Walinzi hawapo makini anatakiwa ata kabla ajagusa chini awe ameshavutwa paaap!!🚶🚶🚶Rais Joe Biden wa Marekani mwenye miaka 78 ameanguka mara tatu kwenye ngazi za ndege ya Airforce one akiwa anaelekea mji wa Atlanta. Lakini baadae aliamka na kuendelea na safari...
Aaah mbona kawaida sana hii...Video hii hapa🤣🤣
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] wee acha tu watu walikuwa wanajiona ka miungu vileIngekuwa ni hapa kwetu hiyo habari ingefanywa siri kubwa na angeweza kutokea waziri na kusema hilo jambo sio la kweli bali ni uvumi wa maadui zetu wa kiuchumi. Kweli nchi hii ndani ya hii miaka mitano na nusu tuligeuzwa mazuzu.
Sio bahati mbaya anaonekana wazi wazi ana matatizo kwenye locomotion - mwangalie alipo shuka kutoka kwenye Helicopter na kwenda air force one kwenye apron alionekana tembea yake ina walakini, angalia mtu aliye ongozana nae huyo atabembea vizuri lakini Biden anachechemea chechemea kwa kificho ili watu wasimshitukie,Itakuwa bahati mbaya
Haaa, muda wowote Harris anachukua nchi
Video hii hapa[emoji1787][emoji1787]
Rais mwingine mwanamke anapasha.
Ni kweli Mshana angekuja na ma theory yake ya uchawi.Ingekuwa bongo wangesema ni uchawi [emoji3525][emoji3525]
Kama sio kuzuiwa na mitandao, Trump angepost balaa hii video
Ex-soldier huyo. Aliumia kwenye vitaSio bahati mbaya anaonekana wazi wazi ana matatizo kwenye locomotion - mwangalie alipo shuka kutoka kwenye Helicopter na kwenda air force one kwenye apron alionekana tembea yake ina walakini, angalia mtu aliye ongozana nae huyo atabembea vizuri lakini Biden anachechemea chechemea kwa kificho ili watu wasimshitukie, lakini ukimwangalia kwa umakini katika tembea yake ana matatizo kwenye miguu yake, hivyo sikushangaa alipo anguka kwenye ngazi kutokana na pupa yake ya kutaka kujionyesha kwa wapiga kura wake kwamba yupo fit.
Kwangu ni mara ya pili kwangu kumuona Biden akitembea kwa shida/chechemea kwa mbali.
Unataka kusema New World Order inaanza kutimia ?Haaa, muda wowote Harris anachukua nchi
Dah....labda wa mashowger [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]