Rais hajui kuzungumza na wananchi, ziara za njiani zisitishwe

Nami nakuunga mkono. Yaani jana tumesimama kumsubiri pale Igoma akielekea Kisesa tumeishia kukataa tamaa na tulichosikia na kuona kutoka kwake.
 
Yupo kwenye maigizo.JPM aliimudu hadhira maana alijua anafanya nini na kwa nini.Sasa mama ana wakati mgumu maana ana shinikizo la nyakati ambalo hakujiandaa wala kuandaliwa kukabiliana nalo.
 
Wanaume mnasimama kabisa kumlilia shida mama awatatulie?? Huo ni udadapoa kwanza hii tabia ya kumsimamisha hainaga maana nikukosa kazi fateni taratibu kudai mnachodai
 
Mlishazoeshwa tabia za kishamba za kufokea watu hadharani na kuwafukuza kazi bila utaratibu. Washamba bado mpo wengi mnaodhani kufokafoka ndio uongozi
 
Ni kweli kuna style inaoyoashiria kiongozi makini na anayefaa na style nyingine hasiyefaa!!
 
Mama alisema kwa sasa anajenga uchumi...
 
MAGUFULI ALIKUA ANATATUA KERO HAPO HAPO...
R.I.P RAIS WANGU, missing you sooo much....
Vizuri havidumu...
 
Mzenjbar huyo hana muda na nyie. Yeye zake filamu na ukwaju
 
Kamfufue au mfate Chettle
 
Naona mnademka tuu afu chengine nmeambiwa hapa mnashida ya maji hilo melichukua kwaiyo ndugu zangu mnipishe niendelee na safari nnamuwahi director wa kimataifa

nyingine alijibu hapa napita tuu ntakuja rasmi November sawa jamani af chengine cccccccccm oyeeeeee.....
 
Una roho mbaya sana na hii inaonesha uafrika ni ushetani. We unafurahia mtu kutumbuliwa. Yaani jpm alivyokuwa sheitwani basi riho ile aliwaambukiza na wewe na smai unataka aige ushetani huo, never!!
Yaah..kwanini usitumbuliwe kama ni mwizi na huwajibiki katika nafasi yako.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wanaume mnasimama kabisa kumlilia shida mama awatatulie?? Huo ni udadapoa kwanza hii tabia ya kumsimamisha hainaga maana nikukosa kazi fateni taratibu kudai mnachodai
sawa dada
 
Mlishazoeshwa tabia za kishamba za kufokea watu hadharani na kuwafukuza kazi bila utaratibu. Washamba bado mpo wengi mnaodhani kufokafoka ndio uongozi
mshamba bibiako
 
Kumbe hata punda inawezekana ameshazowea kupigwa mpaka ana miss mijeledi.
 
sawa dada
Ikikupendeza asubuhi hii nikaribishe nikalale na dadako au mkeo au ma.....ko! Ikikupendeza lakini alafu baada ya miezi mitatu utatupa mrejesho hapa ili nikutoe ngebe zako
 
Wewe mweyewe hujui kuandika.
 
Usilazimishe unalotaka wewe ndiyo liwe; acha mazoea kwa kila mtu ana namna yake ya kufanya jambo hilo hilo.
 
And then nchi ikahitaji divine intervantion ili kuondokana na udhalimu na udikteta na SSH akapata nafasi.
 
usilazimishe unalotaka wewe ndiyo liwe; acha mazoea kwa kila mtu ana namna yake ya kufanya jambo hilo hilo.
usilazimishe unalotaka wewe ndiyo liwe; acha mazoea kwa kila mtu ana namna yake ya kufanya jambo hilo hilo.
Samia ni dhaifu,acha kujificha kwenye mazoea,tangia amepata urais ameisha tatua shida hipi?Labda kufungulia alishababu na Mafisadi, sasahivi rushwa imerudi kwa mwendo wa 5g
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…