AWewe na wewe umepoteza dira. Umeanza vizuri kisha ukakaharibu kwa kuongelea DP WORLD ambayo haina ubaya wowote kwani ujio wake tarajali umeridhiwa na serikali, bunge na mahakama. All in all Chalamila asiondolewe DSM mpaka amalizane na kelele za makanisa kwanza. Ikiwezeka awafunge kama yule mbarikiwa wa chadema kule Mbeya.
Ila kama ni kweli,basi Ndugu zangu tunyweni pombe kwa staha. Nilichogundua wakat mwingine ulevi wa kupindukia unaweza shindwa kujitofautisha kama wewe ni kiongozi au mbwatukajiKuna video inasambaa ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akijinasibu kuwa na uwezo wa kujitwalia sheria mkononi na hakuna wa kumfanya lolote.
Hii ni mara nyingine tena Chalamila akijinasibu kuwa bingwa wa kuvunja sheria na taratibu bila kuogopa yeyote.
Hapo awali akiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya alijinasibu kuwa endapo atamkuta kibaka ndani kwake, yeye jukumu lake ni kumuua na si kumpeleka kwenye sheria.
Hizi kauli na zinginezo tunazozisikia akiwa kwenye maeneo ya starehe ni wazi zinaonesha haiba, tabia na mwenendo wa aliyemteua kuwa zaidi ya mteule wake.
Tumeona Mkataba wa DP World ambapo umesainiwa na kila dalili za kupuuza maoni ya wananchi na wataalam.
Tumeona, namna ambavyo sheria ya kinga kwa wanausalama dhidi ya jinai ya kuua ikipitishwa bila kujali maoni ya wadau na kilio cha wananchi dhidi ya sheria hiyo
Kusaini sheria ya fedha 2021/2022 ambayo ilileta tozo mbaya iliyoua masoko ya fedha mtandao nchini ni kuwa aliyewezesha hilo hakuna wa kumfanya lolote.
Je, tusubiri kuona Chalamila akidhuru maisha ya watu hadharani ndo hatua zichukuliwe?
Sisi Watanzania tuna jukumu moja tu 2025, kuiwajibisha CCM kupitia sanduku la Kura kwa sababu imelea na kutuketea viongozi wahuni wasio na maadili na utu.
Jumapili ya baraka
Thread 'RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!' RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!
Hata kama ni mlevi lakini bora uvumiliwe kwanza DSM ili adili na walokole na makanisa yao ya vurugu.Ila kama ni kweli,basi Ndugu zangu tunyweni pombe kwa staha. Nilichogundua wakat mwingine ulevi wa kupindukia unaweza shindwa kujitofautisha kama wewe ni kiongozi au mbwatukaji
I love you babeDah itabidi tufanye mchango. Hawa wachuchu umeniachia peke yangu wamenizidi nguvu kabisa...
mpaka hapa nimepata wenye akil 6 vuta picha ktk watu 100 waliokoment wenye akil 6 hili ni jangaa nikija kuangalia viongoz wa juu wenye akili wapo 4Bado unafatilia uzi mzima unasoma za wapumbavu
Heshima ya Rais ni jambo linalopaswa kutunzwa na wateule.Chalamila kashajisahau, mara nyingi watu aina ya Chalamila au Makonda ni watu hawafai kupewa madaraka, maana watachafua mamlaka za uteuzi haraka sana sbb ni watu wa kujisahau na kuropoka hovyo, yaani they are not leaders at all. Najua Mh. Rais hajasema lolote juu ya maneno mabovu, ya hovyo ya Chalamila, ameshaanza kukerwa mno na matamshi ya RC Chalamila, nadhani anamlia timing, time will tell.
Wewe ni mwandani wake kiasi kwamba unajua anatania?Maneno yake tu hayo....
Chalamila hawezi kufanya hivyo.....
Mdomo ndio utajiri wake[emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Bila kuliamsha DUDE hawa ccm hawatoa MBUKWA !!!Kwamba Bado unaamini njia ya box la kura inaweza kukupa viongozi uwatakao?
Atamchukuliaje HATUA wakati anajua dhumuni na mision yake ndani ya system na serikali anaijua VIZURI!!?Kuna video inasambaa ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akijinasibu kuwa na uwezo wa kujitwalia sheria mkononi na hakuna wa kumfanya lolote.
Hii ni mara nyingine tena Chalamila akijinasibu kuwa bingwa wa kuvunja sheria na taratibu bila kuogopa yeyote.
Hapo awali akiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya alijinasibu kuwa endapo atamkuta kibaka ndani kwake, yeye jukumu lake ni kumuua na si kumpeleka kwenye sheria.
Hizi kauli na zinginezo tunazozisikia akiwa kwenye maeneo ya starehe ni wazi zinaonesha haiba, tabia na mwenendo wa aliyemteua kuwa zaidi ya mteule wake.
Tumeona Mkataba wa DP World ambapo umesainiwa na kila dalili za kupuuza maoni ya wananchi na wataalam.
Tumeona, namna ambavyo sheria ya kinga kwa wanausalama dhidi ya jinai ya kuua ikipitishwa bila kujali maoni ya wadau na kilio cha wananchi dhidi ya sheria hiyo
Kusaini sheria ya fedha 2021/2022 ambayo ilileta tozo mbaya iliyoua masoko ya fedha mtandao nchini ni kuwa aliyewezesha hilo hakuna wa kumfanya lolote.
Je, tusubiri kuona Chalamila akidhuru maisha ya watu hadharani ndo hatua zichukuliwe?
Sisi Watanzania tuna jukumu moja tu 2025, kuiwajibisha CCM kupitia sanduku la Kura kwa sababu imelea na kutuketea viongozi wahuni wasio na maadili na utu.
Jumapili ya baraka
Thread 'RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!' RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!
Una maana gani?Bela,mnyakwenu huyo!
Mtu mfupi, kichwa kama kiazi mbatata halafu anavuta bangi chooni, unategemea nini?Kuna video inasambaa ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akijinasibu kuwa na uwezo wa kujitwalia sheria mkononi na hakuna wa kumfanya lolote.