Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Africa kwa majadiliano Washington

Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Africa kwa majadiliano Washington

Asante Russia kwa kutueshimisha leo hii tunaalikwa sio shit hole tena USA ameona ameanza kupoteza ushawishi wake duniani ndio mahana anawaalika kabla ya Russia kufanya alichofanya ukraine ilikuwa inapigwa simu tu tena siyo na rais wa marekani bali waziri wa mambo ya nje unapewa order then una follow ukikataa wanakukatia misaada putin amewafundisha nchi nyingi kuwa west awapo kama vile walivyokuwa wanatukalilishwa yaani watu smart,grnius etc. baada ya kuona Russia amepania kuja kuwekeza na kuleta tech yake africa na wao ndio wanaamka uzuri wa sisi tanzania atufungamani na upande wowote akija Russia sawa akija USA na yeye sawa ..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji635][emoji635][emoji123][emoji123]
 
Anawapa posho, malazi, all other incetives inclusive and all president/king/Queen deligates! From there you will have to meet a statement; "The hand that provides is above that hand that receives".
Hivi kwa nini yeye ndo asije kwenye mkutano wa AU huku Africa.
Yani aite nchi zote kama mbuzi huko Marekani wakati yeye anaweza kuja AU Ethiopia.

20 July 2022
Washington DC

TAARIFA YA KIKAO KIJACHO CHA RAIS BIDEN NA VIONGOZI WA AFRIKA / US - AFRICA SUMMIT 2022

Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Afrika kwa Majadiliano Washington

Taarifa ya Ikulu ya Marekani maarufu kama White House imetolewa kuelezea mwaliko wa Rais wa Marekani kwa viongozi wa mataifa ya Afrika, wakutane kujadiliana mjini Washington kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea duniani.

Masuala hayo ni kama ya usalama wa chakula / food security, Covid-19, ulinzi wa amani, demokrasia pia haki za binadamu, nafasi ya sekta binafsi za kibiashara n.k ambayo yamesababisha chumi nyingi za dunia kuyumba huku bara la Afrika lilikabiliwa vibaya zaidi na changamoto ya uchumi kuyumba na gharama za maisha kupaa.

Mkutano huo wa Rais Joe Biden na viongozi utafanyika December 13 -15 2022 jijini Washington na kutumika pia kuimarisha mahusiano yaliyopo ktk ya nchi za Afrika na nchi ya Marekani.

Statement by President Biden on the U.S.-Africa Leaders Summit​

JULY 20, 2022SPEECHES AND REMARKS
I look forward to hosting leaders from across the African continent in Washington, DC on December 13-15, 2022, for the U.S.-Africa Leaders Summit. The Summit will demonstrate the United States’ enduring commitment to Africa, and will underscore the importance of U.S.-Africa relations and increased cooperation on shared global priorities.
The U.S.-Africa Leaders Summit will build on our shared values to better foster new economic engagement; reinforce the U.S.-Africa commitment to democracy and human rights; mitigate the impact of COVID-19 and of future pandemics; work collaboratively to strengthen regional and global health; promote food security; advance peace and security; respond to the climate crisis; and amplify diaspora ties.
I look forward to working with African governments, civil society, diaspora communities across the United States, and the private sector to continue strengthening our shared vision for the future of U.S.-Africa relations

Source : Statement by President Biden on the U.S.-Africa Leaders Summit | The White House
The meeting must have something to do with benefit of America.
 
Ma Raisi wanaojielewa hawataenda, watatuma tu wawakilishi ila kimsingi ni mtego huo wa kuona nani anaunga mkono ushoga na nani haungi mkono ili kusudi waje kuanzisha vurugumechi na kuiba rasilimali.

Siku zote tulikuwa tunafanyiwa the easy way through bogus treaties ila kwa sasa kitakachofata ni the hard ways kwa njama za vurugu wanachukuliwa kundi la walamba asali wanalambishwa buyu vurugu zinaanza kuikataa CCM biashara inaisha.😂😂😂
 
20 July 2022
Washington DC

TAARIFA YA KIKAO KIJACHO CHA RAIS BIDEN NA VIONGOZI WA AFRIKA / US - AFRICA SUMMIT 2022

Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Afrika kwa Majadiliano Washington

Taarifa ya Ikulu ya Marekani maarufu kama White House imetolewa kuelezea mwaliko wa Rais wa Marekani kwa viongozi wa mataifa ya Afrika, wakutane kujadiliana mjini Washington kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea duniani.

Masuala hayo ni kama ya usalama wa chakula / food security, Covid-19, ulinzi wa amani, demokrasia pia haki za binadamu, nafasi ya sekta binafsi za kibiashara n.k ambayo yamesababisha chumi nyingi za dunia kuyumba huku bara la Afrika lilikabiliwa vibaya zaidi na changamoto ya uchumi kuyumba na gharama za maisha kupaa.

