Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
- Thread starter
- #61
Kwani kura za wapinzani huwa zinaibiwa na mtu mmoja? Ni organized gang ambapo mfano wake hauendi mbali na waliopiga DPW deal
AWewe na wewe umepoteza dira. Umeanza vizuri kisha ukakaharibu kwa kuongelea DP WORLD ambayo haina ubaya wowote kwani ujio wake tarajali umeridhiwa na serikali, bunge na mahakama. All in all Chalamila asiondolewe DSM mpaka amalizane na kelele za makanisa kwanza. Ikiwezeka awafunge kama yule mbarikiwa wa chadema kule Mbeya.