Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Africa kwa majadiliano Washington

Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Africa kwa majadiliano Washington

Hiyo ni definition ya ujamaa ya shule za msingi.

Soma hotuba ya Nyerere hapa ujifunze nini maana ya ujamaa.

Ujamaa pia una njia nyingi za kuutekeleza. Si lazima ujamaa wa China ufanane na Ujamaa wa Tanzania, na si lazima Ujamaa wa mwaka 1970 ufanane na Ujamaa wa mwaka 2022.

Ni watu wavivu tu wa kufikiri wanaoamini kwamba Westerners wanaoperate ubepari bila oversight ya serikali zao kwa maslahi ya serikali zao ya muda mfupi na muda mrefu. Watu hao wavivu wa kufikiri wengi wao ni watanzania waliolishwa propaganda kwamba serikali fulani inapofanya jitihada za makusudi na mahsusi kuanzisha kiwanda au kampuni fulani yenye mrengo wa kufanya biashara basi huo ni ujamaa na ni lazima ufe. Stupid Tanzanians.
 
Hapa ndipo nafikiri tunaweza kupata dhana halisi ya ujamaa kama alivyotaka Nyerere ieleweke. Pamoja na hayo bado ilipaswa kuwa jukumu la viongozi na watu walioaminiwa na Nyerere kusimamia viwanda na makampuni ya umma kutafsiri dhana hii ya Ujamaa kwa mapana na marefu ili kuhakikisha ujamaa unaleta tija. Kwa bahati mbaya watu walioaminiwa walimwangusha Nyerere na kuingusha Tanzania kwa ujumla wake.
 
Attachments

20 July 2022
Washington DC

TAARIFA YA KIKAO KIJACHO CHA RAIS BIDEN NA VIONGOZI WA AFRIKA / US - AFRICA SUMMIT 2022

Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Afrika kwa Majadiliano Washington

Taarifa ya Ikulu ya Marekani maarufu kama White House imetolewa kuelezea mwaliko wa Rais wa Marekani kwa viongozi wa mataifa ya Afrika, wakutane kujadiliana mjini Washington kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea duniani.

Masuala hayo ni kama ya usalama wa chakula / food security, Covid-19, ulinzi wa amani, demokrasia pia haki za binadamu, nafasi ya sekta binafsi za kibiashara n.k ambayo yamesababisha chumi nyingi za dunia kuyumba huku bara la Afrika lilikabiliwa vibaya zaidi na changamoto ya uchumi kuyumba na gharama za maisha kupaa.

Mkutano huo wa Rais Joe Biden na viongozi utafanyika December 13 -15 2022 jijini Washington na kutumika pia kuimarisha mahusiano yaliyopo ktk ya nchi za Afrika na nchi ya Marekani.

Statement by President Biden on the U.S.-Africa Leaders Summit​

JULY 20, 2022SPEECHES AND REMARKS
I look forward to hosting leaders from across the African continent in Washington, DC on December 13-15, 2022, for the U.S.-Africa Leaders Summit. The Summit will demonstrate the United States’ enduring commitment to Africa, and will underscore the importance of U.S.-Africa relations and increased cooperation on shared global priorities.
The U.S.-Africa Leaders Summit will build on our shared values to better foster new economic engagement; reinforce the U.S.-Africa commitment to democracy and human rights; mitigate the impact of COVID-19 and of future pandemics; work collaboratively to strengthen regional and global health; promote food security; advance peace and security; respond to the climate crisis; and amplify diaspora ties.
I look forward to working with African governments, civil society, diaspora communities across the United States, and the private sector to continue strengthening our shared vision for the future of U.S.-Africa relations

Source : Statement by President Biden on the U.S.-Africa Leaders Summit | The White House
Tusidanganyane yote ni matokeo ya madudu ya mabeberu,chini yauratibu wa Beberu mkuu.Africans stand on your own feet and not on beberu artificial heights🤔.
 
Unafikiri nini kinaweza kumfanya au kumsukuma mtumishi wa umma asimamie vizuri kwa ufanisi kiwanda au kampuni ambayo ikifanya vizuri kwa maana ya kupata faida kubwa yeye binafsi hatanufaika moja kwa moja na hiyo faida au ikipata hasara yeye binafsi hataathirika moja kwa moja na hiyo hasara??
Hapa ndipo nafikiri tunaweza kupata dhana halisi ya ujamaa kama alivyotaka Nyerere ieleweke. Pamoja na hayo bado ilipaswa kuwa jukumu la viongozi na watu walioaminiwa na Nyerere kusimamia viwanda na makampuni ya umma kutafsiri dhana hii ya Ujamaa kwa mapana na marefu ili kuhakikisha ujamaa unaleta tija. Kwa bahati mbaya watu walioaminiwa walimwangusha Nyerere na kuingusha Tanzania kwa ujumla wake.
 
