwa kujenga kinyerezi 3&4,umeme wa uhakika wa gesi,akakimbilia rufiji,gharama kubwa,maji si uhakikaJiwe ndo alikua anataka haya mambo yaishe ila ndo basi tena Mungu akampenda zaidi ...ila jamaa alikua na nia nzuri sana na taifa hili.
Aliondoaje ilhali vyanzo vya umeme ni vilevile!?Magufuli aliondoa tatizo la umeme kwa 80%
Mungu angemjalia uhai tatizo la umeme ungekuwa historia tanzania
Aliondoaje ilhali vyanzo vya umeme ni vilevile!?
Nia nzuri approach mbovu
Alitaka hilo tatizo lipungue kwa kujenga bwawa la maji ambapo unaambiwa tatizo ni mabadiliko ya tabia nchi?! Au angeleta mvua zake?
Mi niliunguza Samsung yangu kwa umeme kukatika hovyo 2018, tukiwasha jenereta kila Mara kuangalia mpira, wewe ulikua wapi ambako umeme ulikua haukatikikatiki!?Kukatika umeme kilwa muda kilipungua sana
Hapo kwenye red, hivi una uhakika na hiki ulichoandika?Tatizo la Mgao wa Umeme limekuwepo kwa muda mrefu sana, Toka enzi za Nyerere, na Sasa tatizo hilo linaendelea kuwepo , sisi watu wazima tumeona mgao Kwa Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa mgao upo kwa Samia.
Hili ni Tatizo kubwa sana, japokuwa Wamebadilishwa mawaziri na watendaji wakuu wa TANESCO Mara kwa mara bado tatizo limeendelea kuwepo na wananchi wanazidi kulalamika.
Kipindi cha Magufuli ulitumika ujanja ujanja Ili kupunguza Makali ya mgao , japo mabwawa yalikauka na mgao ulikuwepo, kwa maana kilichofanyika Serikali ilitoa maelekezo kwa watumiaji wachache ambao wana matumizi wakubwa ya umeme kuzima mitambo hali iliyopelekea watumiaji wengi/wapiga kura kuonja kidogo makali ya mgao, ila athari zilikuwapo sana kiuchumi mana uzalishaji ulipungua.
Kwa mwaka huu tumekuwa na mgao wa umeme Toka January kwasababu mbalimbali hasa hitilafu za mitambo na mabwawa kukauka maji.
Sasa Swali langu he ni nani atakuja kutumalizia tatizo hili Sugu/Cronic la mgao wa Umeme, huku ndani ya tatizo Hilo tukiwa na tatizo jingine la kukatika katika kwa umeme ambalo halisababishwi na mabwawa kupungua maji.
KUKATIKA KWA UMEME KUNGEMALIZWA NA MAGU TU. No katika kipindi chake tu kukatika kwa umeme kulishaanza kuwa historia. Na yule mwamba angekuwepo bado,nina uhakika tungesahau habari za umeme umeme.Tatizo la Mgao wa Umeme limekuwepo kwa muda mrefu sana, Toka enzi za Nyerere, na Sasa tatizo hilo linaendelea kuwepo , sisi watu wazima tumeona mgao Kwa Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa mgao upo kwa Samia.
Hili ni Tatizo kubwa sana, japokuwa Wamebadilishwa mawaziri na watendaji wakuu wa TANESCO Mara kwa mara bado tatizo limeendelea kuwepo na wananchi wanazidi kulalamika.
Kipindi cha Magufuli ulitumika ujanja ujanja Ili kupunguza Makali ya mgao , japo mabwawa yalikauka na mgao ulikuwepo, kwa maana kilichofanyika Serikali ilitoa maelekezo kwa watumiaji wachache ambao wana matumizi wakubwa ya umeme kuzima mitambo hali iliyopelekea watumiaji wengi/wapiga kura kuonja kidogo makali ya mgao, ila athari zilikuwapo sana kiuchumi mana uzalishaji ulipungua.
Kwa mwaka huu tumekuwa na mgao wa umeme Toka January kwasababu mbalimbali hasa hitilafu za mitambo na mabwawa kukauka maji.
Sasa Swali langu he ni nani atakuja kutumalizia tatizo hili Sugu/Cronic la mgao wa Umeme, huku ndani ya tatizo Hilo tukiwa na tatizo jingine la kukatika katika kwa umeme ambalo halisababishwi na mabwawa kupungua maji.
Kabisa huyu mwamba pekee ndio alikuwa na malengo ya muda mfupi na mrefu ni huyu mwamba pekee angefanya umeme kuwa historia kukatika. Sio hawa wapigajiMagufuli aliondoa tatizo la umeme kwa 80%