Rais huwa hatangazi Utalii

Kulingana na uzi wako nime conclude yafuatayo

1. Hujui utalii
2. Ni Chadema
3. Huna facts
 
Kwa nini kwenye jinsia hakuzingatia hivyo ateue wanawake wengi kuliko wanaume?
Kila kabila lina strengts zake na weakness zake, nakiri Wasukuma tuna tatizo kwenye gender balance. Hii ni kutokana na Wasukuma asili yao ni polygamous in nature, hivyo kwetu mwanamke ni mtu wa kununua tuu kwa ng'ombe ukiwa nazo za kutosha unaweza kuwaoa hata wanawake 20. Hivyo Wasukuma na kanda yote ya Ziwa ukiondoa Wazanaki na Wajita, wengine wote ni wako kama wanadharau fulani kwa wanawake. Hata Gwajiboy anapandisha sauti sasa kwa vile aliyepo ni mwanamke kwa hoja "Mwanamke anaweza kunifanya nini" hivyo anamdharau. Angekuwepo JPM, asingethubutu.
P
 
Kama kwenye kanda alizingatia hivyo kwa nini kwenye dini hakuzingatia hivyo?
Wasukuma ni religious blind, wengi wameupokea Ukiristu lakini wanaendelea kuishi maisha yao ya asili, hivyo ni kweli uwiano wa udini haukuzingatiwa na huu pia nakiri ni udhaifu.
P
 
Rais amejifunika mwili wote alafu anatangaza utalii..
 
Watanzania hamna jema. Mlete Mama yako atangaze basi
Nyie hamtaki kutangaza, Rais akitangaza mnalalamika
Ujinga mwingi
 

Siyo kweli.

 
Wasukuma ni religious blind, wengi wameupokea Ukiristu lakini wanaendelea kuishi maisha yao ya asili, hivyo ni kweli uwiano wa udini haukuzingatiwa na huu pia nakiri ni udhaifu.
P
P,
I beg to differ with you.
Wasukuma ndio kabila linalozingatia religious issues kwa uhalisia kulingana na Biblia Takatifu. What Sukuma people practices on women issues is Biblical!
Turejeevkwene Bustani ya Edeni baada ya Mama yetu Hawa/ EVA kudanganywa na Nyoka/Shetani na kula Tunda walilokatazwa.
Mungu alisema kwamba MWANAMKE ATATAWALIWA NA MWANAMME NA ATAZAA KWA UCHUNGU. Mwanamke lazima awe chini ya Mwanamme irrespective of her status!!!!
Ndiyo maana WALE MAKUHANI AGANO LA KALE THEY'RE ALL MEN!
Yesu alipokuja AKACHAGUA MITUME 12 ALL WERE MEN!
Tatizo la Wanadamu leo wameingiza Beijing hata kwene sensitive issues kama Wanawake kuwatawala wanaume au kuwafanya Wanawake kuwa Wachungaji au Maaskofu which is against the Bible. Someni Biblia mjue Mungu anachosema kuhusu Mwanamke! God never changes, He's always the same!!!The same Today, Yesterday n' Forever ever.
 
Huu ni ushauri alioupata kwa Kagame, ziara zake zimeanza kutick…. tuongeze [emoji897]tu.
 
So for the past 60 years dunia bado haijui vivutio vyetu siyo?? Kama till now hawajui tuna vivutio vya utalii watakuwa wanajua tuna nini hasa? Mbona mna hoja nyepesi sana aisee??
Maendeleo ni endless process. Soda Cocacola ina miaka mingapi? Mbona bado wanai promote? Hivi kabisa unaamini kazi ya kutangaza vivutio vyetu imeisha sasa tulale tusubiri season ya utalii kila mwaka?

Halafu Rais ktk hii Royal Tour anakwenda mbali zaidi ya yale tuliyozoea. Serengeti, Ngorongoro nk. Anaibua hadi fursa za Uwekezaji. Tumuache Rais afanye kazi.
 
Hizi ndio huwa zinaitwa hoja chakavu…..Inaonesha watu jinsi walivyo mbumbumbu na uelewa mdogo sana….kukariri kubaya sana….Mama sio wa kwanza kufanya anachokifanya na kitaleta tija
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…