Hayo mambo ya Ujamaa wenye sifa za kichina ni porojo to za CCP.

Unapozungumzia mfumi uchumi wa ujamaa kuna mambo ya msingi yanayoufanya mfumo kuwa wa kijamaa. Hayo ni pamoja na serikali badala ya nguvu za soko kupanga nini kizalishwe, lini, wapi na nani, nani apate faida kiasi gani n.k Je, China inafanya hivyo kwa sasa??
Kuhusu china serikali ndio inapanga kila kitu kuhusu sera zote za uwekezaji , uzalisha na ufanyaji kazi mzima wa soko . Soko la china Lina amriwa na serikali namna linavyopaswa kwenda na kuwa na sio kuwa huria kujiamlia amlia lenyewe ndio maana china Kuna:-
i, State owned enterprises[ state ownership 60%- 70% ]
ii, Private enterprises [ 20%-40% ]
iii, Collective ownership[ 10%-20%]

- State ownership hapo ni mkono wa serikali moja kwa moja , Ila hapo private ownership hii ilianzishwa na Deng Xiaoping mwenyewe kwa kuanza kuruhusu mabenki ya china kukopesha watu waliokuwa na idea mbalimbali huko China 1980s na serikali ya China kujipa dhamana ya kuwa simamia pale wanapo yumba kwa mitaji na kuhakikisha kuwa serikali Ina shirikiana nao na kuwainua mpaka Wana kuwa wakubwa Kama makampuni binafsi ya Ulaya na marekani hivyo kwa maana fupi naweza sema serikali ya china iliweka uwekezaji kwenye migongo ya watu binafsi na kuzaliwa kwa makampuni binafsi yenye nguvu china na watu matajiri mfano huwawei tajiri wa Huwawei alitengenezwa na serikali ya china yenyewe umiliki wa Huwawei serikali ya china inahusika kwa asilimia kubwa Sana mpaka kuwa pale hiyo private ownership china ni Changa la macho tu Ila matajiri wote china wanawezeshwa na kutengenezwa na CPC hivyo usimamizi wa Private ownership china serikali pia Ina share zake kwa kila kampuni binafsi China na zinapata usimamizi kutoka serikalini kwa 100% refer tukio la Jack Ma. tuje kwenye collective ownership hii inahusisha shughuli za kiuchumi zinazo milikiwa na jumuia ya watu wengi huko China mfano Kijiji na hii pia ilianzishwa na huyo huyo Deng Xiaoping na serikali ya hilo eneo inapofanyika collective ownership inahusika katika usimamizi ili collective ownership iwe na manufaa . Kwa hiyo mpaka hapo pote kwenye State, Private na collective ownership serikali ya China chini ya CPC inahusika katika usimamizi na upangaji wa sera katika hizo sekta zote . china Hakuna soko huria Kama unalo lifahamu wewe bali china Kuna Government controlled market . Ndio maana matajiri wa China walivyo ni tofauti na matajiri wa marekani na ulaya . Yaani serikali ya China inawapangia matajiri wake kuwa hata faida itayopatikana katika kampuni lazima irudi kuwezesha jamii ili kuuenzi ujamaa hii kitu haipo kwenye soko huria serikali kuwapangia matajiri namna hii. Ndio maana ukaitwa ujamaa wenye sifa za kichina inabidi uusome huo ujamaa wa china namna ulivyo.
 
Hakika
Ila kikubwa US EU na shost zao wanataka kurejesha ushawishi ambao umepotea ama unapotea huko AFRIKA kufuatia ujio wa UCHINA INDIA TURKEY nakwambaali RUSSIA
Je atafanikiwa huu mkutano utaleta mwanga

Sent using Jamii Forums mobile app

Cairo, Egypt

Waziri Lavrov wa Russia aanza ziara ndefu kutembelea nchi za Afrika​

Wizara ya mambo ya nje ya Russia yatangaza ziara ya waziri wake Afrika kuweka mambo sawa

Waziri wa mambo ya nje Bw. Sergey Lavrov ameanza ziara itakayomfikisha ktk nchi nne za mwanzo za Afrika ikiwa ni mkakati wa Russia kutembelea nchi nyingi kadhaa za Afrika ili kusawazisha ushawishi wake Afrika.

Waziri huyo wa mambo ya nje Bw. Sergey Lavrov tayari yupo nchini Egypt na kisha kuelekea nchi za Ethiopia, Uganda na Democratic Republic of Congo .

