1. Sijapenda neno shoga, next time use gentleman's language. You are among the people I respect most on JF!Bora atandikwe ila he had balls. Wewe ni shoga kukubali kushindwa kabla hujapambana. Watanzania wengi ni wanafiki sana na hii ni matokeo ya uoga uoga wa kishamba. Unashindwa kusimamia kichwa chako matokeo yake unapelekwa pelekwa kama gari bovu.
[emoji1787][emoji1787].Akigundua mali zilizochukuliwa zina thamani kuliko hizo ndege mbili ataenda Ufaransa kufuata ndege zingine?
Shida ni kwamba you act like a fool excuse my strong words.1. Sijapenda neno shoga, next time use gentleman's language. You are among the people I respect most on JF!
2. Well and fine, onja sumu ya cyanide kwa vile huwezi kutishiwa kabla ya kupambana! Taleban walionja sumu ujue na matokeo yake unayajua
3. Why not use diplomacy to resolve issues
shida ni kuwa You act like a stupid blood bastard boy! The best way to deal with bastard boys is to block them!Shida ni kwamba you act like a fool excuse my strong words.
Kutumia diplomacy approach in African corrupt countries ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu. You will never achieve the purpose as long as walio kwenye power wananeemeka na situation iliopo. They wont allow you to win thus why we ended with a dead president.
Huyu jamaa hajawahi kumpa mtu mkono zaidi ya Putin...amejizatitiBaada ya shirika ka ndege la Ufaransa kusitisha safari zake za Burkina Faso na Mali Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini Ila marubani waruhusiwe kuondoka hadi pale ambapo watajiridhisha Kama hakuna rasilimali ufaransa wamewai beba nchini humo bila usawa
View attachment 2719864
Feel Irie bro!shida ni kuwa You act like a stupid blood bastard boy! The best way to deal with bastard boys is to block them!
AahaaaaaBaada ya shirika ka ndege la Ufaransa kusitisha safari zake za Burkina Faso na Mali Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini Ila marubani waruhusiwe kuondoka hadi pale ambapo watajiridhisha Kama hakuna rasilimali ufaransa wamewai beba nchini humo bila usawa
View attachment 2719864
AaahaaaaNi suala la muda tu.
Alijaribu Jiwe kuhusu makinikia..
Hizo fitna alizokutana nazo, bila shaka anapoongoza malaika huwa haachi kuwasimulia
Hivi ni mimi tu peke yangu nikiangalia video kupitia browser nakua sisikii sauti au?Comment yako ni kama ni Mfaransa hivii.I believe you are in the payrol of the NWO psycopaths and maniacs.Ni ajabu kwamba hata huyu👇 Mzungu anaionea huruma Africa kwa jinsi ambavyo Wazungu wanatufanyia. .Have a listen.Shame on you.
Mjukuu wa Thomas Sankara
Hawana cha kumfanya uyo jamaa kwa support aliyokuwa nayo nyuma yake ivi unafikiri asingekuwa na backup inayompa jeuri angethubutu kufanya ivyo?Anajazwa upepo na gas kama kina Slaa na Mwambukusi harafu waliowajaza wako kuchat jf [emoji1787][emoji1787]
Hajifunzi Kwa historia ya Dunia,hapo anajikuta yeye ni Kim au Putin [emoji2957][emoji2957]
Huyo huyo Putin atammaliza mark my words this soldier has more muscle than brain and fear he will be an easy target for Russia every one has a price and especially they don’t respect AfricansHuyu jamaa hajawahi kumpa mtu mkono zaidi ya Putin...amejizatiti
View attachment 2720508
USA ndio aliyeomba yaishe sababu ya support aliyokuwa nayo kutoka kwa WANANCHI wakeInaweza isiwe kama Gadafi labda iwe kama Zimbabwe lakini pia nilikasikia kanasema kanataka kufanya kazi na Marekani na wengine
Huyo ni mjukuu wa Thomas Sankara ??Mjukuu wa Thomas Sankara
Alikua mtu na nusu, kawarothisha ujasiri
Sisi ni wajukuu wa Nyerere ambae katurithisha mwenge
This time Putin ameamua uyo jamaa labda aachie mwenyewe madaraka WAGNER PMC wapo pale kuhusu Intelligence,TECHNOLOGY na mengineyo Russia atashugulikiaMibeberu inachemka kwa ghadhabu saa hizi. Ila cha ajabu sasa atakaekuja kumuondoa atakuwa ni mtu mweusi ambae atapewa bakhshish kidogo na mabeberu.
Adui wa jitihada za mtu mweusi ni mtu mweusi.
Labda simu yako ina tatizo la speaker mkuu,muone fundi.Hivi ni mimi tu peke yangu nikiangalia video kupitia browser nakua sisikii sauti au?