Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
Unategemea jipya gani kwaCCM imeliaibisha Taifa - kusema Bila Mabadikiko HAKUNA uchaguzi ni UHAINI.
serious !!
Makala
Wasira
Unategemea jipya gani kwaCCM imeliaibisha Taifa - kusema Bila Mabadikiko HAKUNA uchaguzi ni UHAINI.
serious !!
Rais Reagan kuna wakati serikali yake ilipata scandal kubwa.Mambo mengi huyu mama anasingiziwa ikiwemo hili swala la Lisu.
Think Tanks hamuna !Unategemea jipya gani kwa
Makala
Wasira
Maridhiano ni two way traffic au give and take. Hakuna "winner takes all".Wewe unaweza kuharibu kitu kisichokuwepo?
Mama anahusikaje na miropoko ya Lissu?
Halafu ni wapi Lissu ameshtakiwa kutokana na kauli ya "no reforms no Election"?
Fungua hii link ina dakika 3; usiposikia hayo maneno wewe utakuwa kiziwi:-Hatujaona, tuoneshe mkuu
Maridhiano ni two way traffic au give and take. Hakuna "winner takes all".
Tuliona kesi za wana CDM zikifutwa kwenye Mahakama mbalilmbali, tuliona waliokuwa ukimbizini Canada na Belgium (Lissu & Lema) wakirudi nchini, tuliona mikutano ya kisiasa ikirudi na ruzuku mkipewa.
Sasa unaposema kitu kisichokuwapo una maana gani?. Yaani bado tupo enzi za DIKTETA wa Chato?
Tuwe wakweli, mara nyingine CDM mnadhani muna UMUHIMU kuliko Watanzania wengine
Fungua hii link ina dakika 3; usiposikia hayo maneno wewe utakuwa kiziwi:-
View: https://x.com/Bizydan/status/1910294826534252668?t=CQJqpChgZzhQmH2uVzfSMw&s=19
Nakubaliana na hilo 100%.Rais Reagan kuna wakati serikali yake ilipata scandal kubwa.
Wakati wajumbe wanazozana, Reagan akawaamua na kuwaambia hatimaye "the buck stops with me".
Maana yake ukiwa Rais, wewe ni jalala la matatizo yote nchini.
Tatizo kubwa zaidi ni wapambe.Maza na wapambe wake ni hatari sn
Wewe akili zako ndogo sana kuweza kujua na kuelewa kinqchojadiliwa hapa.Mama anahusikaje na miropoko ya Lissu?
Halafu ni wapi Lissu ameshtakiwa kutokana na kauli ya "no reforms no Election"?
Amemuua nani ? Kwa sababu zipi? Watu wanauana wenyewe kwa wenyewe kwa matatizo yao halafu unamsingizia mkuu wa nchi?? This is stupidity at its bestMama ameendelea kuua, ameendelea kuteka; kwa kumtumia mkwewe ameendelea kupora chaguzi. Kuna tofauti gani?
Kosa la Lissu hili hapa wewe mbwa usiyeelewaWewe akili zako ndogo sana kuweza kujua na kuelewa kinqchojadiliwa hapa.
Kwani lisu alishakiwa kwa kosa gani lililotokana na nn???
Ondoa ushoga wako hapa, kumbe huko Belgium wazungu wanawatia finga ndiyo mnataka kutuletea huku.Waoga hivo hata mkipigwa finga hamna Cha kusema
Wapambe wanataka akwame huku wanampambaTatizo kubwa zaidi ni wapambe.
Hata kwa wana CCM, hili halijakaa vizuri.
Lawama zote zitaenda, wapambe hawajali. kwa mama.