Mkutano huo wa Rais Joe Biden na viongozi utafanyika December 13 -15 2022 jijini Washington na kutumika pia kuimarisha mahusiano yaliyopo ktk ya nchi za Afrika na nchi ya Marekani.

Statement by President Biden on the U.S.-Africa Leaders Summit​

JULY 20, 2022SPEECHES AND REMARKS
I look forward to hosting leaders from across the African continent in Washington, DC on December 13-15, 2022, for the U.S.-Africa Leaders Summit. The Summit will demonstrate the United States’ enduring commitment to Africa, and will underscore the importance of U.S.-Africa relations and increased cooperation on shared global priorities.
The U.S.-Africa Leaders Summit will build on our shared values to better foster new economic engagement; reinforce the U.S.-Africa commitment to democracy and human rights; mitigate the impact of COVID-19 and of future pandemics; work collaboratively to strengthen regional and global health; promote food security; advance peace and security; respond to the climate crisis; and amplify diaspora ties.
I look forward to working with African governments, civil society, diaspora communities across the United States, and the private sector to continue strengthening our shared vision for the future of U.S.-Africa relations

Source : Statement by President Biden on the U.S.-Africa Leaders Summit | The White House
Maza anavopenda safari, I bet hii hawezi kukosa.
Pia viongozi wa Africa walichoitiwa hapo ni kuhusu Urusi, hayo mengine Ni mengineyo.
 
Hivi kwa nini yeye ndo asije kwenye mkutano wa AU huku Africa.
Yani aite nchi zote kama mbuzi huko Marekani wakati yeye anaweza kuja AU Ethiopia.
walaumu AU kwa kutomualika bila kusahau majengo ya AU yamejengwa na China na zipo shutuma kuwa China anadukua kila kinachozungumzwa huko AU sabab kaweka vinasa saut na hidden video camera
 
Turudie tena kuwaambia hawa mazuzu ya kiafrika yatakayojikusanya Washington: sisi raia wa kawaida wa Afrika tushashtuka kitambo. Madhara ya structural adustment programmes (SAPs) ya miaka ya 1980 -1990 tuliyobambikiziwa na hao hao wamarekani tunaanza kuyaona leo. Leo hii vijana wetu wanagraduate mechanical engineering, electronics na Bcom lakini wanaishia kuendesha bajaji na kufungua vibanda vya mpesa kwa sababu viwanda vyetu vya nguo, matairi, betri, vibiriti, generies zetu za pamba, vililazimishwa kufa kwa sababu ya SAPs. Uwezo wetu wa kutengeneza ajira ndani za watoto wetu na vizazi vyetu vijavyo haupo kabisa na tumeishia kuomba omba na kufanya biashara za uchuuzi kwa bidhaa za kuimport.

Kama kuna viongozi wa Afrika wasioweza wasiong'amua tatizo la msingi kuhusu Afrika ni viongozi wajinga tu ndio wataenda kumsikiliza Biden.
sio marekan tu hata warusi walipambana iwe hivyo lengo wapate soko la viwanda vyao na ajira kwa watoto , ni kituko mtu kupoint USA as if kuna upande mwema kwetu waafrika , its too funny , lzm tuamke na kimufight kiume haya mambo ya kujibebisha tutachukua miaka kupiga hatua
 
Hii bado imekaa kikoloni zaidi.

Je, gharama za safari na kulala mahoteli nani analipa?

Yaani sisi waafrika hatuko tayari kubadilika.
mtu anasherehe unasema kwann asije kwenu , hv waafrika tumerogwa ? mualiko sio amri ni ombi la kushirik tu walalamikieni viongoz wenu mnaochagua kwa malipo ya buku mbili plus tshirt za kijan , akil mtu ang
 
Hivyo viwanda unavyoviongelea vingi viliachwa na wakoloni au vilijengwa kwa msaada baada ya uhuru na vilikuwa vinaendeshwa kwa hasara. Kama viwanda vingekuwa ni vinaendeshwa vizuri wala tusingetegemea misaada ya Wamarekani yenye masharti mengi.
ttzo ni viongoz wetu wala sio hao tunaowalaumu kila siku yaan wapambane kuiangusha Afrika waiache China na India zinapiga hatua , afrika ndo makao makuu ya comedy dunian
 
Anahaha kuungwa mkono juu ya vita yake (kwa kutumia damu ya wa-Ukraine) na Warusi!! Jasho limnamtoka!
Avamie Urusi aue Urusi ila alalamikiwe msaidiaj , mlitaka aachwe tu kuua km alivyowaua watu huko Georgia 2008 au huko Moldova alivyopora jimbo au huko Beralus mwaka 2020 alivyoua zaid ya raia 200 ili Lukashenko abakie madaraki kwa mwaka wa 27 au huko Kazaskan mwaka 2021 raia wameuawa kwa silaha za msaada kutoka Urusi ili kumlinda Kibaraka wao
 
Back
Top Bottom