Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Nahisi atawahi wiki 2 kabla, wengine wakifika yeye ndio atakuwa anawapokea.Mama amepata sababu ya kutoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi atawahi wiki 2 kabla, wengine wakifika yeye ndio atakuwa anawapokea.Mama amepata sababu ya kutoka
Mkutano wa AU sio wakawake. Yeye ndio mwenye sherehe, unataka afanyie kwa waalikwa?Hivi kwa nini yeye ndo asije kwenye mkutano wa AU huku Africa.
Yani aite nchi zote kama mbuzi huko Marekani wakani yeye anaweza kuja AU Ethiopia.
Hivi kwa nini yeye ndo asije kwenye mkutano wa AU huku Africa.
Yani aite nchi zote kama mbuzi huko Marekani wakani yeye anaweza kuja AU Ethiopia.
tena sio sanduku moja maana yale magunia anayovaa sio mchezo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] samia atakuwa wa kwanza kufika Washington.
Vile alivyo na mchecheto nahisi kashaanza kupanga masanduku muda huu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Turudie tena kuwaambia hawa mazuzu ya kiafrika yatakayojikusanya Washington: sisi raia wa kawaida wa Afrika tushashtuka kitambo. Madhara ya structural adustment programmes (SAPs) ya miaka ya 1980 -1990 tuliyobambikiziwa na hao hao wamarekani tunaanza kuyaona leo. Leo hii vijana wetu wanagraduate mechanical engineering, electronics na Bcom lakini wanaishia kuendesha bajaji na kufungua vibanda vya mpesa kwa sababu viwanda vyetu vya nguo, matairi, betri, vibiriti, generies zetu za pamba, vililazimishwa kufa kwa sababu ya SAPs. Uwezo wetu wa kutengeneza ajira ndani za watoto wetu na vizazi vyetu vijavyo haupo kabisa na tumeishia kuomba omba na kufanya biashara za uchuuzi kwa bidhaa za kuimport.
Kama kuna viongozi wa Afrika wasioweza wasiong'amua tatizo la msingi kuhusu Afrika ni viongozi wajinga tu ndio wataenda kumsikiliza Biden.
Anahaha kuungwa mkono juu ya vita yake (kwa kutumia damu ya wa-Ukraine) na Warusi!! Jasho limnamtoka!20 July 2022
Washington DC
TAARIFA YA KIKAO KIJACHO CHA RAIS BIDEN NA VIONGOZI WA AFRIKA / US - AFRICA SUMMIT 2022
Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Afrika kwa Majadiliano Washington
Taarifa ya Ikulu ya Marekani maarufu kama White House imetolewa kuelezea mwaliko wa Rais wa Marekani kwa viongozi wa mataifa ya Afrika, wakutane kujadiliana mjini Washington kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea duniani.
Masuala hayo ni kama ya usalama wa chakula / food security, Covid-19, ulinzi wa amani, demokrasia pia haki za binadamu, nafasi ya sekta binafsi za kibiashara n.k ambayo yamesababisha chumi nyingi za dunia kuyumba huku bara la Afrika lilikabiliwa vibaya zaidi na changamoto ya uchumi kuyumba na gharama za maisha kupaa.
Mkutano huo wa Rais Joe Biden na viongozi utafanyika December 13 -15 2022 jijini Washington na kutumika pia kuimarisha mahusiano yaliyopo ktk ya nchi za Afrika na nchi ya Marekani.
Statement by President Biden on the U.S.-Africa Leaders Summit
JULY 20, 2022SPEECHES AND REMARKS
I look forward to hosting leaders from across the African continent in Washington, DC on December 13-15, 2022, for the U.S.-Africa Leaders Summit. The Summit will demonstrate the United States’ enduring commitment to Africa, and will underscore the importance of U.S.-Africa relations and increased cooperation on shared global priorities.
The U.S.-Africa Leaders Summit will build on our shared values to better foster new economic engagement; reinforce the U.S.-Africa commitment to democracy and human rights; mitigate the impact of COVID-19 and of future pandemics; work collaboratively to strengthen regional and global health; promote food security; advance peace and security; respond to the climate crisis; and amplify diaspora ties.
I look forward to working with African governments, civil society, diaspora communities across the United States, and the private sector to continue strengthening our shared vision for the future of U.S.-Africa relations
Source : Statement by President Biden on the U.S.-Africa Leaders Summit | The White House
Hiyo ndiyo sababu kuu. Lengo la USA ni kuziwekea uzio Russia na China zisipate urafiki na kuungwa mkono Africa. It's too little too late, hata wao na ukoloni wao hawajafanya chochote cha maana. Wote wanatafuta kujinufaisha na raslimali za Africa tu.hahahaha mualiko... US ameona afrika ina egemea upande wa china na urusi... nao wana taka kingia huko shithole kantirizi sijui kontinenti
20 July 2022
Washington DC
TAARIFA YA KIKAO KIJACHO CHA RAIS BIDEN NA VIONGOZI WA AFRIKA / US - AFRICA SUMMIT 2022
Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Afrika kwa Majadiliano Washington
Taarifa ya Ikulu ya Marekani maarufu kama White House imetolewa kuelezea mwaliko wa Rais wa Marekani kwa viongozi wa mataifa ya Afrika, wakutane kujadiliana mjini Washington kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea duniani.
Masuala hayo ni kama ya usalama wa chakula / food security, Covid-19, ulinzi wa amani, demokrasia pia haki za binadamu, nafasi ya sekta binafsi za kibiashara n.k ambayo yamesababisha chumi nyingi za dunia kuyumba huku bara la Afrika lilikabiliwa vibaya zaidi na changamoto ya uchumi kuyumba na gharama za maisha kupaa.
Mkutano huo wa Rais Joe Biden na viongozi utafanyika December 13 -15 2022 jijini Washington na kutumika pia kuimarisha mahusiano yaliyopo ktk ya nchi za Afrika na nchi ya Marekani.
Statement by President Biden on the U.S.-Africa Leaders Summit
JULY 20, 2022SPEECHES AND REMARKS
I look forward to hosting leaders from across the African continent in Washington, DC on December 13-15, 2022, for the U.S.-Africa Leaders Summit. The Summit will demonstrate the United States’ enduring commitment to Africa, and will underscore the importance of U.S.-Africa relations and increased cooperation on shared global priorities.
The U.S.-Africa Leaders Summit will build on our shared values to better foster new economic engagement; reinforce the U.S.-Africa commitment to democracy and human rights; mitigate the impact of COVID-19 and of future pandemics; work collaboratively to strengthen regional and global health; promote food security; advance peace and security; respond to the climate crisis; and amplify diaspora ties.
I look forward to working with African governments, civil society, diaspora communities across the United States, and the private sector to continue strengthening our shared vision for the future of U.S.-Africa relations
Source : Statement by President Biden on the U.S.-Africa Leaders Summit | The White House
AhahahahIs it too good to be true?
Suddenly Africa is not a shit hole continent!
Mama amepata sababu ya kutoka
Prosper Africa mobilizes services and resources from across the U.S. Government to empower businesses and investors with market insights, deal support, financing opportunities, and solutions to strengthen business climates.
![]()
“We must all work together to advance our shared vision of a better future – a future of growing trade and investment that advances prosperity for all our nations.”
PRESIDENT BIDEN TO AU SUMMIT PARTICIPANTSFebruary 2021
[emoji16][emoji38][emoji38][emoji38]Hangaya ataenda kabla ya muda