Huu ni mwanzo tu wa ziara hizo ktk Afrika, ambapo nchi kadhaa za Afrika zilipotakiwa kuishutumu Russia juu ya uvamizi wake Ukraine, nchi hizo hazikuchagua kulaani wala kupiga kura za kuishutumu Russia pale Umoja wa Mataifa ulipoitisha kikao cha dharura juu ya uvamizi wa Russia ktk nchi ya Ukraine.

Nchi hizo za Afrika ambazo zilijiweka ktk msimamo wa kati kwa kati kwa kutoshutumu upande wowote katika kadhia hii ya vita baina ya Russia na Ukraine, umetoa fursa nchi na jumuiya nyingi kuanza kuzifuata na kuzizonga nchi hizo zisizoegamia upande wowote kwa kuwapelekea ushawishi wa kila aina wageukie upande mwingine ktk sakata hili la pande zinazounga mkono nchi za magharibi na zile zingine ambazo zimeamua kutojiweka upande gani zinazochagiza diplomasia zaidi itumike kutatua mgogoro unaotishia njaa, kutopatikana mbolea na gharama za maisha kupaa ktk nchi nyingi duniani.

Hii ikizingatiwa kuwa Ukraine na Russia ni wazalishaji wakubwa wa nafaka, mbolea, gesi na mafuta duniani.

Russia's Lavrov visits Egypt as part of Africa diplomacy trip​

July 24, 20225:17 AM ET
THE ASSOCIATED PRESS
ap22205311865147-8150275652675919e95065615b3c446be617a31e-s1100-c50.jpg

FILE - In this handout photo released by Russian Foreign Ministry Press Service, Russian Foreign Minister Sergey Lavrov attends a joint news conference with Hungary's Minister of Foreign Affairs and Trade Peter Szijjarto following their talks in Moscow, Russia, on July 21, 2022.
AP

CAIRO — Russian Foreign Minister Sergey Lavrov is in Cairo for talks Sunday with Egyptian officials as his country seeks to break diplomatic isolation and sanctions by the West over its invasion of Ukraine.

Lavrov landed in Cairo late Saturday, the first leg of his Africa trip that will also include stops in Ethiopia, Uganda and the Democratic Republic of Congo, according to Russia's state-run RT.

The Egyptian Foreign Ministry said Foreign Minister Sameh Shukry was holding talks with Lavrov Sunday morning.

The Russian chief diplomat was scheduled to meet later Sunday with the Arab League Secretary General Ahmed Aboul Gheit. He will also address the permanent representatives of the pan-Arab organization, RT reported.

Russia's war in Ukraine has had dire effects on the world economy, driving up oil and gas prices to unprecedented levels.

Ukraine is one of the world's largest exporters of wheat, corn and sunflower oil, but Russia's invasion of the country and naval blockade of its ports have halted shipments. Some Ukrainian grain is transported through Europe by rail, road and river, but with higher transportation costs.

The war has disrupted shipments of Russian products because shipping and insurance companies did not want to deal with Western sanctions on the country.

War in Ukraine is driving demand for Africa's natural gas. That's controversial

CLIMATE

War in Ukraine is driving demand for Africa's natural gas. That's controversial

African counties are among those most affected by ripples of the war. The prices of vital commodities skyrocketed and billions of dollars in aid have been directed to help those who fled the war in Europe. That has left millions of people in conflict areas in Africa and the Middle East suffering from worsening growing shortages in food and other assistance.

In an article posted on the Russian Foreign Ministry website, Lavrov rejected the West accusations that Russia is responsible for the global food crisis, as "another attempt to shift the blame to others."

Seeking to rally African nations on his country's side, he hailed what he called "an independent path" such nations took when they refrained from joining the West in sanctioning Russia.

"We know that the African colleagues does not approve of the undisguised attempts of the U.S. and their European satellites to gain the upper hand, and to impose a unipolar world order to the international community," he wrote in the article, which also was published in four African newspapers.

Lavrov's meetings with Egyptian officials and Arab envoys in Cairo come less than two weeks after U.S. President Joe Biden's Mideast trip. Biden met with the leaders of Israel and the Palestinian Authority, before convening a summit with the leaders of Arab Gulf countries, Egypt, Jordan and Iraq in Saudi Arabia.

Egypt, the Arab World's most populous country, refused to take sides since the war in Ukraine began in February as it maintains close ties with both Moscow and the West. Egypt is among the world's largest importers of wheat, with much of that from Russia and Ukraine.

