Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
CCM wanaendesha nchi kwakutumia tabia ya unyumbu wa kisiasa,CCM imeliaibisha Taifa - kusema Bila Mabadikiko HAKUNA uchaguzi ni UHAINI.
serious !!
Milopoko ni makala kusema chadema wataleta virusi, mbona makala hajashitakiwa kwa milopoko yake ?Mama anahusikaje na miropoko ya Lissu?
Halafu ni wapi Lissu ameshtakiwa kutokana na kauli ya "no reforms no Election"?
Wewe ndiyo unamsingizia kutojua Uonevu juu ya LisuMambo mengi huyu mama anasingiziwa ikiwemo hili swala la Lisu.
ccm chawa na Polisiccm ndiyo wanaendesha ccm kwa njia haramu za kishetani dhidi ya chademaCCM wanaendesha nchi kwakutumia tabia ya unyumbu wa kisiasa,
Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data
Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering or working towards group objectives and hypocrite to the extent of practicing ostracism
SawaWewe ndiyo unamsingizia kutojua Uonevu juu ya Lisu
Polisiccm, Chawaccm,Tumeccm ndiyo Sumu ya Demokrasia TanzaniaSawa umslopogaas wa rufiji.
Yaan mwl Nyerere angejuaga kuna watu kama wewe asingeangaika kutafuta uhuruNa unajuwa ni nani aliyeharibu 4R? Ni Lissu ila mnajifanya wasahaulifu sana. Muache anyee debe Segerea mpaka akili imkae vizuri
Makala ashitakiwe kwa uhaini kwa kuwasingizia chadema kuingiza virusiSawa
Makala ashitakiwe kwa uhaini kwa kuwasingizia chadema kuingiza virusiUnategemea jipya gani kwa
Makala
Wasira
Sasa hiyo ya kulipwa mafao hao marais na viongozi wa serikali ni sheria iliyopitishwa na Bunge ambapo hao wabunge ni wawakilishi wa wananchi, kwa maana nyingine jamii imekubaliana na utaratibu huo.Hata kwa wana CCM, pamoja na Lissu kuwa yupo upinzani tukubaliane kuwa anayosema mengine yana msingi.
Haiwezekani wake wa Marais na viongozi wengine wajilipe kodi zetu kama wafalme.
Huko ni kujisahau.
Lissu angekuwa mropokaji angeshahukumiwa vifungo vingi sana.Mama anahusikaje na miropoko ya Lissu?
Halafu ni wapi Lissu ameshtakiwa kutokana na kauli ya "no reforms no Election"?
Sawa. MshitakiniMakala ashitakiwe kwa uhaini kwa kuwasingizia chadema kuingiza virusi
Kasome sheria inayounda kosa la Uhaini ndio utajua kama Makala ametenda kosa la uhaini ama la.Makala ashitakiwe kwa uhaini kwa kuwasingizia chadema kuingiza virusi
Wenje na Abdul ndiyo wamechochea uonevu wote, wenje ana chuki kubwa na Lisu anatamani Lisu afe ili moyo wake utulieWapambe wanataka akwame huku wanampamba
Ishitakiwe jamii ya kitanzania kwa kusa maarifa ya kuweza kuchakata taarifa zenye fikra chanya na hasi, jamii ya bora liende jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka weweMakala ashitakiwe kwa uhaini kwa kuwasingizia chadema kuingiza virusi
Sheria ipi? Kosa la lisu lipo kwenye sheria ya wapi zaidi ya kuungaunga sheria za kuvumba ili mpate kisingizio cha kubambika kesi, sasa tumia hiyo sheria haramu kumshitaki Makala kwa kosa la kuwasingizia chadema juu ya virus, ccm kwa sasa mnaongoza Nchi kienyeji kwa kukumbatia ushetani mkubwaKasome sheria inayounda kosa la Uhaini ndio utajua kama Makala ametenda kosa la uhaini ama la.
Fuatilia kwanzaMama anahusikaje na miropoko ya Lissu?
Halafu ni wapi Lissu ameshtakiwa kutokana na kauli ya "no reforms no Election"?