goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gesi ipo Lindi..inahitaji $30b ili tuitumieSasa huo wa gas umeishia wapi na swala la maji kukauka ni hali ya kawaida tu sio endelevu mvua lazima inyeshe tu sema ni kuzuia tu uharibifu wa mazingira.Lakini gas mpaka sasa hata hatujui ni ya nani maaan mikataba wanaingia kimya kimya.
Wangeruhusu hili swala la private sectors kuuza umeme, bwana Elon Musk angesababisha serikali ilale njaa maana hakuna mtu angeenda funga umeme wa Tanesco nyumbani kwake wakati wa Tesla hautokatika hata iwejeTatizo ni sheria zilizopo zinazoipa serikali monopoly kwenye hii biashara ya umeme, waruhusu sekta binafsi kufanya hii biashara in full, kwa wasiolewa Tanzania sekta binafsi hairuhusiwi kuuza na kusambaza umeme moja kwa moja kwa wateja, unaweza kuzalisha na kuiuzia TANESCO na wanakupangia bei ila huwezi kuuza kwa wananchi au wazalishaji, hakuna mtu mwenye pesa anaweza kufanya biashara kichaa kama hiyo, ni sheria na sera zetu ndio zinaleta matatizo yote haya, imagine biashara ya simu ingekuwa TTCL peke yake ndio anaruhusiwa kuuza huduma za simu