Rais Jakaya Kikwete amteua Dkt. Asha-Rose Migiro kuwa mbunge

Huyu mama hana lolote ndio maana katibu wa umoja wa mataifa alimwaga baada ya kushindwa kudeliver wakati akiwa UN hapo ndio naamini uongozi sio shule za kukariri Kama wakina Migiro uongozi ni Nature Kama anavyofanya Mbowe anawaumiza kichwa ccm ndio maana huwa namsalute Mbowe kwasababu ni genius kwenye uongozi bila phd
 

Huyu jamaa ndio mmoja kati ya watu wapotoshaji na wanaoharibu watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Sifa ya huyu mama UN ni kubwa na heshima kwa watanzania ambayo huyu jamaa hawezi kuipata hata siku moja. Usipende chama zaidi kuliko utu wa mtu.
 
Usifanye ya UN tena....bellow standard...
 
dr.asha rose migiro ateuliwa kuwa mbunge wa heshima,bunge la tanzania.uteuzi umefanyika leo na mh.rais wa jmt

mbunge wa heshima ana kazi gani bungeni?
 
,wenye mawazo yakungojea kuoteshwa uraisi 2015 kazi kwake safu ndio hiyo inakamilika
Rais wa JMT Dr. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua mwanadiplomasia Dr. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge wa Bunge la JMT.

Hongera sana Mama Migiro kwa uteuzi huo. Hongera Rais kwa uteuzi madhubuti.

Mungu Ibariki Tanzania...
 

Sawa tumekuelewa nisalimie mkeo mzee. Cc Matola.
 
Last edited by a moderator:
Nimegonga LIKE!!!!!!!!
Asante mkuu. Hapa JK ametikisa kiberiti. Tutaanza kuona mawaziri wakijifanya kuwa wakari ili kuonesha wanachapa kazi. Ooooh my country Tanzania, when will you start walking??? Miaka 50+ bado unatambaa!!!!!
 
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi wameamua kutafuna pesa za mshahara na posho za bunge,kudadeki,katembea na kinana vijijini kurudi tuh,ubunge huo.............mungu amuepushe asije akawa mjamzito ili atu ikie bunge kweli

Uwe na adabu, usipende kutukana Mama wa watu, huyo ni sawa na mama yako. Kama chama chenu kinawafundisha mkose adabu basi rudia malezi ya wazazi wako. Muone mtu mzima hovyo!
 
Hongera mwanangu wee hongera nasi tuhongere wee hongera.
Hongera Bi Asha wee hongera.
 
Rais wa JMT Dr. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua mwanadiplomasia Dr. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge wa Bunge la JMT.

Hongera sana Mama Migiro kwa uteuzi huo. Hongera Rais kwa uteuzi madhubuti.

Mungu Ibariki Tanzania...

Hongera yake. Anglau kwa nafasi hiyo ya ubunge atatumia akili, taaluma na uzoevu wake, maana kule kwingine kwenye chama alikuwa amepotea njia. Kwa level yake, haikuwa sahihi hata kidogo kucheza ngoma moja na 'first class economist' au yule katibu mkubwa wa chama tawala (anaitwa nani kweli????). Hongera daktari Asha Rose Migiro!!!
 

http://showbizxklusivs.blogspot.com/2012/07/why-dr-asha-rose-migiros-contract-was.html
 
Huyu hawezi kuwa RAISI,ltakuwa kapewa ubunge ili ateuliwe kuwa Waziri,maana kama ni kumpunguzia njaa,tayari alishapewa shavu CCM,na ule ukuu wa Chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…