Rais, hili la Lissu umeingia mtego, ilitakiwa uendelee kuwa mvumilivu

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,653
Reaction score
31,010

Wana CCM tuna ile kitu wakati mwingine tunaita mob psychology.
Tunaamua mambo kwa kuyaficha chini ya carpet , tukitegemea yataindoka yenyewe.

Kusafisha makosa ya kisiasa inakuwa ngumu sana.
Mwalimu aliwahi kufungua mkutano mkuu wa CCM kwa kauli mbiu TUJISAHIHISHE.

Sasa anapotokea kinyangarika yeyote kuuliza, kuchallenge au kushauri tujisahihishe wana CCM wanakuwa wakali kuliko nyuki.

Tukumbuke kuwe tusipo jitazama chumbani kwenye kioo na kuonabukweli wa vazi tulilovaa, tukitoka nje lazima tutakosolewa.
Nimeweka clip, ambayo sasa hata watu wa nje wanatuonyesha tulivyo uchi.

Mama Samia, Mwenyekiti wa CCM uendelee kuongoza kwa uvumilivu, hekima na kwa kujisahihisha.
 
Haha! kama maamuzi ya lissu kukamatwa yanatoka kwa mwenyekiti wa mbogamboga basi jua ndo hulka ya ile jinsia ilivyo!, huwa wanaamua kwa hisia.

Mara nyingi wale hata ukikaa kimya lazima watasema unakaa kimya kwasababu unawazarau!, na ukiongea pia watasema hivyohivyo!.

ila kama maamuzi ya kumkamata yanatoka nje na hapo basi jua kuna watu wamejitia tu kiherehere ili kutetea usaka tange wao!.
 
Picha ikiwa bado ipo kwenye traler jamaa wameona moto ni mkali wa no reform no election kwa nyomi la watu waliomwitikia lissu wakati wa mikutano yao. Kumuachia lissu aendelee wameona kabisa wasingetoboa na badala ya kumjibu hoja zake dola ikaingilia kati
 
Eti alikuja na 4R yenye Resillience!!! Sijui hata kama alijua maana yake.
Eti uhaini, yaani akili ndogo hata maana ya uhaini hawajui?!
IMG-20250411-WA0060.jpg
 
View attachment 3303501
Wana CCM tuna ile kitu wajati mwingine tunaita mob psychology.
Tunaamua mambo kwa kuyaficha chini ya carpet , tukitegemea yataindoka yenyewe.

Kusafisha makosa ya kisiasa inakuwa ngumu sana.
Mwalimu aliwahi kufungua mkutano mkuu wa CCM kwa kauli mbiu TUJISAHIHISHE.

Sasa anapotokea kinyangarika yeyote kuuliza, kuchallenge au kushauri tujisahihishe wana CCM wanakuwa wakali kuliko nyuki.

Tukumbuke kuwe tusipo jitazama chumbani kwenye kioo na kuonabukweli wa vazi tulilovaa, tukitoka nje lazima tutakosolewa.
Nimeweka clip, ambayo sasa hata watu wa nje wanatuonyesha tulivyo uchi.

Mama Samia, Mwenyekiti wa CCM uendelee kuongoza kwa uvumilivu, hekima na kwa kujisahihisha.
Katika maamuzi ya maana yaliyofanyika na Serikali ya Rais Samia kulinda amani na utulivu wa nchi yetu, ni kumfungulia mashtaka Tundu ambaye alikuwa anapanga kuanzisha uhalifu ili KUKINUKISHA.

Wahenga walisema UKICHEKA NA NYANI UTAVUNA MABUA. Na mdharau mwiba huota tende.

Tuziache Mahakama zifanye kazi yake
 
CCM imeliaibisha Taifa - kusema Bila Mabadikiko HAKUNA uchaguzi ni UHAINI.
serious !!
Mbona mnajima data? Kwani hati ya mashtaka hamujaiona? Au ile clip Lissu anasema "tutafanya uasi kuzuia uchaguzi" na "kukinukisha" hamjaiona?
 
View attachment 3303501
Wana CCM tuna ile kitu wajati mwingine tunaita mob psychology.
Tunaamua mambo kwa kuyaficha chini ya carpet , tukitegemea yataindoka yenyewe.

Kusafisha makosa ya kisiasa inakuwa ngumu sana.
Mwalimu aliwahi kufungua mkutano mkuu wa CCM kwa kauli mbiu TUJISAHIHISHE.

Sasa anapotokea kinyangarika yeyote kuuliza, kuchallenge au kushauri tujisahihishe wana CCM wanakuwa wakali kuliko nyuki.

Tukumbuke kuwe tusipo jitazama chumbani kwenye kioo na kuonabukweli wa vazi tulilovaa, tukitoka nje lazima tutakosolewa.
Nimeweka clip, ambayo sasa hata watu wa nje wanatuonyesha tulivyo uchi.

Mama Samia, Mwenyekiti wa CCM uendelee kuongoza kwa uvumilivu, hekima na kwa kujisahihisha.
Huyo mbona anaeleza vitu smbavyo havipo kwenye charge ya Lissu?

Mbona charge inaonyesha maneno aliyosema Lissu siku anaongea na G55 yanayohusishwa na uhaini?

Huyu anazungumzia reform ndio iliyosababisha Lissu kushitakiwa na uhaini wakati charge haisemi hivyo? Nafikiri yuko wrongly informed.
 
View attachment 3303501
Wana CCM tuna ile kitu wajati mwingine tunaita mob psychology.
Tunaamua mambo kwa kuyaficha chini ya carpet , tukitegemea yataindoka yenyewe.

Kusafisha makosa ya kisiasa inakuwa ngumu sana.
Mwalimu aliwahi kufungua mkutano mkuu wa CCM kwa kauli mbiu TUJISAHIHISHE.

Sasa anapotokea kinyangarika yeyote kuuliza, kuchallenge au kushauri tujisahihishe wana CCM wanakuwa wakali kuliko nyuki.

Tukumbuke kuwe tusipo jitazama chumbani kwenye kioo na kuonabukweli wa vazi tulilovaa, tukitoka nje lazima tutakosolewa.
Nimeweka clip, ambayo sasa hata watu wa nje wanatuonyesha tulivyo uchi.

Mama Samia, Mwenyekiti wa CCM uendelee kuongoza kwa uvumilivu, hekima na kwa kujisahihisha.
Mambo mengi huyu mama anasingiziwa ikiwemo hili swala la Lisu.
 
Back
Top Bottom