Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Mahakama gani na wewe?Samia asiingilie mahakama Lissu aachwe aendelee na kesi yake kama hamna ushahidi mahakama itamuachia.
Eti alikuja na 4R yenye Resillience!!! Sijui hata kama alijua maana yake.
Eti uhaini, yaani akili ndogo hata maana ya uhaini hawajui?!
Katika maamuzi ya maana yaliyofanyika na Serikali ya Rais Samia kulinda amani na utulivu wa nchi yetu, ni kumfungulia mashtaka Tundu ambaye alikuwa anapanga kuanzisha uhalifu ili KUKINUKISHA.View attachment 3303501
Wana CCM tuna ile kitu wajati mwingine tunaita mob psychology.
Tunaamua mambo kwa kuyaficha chini ya carpet , tukitegemea yataindoka yenyewe.
Kusafisha makosa ya kisiasa inakuwa ngumu sana.
Mwalimu aliwahi kufungua mkutano mkuu wa CCM kwa kauli mbiu TUJISAHIHISHE.
Sasa anapotokea kinyangarika yeyote kuuliza, kuchallenge au kushauri tujisahihishe wana CCM wanakuwa wakali kuliko nyuki.
Tukumbuke kuwe tusipo jitazama chumbani kwenye kioo na kuonabukweli wa vazi tulilovaa, tukitoka nje lazima tutakosolewa.
Nimeweka clip, ambayo sasa hata watu wa nje wanatuonyesha tulivyo uchi.
Mama Samia, Mwenyekiti wa CCM uendelee kuongoza kwa uvumilivu, hekima na kwa kujisahihisha.
Na unajuwa ni nani aliyeharibu 4R? Ni Lissu ila mnajifanya wasahaulifu sana. Muache anyee debe Segerea mpaka akili imkae vizuriEti alikuja na 4R yenye Resillience!!! Sijui hata kama alijua maana yake.
Eti uhaini, yaani akili ndogo hata maana ya uhaini hawajui?!
Mbona mnajima data? Kwani hati ya mashtaka hamujaiona? Au ile clip Lissu anasema "tutafanya uasi kuzuia uchaguzi" na "kukinukisha" hamjaiona?CCM imeliaibisha Taifa - kusema Bila Mabadikiko HAKUNA uchaguzi ni UHAINI.
serious !!
Hiyo hiyoMahakama gani na wewe?
Ni hii kila jaji anateuliwa na Samia?
Wewe unaweza kuharibu kitu kisichokuwepo?Na unajuwa ni nani aliyeharibu 4R? Ni Lissu ila mnajifanya wasahaulifu sana. Muache anyee debe Segerea mpaka akili imkae vizuri
Hilo ndio nenoSisi wananchi ndio tutakaoleta mwisho wa CCM na sio vinginevyo.
Hatujaona, tuoneshe mkuuMbona mnajima data? Kwani hati ya mashtaka hamujaiona? Au ile clip Lissu anasema "tutafanya uasi kuzuia uchaguzi" na "kukinukisha" hamjaiona?
Huyo mbona anaeleza vitu smbavyo havipo kwenye charge ya Lissu?View attachment 3303501
Wana CCM tuna ile kitu wajati mwingine tunaita mob psychology.
Tunaamua mambo kwa kuyaficha chini ya carpet , tukitegemea yataindoka yenyewe.
Kusafisha makosa ya kisiasa inakuwa ngumu sana.
Mwalimu aliwahi kufungua mkutano mkuu wa CCM kwa kauli mbiu TUJISAHIHISHE.
Sasa anapotokea kinyangarika yeyote kuuliza, kuchallenge au kushauri tujisahihishe wana CCM wanakuwa wakali kuliko nyuki.
Tukumbuke kuwe tusipo jitazama chumbani kwenye kioo na kuonabukweli wa vazi tulilovaa, tukitoka nje lazima tutakosolewa.
Nimeweka clip, ambayo sasa hata watu wa nje wanatuonyesha tulivyo uchi.
Mama Samia, Mwenyekiti wa CCM uendelee kuongoza kwa uvumilivu, hekima na kwa kujisahihisha.
Mambo mengi huyu mama anasingiziwa ikiwemo hili swala la Lisu.View attachment 3303501