Rais, hili la Lissu umeingia mtego, ilitakiwa uendelee kuwa mvumilivu

Rais, hili la Lissu umeingia mtego, ilitakiwa uendelee kuwa mvumilivu

CCM imeliaibisha Taifa - kusema Bila Mabadikiko HAKUNA uchaguzi ni UHAINI.
serious !!
CCM wanaendesha nchi kwakutumia tabia ya unyumbu wa kisiasa,

Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data, kwasasa uchawa tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo

CCM huenda mbali zaidi kwakuwashughilikia wanasiasa wanaothubutu kuwanyang'anya tonge, (wanao pigania mifumo kandamizi)

Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering or working towards group objectives and hypocrite to the extent of practicing ostracism
 
Mama anahusikaje na miropoko ya Lissu?
Halafu ni wapi Lissu ameshtakiwa kutokana na kauli ya "no reforms no Election"?
Milopoko ni makala kusema chadema wataleta virusi, mbona makala hajashitakiwa kwa milopoko yake ?
 
CCM wanaendesha nchi kwakutumia tabia ya unyumbu wa kisiasa,

Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data

Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering or working towards group objectives and hypocrite to the extent of practicing ostracism
ccm chawa na Polisiccm ndiyo wanaendesha ccm kwa njia haramu za kishetani dhidi ya chadema
 
Na unajuwa ni nani aliyeharibu 4R? Ni Lissu ila mnajifanya wasahaulifu sana. Muache anyee debe Segerea mpaka akili imkae vizuri
Yaan mwl Nyerere angejuaga kuna watu kama wewe asingeangaika kutafuta uhuru
 
Hata kwa wana CCM, pamoja na Lissu kuwa yupo upinzani tukubaliane kuwa anayosema mengine yana msingi.
Haiwezekani wake wa Marais na viongozi wengine wajilipe kodi zetu kama wafalme.
Huko ni kujisahau.
Sasa hiyo ya kulipwa mafao hao marais na viongozi wa serikali ni sheria iliyopitishwa na Bunge ambapo hao wabunge ni wawakilishi wa wananchi, kwa maana nyingine jamii imekubaliana na utaratibu huo.
 
Mama anahusikaje na miropoko ya Lissu?
Halafu ni wapi Lissu ameshtakiwa kutokana na kauli ya "no reforms no Election"?
Lissu angekuwa mropokaji angeshahukumiwa vifungo vingi sana.
 
Makala ashitakiwe kwa uhaini kwa kuwasingizia chadema kuingiza virusi
Kasome sheria inayounda kosa la Uhaini ndio utajua kama Makala ametenda kosa la uhaini ama la.
 
Makala ashitakiwe kwa uhaini kwa kuwasingizia chadema kuingiza virusi
Ishitakiwe jamii ya kitanzania kwa kusa maarifa ya kuweza kuchakata taarifa zenye fikra chanya na hasi, jamii ya bora liende jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe

Jamii ambayo Makala akiwadanya wanashangilia, (jamii iliyo andaliwa na CCM kushindwa kuchakata fikra chanya na hasi)
 
Kasome sheria inayounda kosa la Uhaini ndio utajua kama Makala ametenda kosa la uhaini ama la.
Sheria ipi? Kosa la lisu lipo kwenye sheria ya wapi zaidi ya kuungaunga sheria za kuvumba ili mpate kisingizio cha kubambika kesi, sasa tumia hiyo sheria haramu kumshitaki Makala kwa kosa la kuwasingizia chadema juu ya virus, ccm kwa sasa mnaongoza Nchi kienyeji kwa kukumbatia ushetani mkubwa
 
Chawaccm sasa wameingiwa na pepo la roho mbaya kila atayepaza sauti ni mwendo wa polisiccm kuwabambikia kesi
 
Mahakama ipi? au mahakamaccm yenye visingizio haramu kuwa ushahidi haujakamilika? Chadema watamshitaki makala mahakama ya kimataifa The Hague
 
Back
Top Bottom