20 July 2022
Washington DC
TAARIFA YA KIKAO KIJACHO CHA RAIS BIDEN NA VIONGOZI WA AFRIKA / US - AFRICA SUMMIT 2022
Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Afrika kwa Majadiliano Washington
Taarifa ya Ikulu ya Marekani maarufu kama White House imetolewa kuelezea mwaliko wa Rais wa Marekani kwa viongozi wa mataifa ya Afrika, wakutane kujadiliana mjini Washington kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea duniani.
Masuala hayo ni kama ya usalama wa chakula / food security, Covid-19, ulinzi wa amani, demokrasia pia haki za binadamu, nafasi ya sekta binafsi za kibiashara n.k ambayo yamesababisha chumi nyingi za dunia kuyumba huku bara la Afrika lilikabiliwa vibaya zaidi na changamoto ya uchumi kuyumba na gharama za maisha kupaa.
Mkutano huo wa Rais Joe Biden na viongozi utafanyika December 13 -15 2022 jijini Washington na kutumika pia kuimarisha mahusiano yaliyopo ktk ya nchi za Afrika na nchi ya Marekani.
The U.S.-Africa Leaders Summit will build on our shared values to better foster new economic engagement; reinforce the U.S.-Africa commitment to democracy and human rights; mitigate the impact of COVID-19 and of future pandemics; work collaboratively to strengthen regional and global health; promote food security; advance peace and security; respond to the climate crisis; and amplify diaspora ties.
I look forward to working with African governments, civil society, diaspora communities across the United States, and the private sector to continue strengthening our shared vision for the future of U.S.-Africa relations
Source: Statement by President Biden on the U.S.-Africa Leaders Summit | The White House
Washington DC
TAARIFA YA KIKAO KIJACHO CHA RAIS BIDEN NA VIONGOZI WA AFRIKA / US - AFRICA SUMMIT 2022
Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Afrika kwa Majadiliano Washington
Taarifa ya Ikulu ya Marekani maarufu kama White House imetolewa kuelezea mwaliko wa Rais wa Marekani kwa viongozi wa mataifa ya Afrika, wakutane kujadiliana mjini Washington kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea duniani.
Masuala hayo ni kama ya usalama wa chakula / food security, Covid-19, ulinzi wa amani, demokrasia pia haki za binadamu, nafasi ya sekta binafsi za kibiashara n.k ambayo yamesababisha chumi nyingi za dunia kuyumba huku bara la Afrika lilikabiliwa vibaya zaidi na changamoto ya uchumi kuyumba na gharama za maisha kupaa.
Mkutano huo wa Rais Joe Biden na viongozi utafanyika December 13 -15 2022 jijini Washington na kutumika pia kuimarisha mahusiano yaliyopo ktk ya nchi za Afrika na nchi ya Marekani.
Statement by President Biden on the U.S.-Africa Leaders Summit
I look forward to hosting leaders from across the African continent in Washington, DC on December 13-15, 2022, for the U.S.-Africa Leaders Summit. The Summit will demonstrate the United States’ enduring commitment to Africa, and will underscore the importance of U.S.-Africa relations and increased cooperation on shared global priorities.The U.S.-Africa Leaders Summit will build on our shared values to better foster new economic engagement; reinforce the U.S.-Africa commitment to democracy and human rights; mitigate the impact of COVID-19 and of future pandemics; work collaboratively to strengthen regional and global health; promote food security; advance peace and security; respond to the climate crisis; and amplify diaspora ties.