Rais, hili la Lissu umeingia mtego, ilitakiwa uendelee kuwa mvumilivu

Rais, hili la Lissu umeingia mtego, ilitakiwa uendelee kuwa mvumilivu

Ondoa ushoga wako hapa, kumbe huko Belgium wazungu wanawatia finga ndiyo mnataka kutuletea huku.
Bora kutiwa fingers Belgium kuliko kutiana wenyewe kwa wenyewe hapo ...... jumba jeupe
 
Wapambe wanataka akwame huku wanampamba
Rais Samia hawezi kukwama. Ameongoza nchi kwenye kipindi kikubwa na ameonyesha ukomavu dhidi ya wahafidhina wote waliokuwa wanaomba akwame.

Kumpumzisha huyo Tundu mropokaji ni moja kati ya maamuzi bora kabisa. Tumeiachia Mahakama ikapembue mchele na pumba.

Ila akitoka huko sasa akili itamrudi kisawasawa.
 
View attachment 3303501
Wana CCM tuna ile kitu wajati mwingine tunaita mob psychology.
Tunaamua mambo kwa kuyaficha chini ya carpet , tukitegemea yataindoka yenyewe.

Kusafisha makosa ya kisiasa inakuwa ngumu sana.
Mwalimu aliwahi kufungua mkutano mkuu wa CCM kwa kauli mbiu TUJISAHIHISHE.

Sasa anapotokea kinyangarika yeyote kuuliza, kuchallenge au kushauri tujisahihishe wana CCM wanakuwa wakali kuliko nyuki.

Tukumbuke kuwe tusipo jitazama chumbani kwenye kioo na kuonabukweli wa vazi tulilovaa, tukitoka nje lazima tutakosolewa.
Nimeweka clip, ambayo sasa hata watu wa nje wanatuonyesha tulivyo uchi.

Mama Samia, Mwenyekiti wa CCM uendelee kuongoza kwa uvumilivu, hekima na kwa kujisahihisha.
Luka Mwashabwa come this way to make a reply to this people ,,hope tears of good hope is coming down to your chicks
 
Rais Samia hawezi kukwama. Ameongoza nchi kwenye kipindi kikubwa na ameonyesha ukomavu dhidi ya wahafidhina wote waliokuwa wanaomba akwame.

Kumpumzisha huyo Tundu mropokaji ni moja kati ya maamuzi bora kabisa. Tumeiachia Mahakama ikapembue mchele na pumba.

Ila akitoka huko sasa akili itamrudi kisawasawa.
Wewe UWT unavyoongea utadhani una cheo chochote serikalini kumbe ni kibarua(house girl) kwenye nyumba za watu, simu yenyewe unatumia ya shemeji ako. Shame on you
 
View attachment 3303501
Wana CCM tuna ile kitu wajati mwingine tunaita mob psychology.
Tunaamua mambo kwa kuyaficha chini ya carpet , tukitegemea yataindoka yenyewe.

Kusafisha makosa ya kisiasa inakuwa ngumu sana.
Mwalimu aliwahi kufungua mkutano mkuu wa CCM kwa kauli mbiu TUJISAHIHISHE.

Sasa anapotokea kinyangarika yeyote kuuliza, kuchallenge au kushauri tujisahihishe wana CCM wanakuwa wakali kuliko nyuki.

Tukumbuke kuwe tusipo jitazama chumbani kwenye kioo na kuonabukweli wa vazi tulilovaa, tukitoka nje lazima tutakosolewa.
Nimeweka clip, ambayo sasa hata watu wa nje wanatuonyesha tulivyo uchi.

Mama Samia, Mwenyekiti wa CCM uendelee kuongoza kwa uvumilivu, hekima na kwa kujisahihisha.
mboga mboga wamepagawa sasahivi wanafanya maamuzi yatawacost kiuhalisia watu hawatakua wajinga kila siku one day they could fall like leaf cutted by the owner
 
Nani kakuambia akina Lissu siyo wezi?
Tulinganishe kiwango cha wezi wa lisu. Jakaya, mkapa, samia, change, lowasa, sumaye, na majizi yote ya hapo lumumba ni wizi upi unao ligharimu taifa kama una AKILI TIMAMU ???
Una sumbuliwa na UJINGA WA KIHALAIKI . Unashindwa kujibu hoja badala yake unatukana ukifikiri utaogopwa?
Kwa hiyo lama lisu ni mwizi kwann asishtakiwe kwa wizi wake badala yake UHAINI?
Uhaini una pangwa hadharani mbele ya KAMERA na waandishi ???
 
Lissu na CCM Lao moja. Nia ni kuiua Chadema. Na wamefanikiwa.

Chadema wanakuwa muted for 5 good years.

2030 Tume itakua hii hii Chadema hawatashiriki tena uchaguzi
 
Sisi wananchi ndio tutakaoleta mwisho wa CCM na sio vinginevyo.
Mwisho wa CCM utatokea NDANI YA CCM na si vinginevyo.
Uchu wa mali kutoka kwa viongozi wachache ndio utakaowaondoa katika viti vyao maana wana CCM waadilifu hawatakaa kimya.
 
Huyo mbona anaeleza vitu smbavyo havipo kwenye charge ya Lissu?

Mbona charge inaonyesha maneno aliyosema Lissu siku anaongea na G55 yanayohusishwa na uhaini?

Huyu anazungumzia reform ndio iliyosababisha Lissu kushitakiwa na uhaini wakati charge haisemi hivyo? Nafikiri yuko wrongly informed.
Mkuu arrest na kumfungulia Lissu mashtaka unakuwa umejiwekea magnifying glass kwa nafsi yako.
Huwezi kumzuia mtu kukusema nanvyo kufikiria.
 
Mama anahusikaje na miropoko ya Lissu?
Halafu ni wapi Lissu ameshtakiwa kutokana na kauli ya "no reforms no Election"?
Mtu anayeandaa Tpdf Kwa ajili ya uchaguzi,ulisikia wapi hiyo!! In Bwege's voice.
 
Mkuu arrest na kumfungulia Lissu mashtaka unakuwa umejiwekea magnifying glass kwa nafsi yako.
Huwezi kumzuia mtu kukusema nanvyo kufikiria.
Ndio maana zikawepo sheria ambazo jamii imekubaliana kuzifuata haiwezekana mtu mmoja akawa anasema tu hata ambacho jamii haitaki.
 
Ndio maana zikawepo sheria ambazo jamii imekubaliana kuzifuata haiwezekana mtu mmoja akawa anasema tu hata ambacho jamii haitaki.
Hata kwa wana CCM, pamoja na Lissu kuwa yupo upinzani tukubaliane kuwa anayosema mengine yana msingi.
Haiwezekani wake wa Marais na viongozi wengine wajilipe kodi zetu kama wafalme.
Huko ni kujisahau.
 
Back
Top Bottom