makoye2009
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,638
- 1,219
Kamanda! Sikuelewi.
Usianze kuchafua hali ya hewa kwa uprimitive wako.
Dalili ya mvua ni mawingu na mwenye macho haambiwi tazama.
Kwa kuzingatia hiyo misemo miwili,kuna kila dalili ya kuvunjwa kwa baraza la mawaziri na baraza jipya kutangazwa hivi karibuni.e Ninachokiano ni kuwa waziri mkuu wa sasa atawekwa kando na nafasi yake yake kuchukuliwa na huyu mama X.Pamoja na sababu zingine ni kumuandaa huyu mama kuwa mgombea uraisi kupitia chama tawala.Huyu mama inaonekana ni kipenzi cha Raisi wetu na huu uteuzi wake si bure.
Ikumbukwe hata waziri mkuu wa sasa ameonekana kupwaya na hivyo ataondoka sambamba na mawaziri wengine a.k.a mawaziri mizigo.
Tusubiri tuone.
Rais Kikwete amemteua Dr Asha-rose Mtengeti Migiro kuwa mbunge wa bunge la Tanzania kuanzia jana Jumatatu.
Uteuzi umetangazwa rasmi jioni hii Ikulu ya Dar es salaam
Du!
Haya sasa, jembe hilo.
Mawaziri 5 mliotajwa kuwa ni vilaza kaeni mkao wa kuondoka!
Hukujua Mkuu?. Mheshimiwa Kwenye dini hafanyi kosa,nenda kw a wakuu wa wilaya,mkoa wakurugenzi,nenda hata UDOM uta shangaa kuona salamaleku zilivyo jaaKumbe ni muislam Asha Rose Migiro
Kwa mema gani aliyoifanyia Tanzania ambayo ni ya kipekee (Special merits) kwamba anatakiwa kupewa ubunge wa bure tuongezea mzigo mzito walipa kodi. Amerudhishwa UN for under performance sisi tunamzawadia ubunge wa bure. Hii nchi itatuchukua miaka mingi mno kuendelea
Umekurupuka wewe,anawezaje kuwa Waziri Mkuu kama sio mbunge wa kuchaguliwa jimboni?akili fupi tuuP ndo itaamini huu ujuha,Pinda atamaliza salama kipindi chair,tatizo hamjui siasa
Kuna dot.........fulani na mizunguko yake ya Chama, haya tuone kamati kuu itaamua mgombea awe mwanamke kama walivyo fanya kwa spika wa bunge. Tusubiri tuone
bank Moon kamgundua kuwa hana lolote ni mazuzu tu ndiyo hawatajuaSafi,Uchaguz bora kabisa
Basi amepania kuwang'oa baadhi ya mawazir!
Mkuu UN alibunda.Wale wajanja huwezi kuwa kilaza wakakumezeahaa!kumbe un halikimbizwa
una ushahidi au ndio ule wivu wa kipuuzi. Wewe jobless unampondea mtu kama migiro ni kichekesho.Jitu lililokataliwa UN for underperformance eti TZ ndo jembe. Poor TZ .
Dalili ya mvua ni mawingu na mwenye macho haambiwi tazama.
Kwa kuzingatia hiyo misemo miwili,kuna kila dalili ya kuvunjwa kwa baraza la mawaziri na baraza jipya kutangazwa hivi karibuni.e Ninachokiano ni kuwa waziri mkuu wa sasa atawekwa kando na nafasi yake yake kuchukuliwa na huyu mama X.Pamoja na sababu zingine ni kumuandaa huyu mama kuwa mgombea uraisi kupitia chama tawala.Huyu mama inaonekana ni kipenzi cha Raisi wetu na huu uteuzi wake si bure.
Hata hivyo,huenda katiba hairuhusu mbunge wa kuteuliwa kuwa waziri mkuu lakini anaweza kupewa wizara nyeti kwa sababu hiyo tu.
Ikumbukwe hata waziri mkuu wa sasa ameonekana kupwaya na hivyo ataondoka sambamba na mawaziri wengine a.k.a mawaziri mizigo.
Tusubiri tuone.