Sio bahati mbaya anaonekana wazi wazi ana matatizo kwenye locomotion - mwangalie alipo shuka kutoka kwenye Helicopter na kwenda air force one kwenye apron alionekana tembea yake ina walakini, angalia mtu aliye ongozana nae huyo atabembea vizuri lakini Biden anachechemea chechemea kwa kificho ili watu wasimshitukie, lakini ukimwangalia kwa umakini katika tembea yake ana matatizo kwenye miguu yake, hivyo sikushangaa alipo anguka kwenye ngazi kutokana na pupa yake ya kutaka kujionyesha kwa wapiga kura wake kwamba yupo fit.
Kwangu ni mara ya pili kwangu kumuona Biden akitembea kwa shida/chechemea kwa mbali.