Rais Joe Biden ajikwaa mara mbili na kudondoka akijaribu kupanda ndege maalumu ya Air Force One

Rais Joe Biden ajikwaa mara mbili na kudondoka akijaribu kupanda ndege maalumu ya Air Force One

Rais Joe Biden wa Marekani mwenye miaka 78 ameanguka mara tatu kwenye ngazi za ndege ya Airforce one akiwa anaelekea mji wa Atlanta. Lakini baadae aliamka na kuendelea na safari...
Walinzi hawapo makini anatakiwa ata kabla ajagusa chini awe ameshavutwa paaap!!🚶🚶🚶
 
Ingekuwa ni hapa kwetu hiyo habari ingefanywa siri kubwa na angeweza kutokea waziri na kusema hilo jambo sio la kweli bali ni uvumi wa maadui zetu wa kiuchumi. Kweli nchi hii ndani ya hii miaka mitano na nusu tuligeuzwa mazuzu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] wee acha tu watu walikuwa wanajiona ka miungu vile
 
Ndio maana Putin alimtakia afya njema [emoji16][emoji16][emoji16].

Ila yuko strong bwana
 
Itakuwa bahati mbaya
Sio bahati mbaya anaonekana wazi wazi ana matatizo kwenye locomotion - mwangalie alipo shuka kutoka kwenye Helicopter na kwenda air force one kwenye apron alionekana tembea yake ina walakini, angalia mtu aliye ongozana nae huyo atabembea vizuri lakini Biden anachechemea chechemea kwa kificho ili watu wasimshitukie,

lakini ukimwangalia kwa umakini katika tembea yake ana matatizo kwenye miguu yake, hivyo sikushangaa alipo anguka kwenye ngazi kutokana na pupa yake ya kutaka kujionyesha kwa wapiga kura wake kwamba yupo fit.

Kwangu ni mara ya pili kwangu kumuona Biden akitembea kwa shida/chechemea kwa mbali.
 
Kama sio kuzuiwa na mitandao, Trump angepost balaa hii video

IMG_3069.png

Hahahaaa mtoto wake anamsaidia ku post huko insta [emoji23][emoji23]
 
Sio bahati mbaya anaonekana wazi wazi ana matatizo kwenye locomotion - mwangalie alipo shuka kutoka kwenye Helicopter na kwenda air force one kwenye apron alionekana tembea yake ina walakini, angalia mtu aliye ongozana nae huyo atabembea vizuri lakini Biden anachechemea chechemea kwa kificho ili watu wasimshitukie, lakini ukimwangalia kwa umakini katika tembea yake ana matatizo kwenye miguu yake, hivyo sikushangaa alipo anguka kwenye ngazi kutokana na pupa yake ya kutaka kujionyesha kwa wapiga kura wake kwamba yupo fit.

Kwangu ni mara ya pili kwangu kumuona Biden akitembea kwa shida/chechemea kwa mbali.
Ex-soldier huyo. Aliumia kwenye vita

Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
 
Rais wa Marekani Joe Biden, alianguka mara tatu wakati alipokuwa akiingia kwenye ndege ya rais. Kitendo cha Rais Joe Biden kuanguka mara tatu kwenye ngazi za ndege ya rais wakati alipokuwa akipanda, kimekuwa ajenda kuu iliyogonga vichwa vya habari nchini Marekani.
maxresdefault-3.jpeg

Biden, ambaye alichukua kiti cha Urais wa Marekani mnamo Januari 20, 2021, alionekana hapo Siku hiyo kwenye kituo cha kijeshi cha Andrews Military Air Base kabla ya ziara yake ya kuelekea Atlanta, Georgia.



 
Back
Top Bottom