Tetesi: Rais Ibrahim ameagiza ndege mbili za Ufaransa aina ya Boeing kutoondoka zishikiliwe nchini

Mkuu,

Uafrika hasa utanzania ni laana.
 
Mibeberu inachemka kwa ghadhabu saa hizi. Ila cha ajabu sasa atakaekuja kumuondoa atakuwa ni mtu mweusi ambae atapewa bakhshish kidogo na mabeberu.

Adui wa jitihada za mtu mweusi ni mtu mweusi.
Ngozi nyeusi ina laana ya milele.
 
Bora kujaribu, ingawa atapigwa vikwazo vya kiuchumi
 
Air FRANCE [emoji632] walikuwa wamesimamisha safari zao za ndege kwenda Burkina Faso [emoji1059] kwa siku 5. Sasa wanataka KURUDI, Burkina Faso imekataa. Uyu kijana anawachezesha France vile anavyotaka
 
Bora kujaribu, ingawa atapigwa vikwazo vya kiuchumi
 
Habari zilizofika izi punde ni kuwa France ameomba yaishe na yupo tayari kukaa chini na serikali ya kijeshi ya NIGER wapo tayari kuingia mikataba mipya itakayokuwa na faida kwa pande zote...
Unajua,viongozi wa nchi za magharibi ni wajinga sana.Yaani mnawaibia watu for all that long,halafu kirahisi rahisi tu mnasema yaishe!No that is not the way.

Walipie kwanza kila kitu walichoiba since 1960 in monetary terms walipo sign hiyo mikataba ya kipuuzi na hovyo,halafu walipe reparations to Nigers because of psychological, physical torture and shame they inflicted on them.I guess they should also pay reparations to families who have lost loved ones because of poverty caused by the theft.

Ufaransa wakishafanya hivyo,ndio wazungumzie kuingia mikataba mipya.However because of history,sidhani kama Ufaransa ni reliable partners,watafute partners wengine kama Russia or China.The West ni wezi na matapeli tu,they are not reliable partners,waachane nao kabisa.
 
Sasa naelewa waliotaka igombea urais angalau uwe na 42..
 
Mambo ya makenikia hayo..
 
Ufaransa bila izo nchi uchumi wake una collapse faster ndio mahana hana pa kushika zaidi ya kukomaa kwenye izo nchi
 
Ngozi nyeusi ina laana ya milele.
Nahisi ngozi nyeusi ilitengenezwa maalum kwa ajili ya viraka vya matako, kwapa, nyayo. Sasa ile extra iliyobaki ndio ikatengezwa watu. Hatma yake ndio hizi akili zetu za kikwapa kwapa.
 
Huyo huyo Putin atammaliza mark my words this soldier has more muscle than brain and fear he will be an easy target for Russia every one has a price and especially they don’t respect Africans
Just a matter of perspective...ukoloni mamboleo wa ufaransa west Africa umefikia mwisho... France imelinda mafisadi na wala rushwa ili tu kulinda maslahi yake binafsi, Jeshi lilishtuka na wananchi wameshtuka.
 
Ufaransa bila izo nchi uchumi wake una collapse faster ndio mahana hana pa kushika zaidi ya kukomaa kwenye izo nchi
Mnachosahau,Ufaransa ilishaendelea kitambo kabla hata ya kukolonise hizo nchi.Ni sema tu wanaendelea kutumia any chance available as wenzetu wanawaza vizazi na vizazi vijavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…