Kenge (Eng)
JF-Expert Member
- Dec 7, 2006
- 543
- 163
Kuna dot.........fulani na mizunguko yake ya Chama, haya tuone kamati kuu itaamua mgombea awe mwanamke kama walivyo fanya kwa spika wa bunge. Tusubiri tuone
Rais wa JMT Dr. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua mwanadiplomasia Dr. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge wa Bunge la JMT.
Hongera sana Mama Migiro kwa uteuzi huo. Hongera Rais kwa uteuzi madhubuti.
Mungu Ibariki Tanzania...
Hongera mama Asha tunategemea utendaji mzuri kutoka kwako
Umejimilikisha jimbo kabla hata ya uteuzi wa wagombea na kampeni za uchaguzi!.Nina msubiri kwa hamu sana 2015 mwanga... ni mlaini kuliko wanavyodhani... hongera migiro kama ni kweli nakusubiri jimboni mwanga 2015. Yes...
Rais wa JMT Dr. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua mwanadiplomasia Dr. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge wa Bunge la JMT.
Hongera sana Mama Migiro kwa uteuzi huo. Hongera Rais kwa uteuzi madhubuti.
Mungu Ibariki Tanzania...
Mulugo mguu pande,mguu sawa, nyuma geuka!!!! Mbeleeeeee tembea!!!
Anataka ampe utazidi nini! un kachemsha labda bongo atamudu maana watendaji wengi ni dhaifu! Aha nimekumbuka anaongeza wapiga kura Wakati wa bunge la katiba!
Oyaaaa!!!! Jamiiforums ni familia kubwa saaana. Kabla hujapost habari, hasa ambayo ni public jiridhishe kwamba hakuna ambaye ameshapost, unawapa kazi moderators kuunganisha nyuzi. Hii habari yako imeshafunguliwa uzi na umeshachangiwa sana. Jifunze!!!DR.Asha Rose Migiro ateuliwa kuwa Mbunge wa Heshima,Bunge la Tanzania.Uteuzi umefanyika leo na Mh.Rais wa JMT