Egypt's President Abdel Fattah el-Sissi has cultivated a close personal rapport with Russia President Vladimir Putin. Both leaders have strengthened bilateral ties considerably in the past few years.

Lavrov's visit to Cairo came as Russia's state-owned atomic energy corporation, Rosatom, began last week the construction of a four-reactor power plant it is building in Egypt.

Source : NPR.org
 
Unafikiri nini kinaweza kumfanya au kumsukuma mtumishi wa umma asimamie vizuri kwa ufanisi kiwanda au kampuni ambayo ikifanya vizuri kwa maana ya kupata faida kubwa yeye binafsi hatanufaika moja kwa moja na hiyo faida au ikipata hasara yeye binafsi hataathirika moja kwa moja na hiyo hasara??
Kinachopaswa kumsukuma mtumishi wa umma asimamie vizuri kwa ufanisi kiwanda au kampuni ni imani kwamba hicho kiwanda au kampuni ikifanya vizuri matunda yake yatamfaa yeye mwenyewe leo kwa maana Tanzania ya sasa, watoto wake mwenyewe kwa maana ya kesho, na wajuukuu na vitukuu vyake kwa maana ya Tanzania endelevu ya vizazi vijavyo.

Nafikiri wasimamizi wa mashirika ya umma na viwanda vya miaka ya 70 kama bado wapo hai leo hii watakuwa wanajionea wazi wazi ulegevu au uzembe au ujinga/upuuzi wao. Wajukuu/vitukuu vyao leo hii watasoma vyuo vikuu na kubakia kufanya umachinga na uchuuzi wa bidhaa imported kwa sababu ya uzembe wao na kutokuwa na maono. Kama hilo halipaswi kuwa incentive ya kutosha kusimamia kitu kwa moyo na kwa uzalendo, karma ipo pale pale, apandacho mtu ndicho atakachovuna.
 
Huwezi kuwapangia watu wahitaji, wazalishe na wanunue nini halafu uchumi wako usavaivu muda mrefu bila mabavu, vitisho, ukandamizaji na vurugu nyingi. Hiyo ndio sababu ya kufa kwa Ujamaa wa USSR, China ya Mao na ule wa nchi za Africa.

Kuweka sera za ufanyaji kazi wa soko inaitawa "regulations". Mataifa yote ya kibepari yanazo regulations ili kudhibiti market failures, externalities etc, sijui kwa nini wewe unafikiri au kuaminishwa hilo ni jambo la kipekee sana linalofanywa huko China tu.

Kuna tofauti kubwa ya serikali kuweka udhibiti kwenye soko huria pamoja kutoa huduma muhimu sana ambazo hakuna mtu aliye tayari kuzitoa NA serikali kuwa inamiliki viwanda vya bidhaa, mashamba, Ranchi, fremu za maduka, inapanga kiasi cha uzalishaji, nani apate kiasi gani, nani azalishe nini.

Nchi nyingi zipi hizo SOEs, hapa Tanzania ni pamoja na ATCL. Ulaya na US kuna kampuni/masharika ya reli, nyuklia, maji, ndege ambayo bado serikali ina mkono wake.

Matajiri wa China ni kama matajiri wengine wa Ulaya, Russia na Africa kuwalazimishwa na serikali ya China kutoa utajiri wao kuwasaidia maskini ni udikteta tu wa CCP lakini miongo mingi sasa wasipoikosoa CCP wala imekuwa haifuatilii utajiri wao.
Kuhusu china serikali ndio inapanga kila kitu kuhusu sera zote za uwekezaji , uzalisha na ufanyaji kazi mzima wa soko . Soko la china Lina amriwa na serikali namna linavyopaswa kwenda na kuwa na sio kuwa huria kujiamlia amlia lenyewe ndio maana china Kuna:-
i, State owned enterprises[ state ownership 60%- 70% ]
ii, Private enterprises [ 20%-40% ]
iii, Collective ownership[ 10%-20%]

- State ownership hapo ni mkono wa serikali moja kwa moja , Ila hapo private ownership hii ilianzishwa na Deng Xiaoping mwenyewe kwa kuanza kuruhusu mabenki ya china kukopesha watu waliokuwa na idea mbalimbali huko China 1980s na serikali ya China kujipa dhamana ya kuwa simamia pale wanapo yumba kwa mitaji na kuhakikisha kuwa serikali Ina shirikiana nao na kuwainua mpaka Wana kuwa wakubwa Kama makampuni binafsi ya Ulaya na marekani hivyo kwa maana fupi naweza sema serikali ya china iliweka uwekezaji kwenye migongo ya watu binafsi na kuzaliwa kwa makampuni binafsi yenye nguvu china na watu matajiri mfano huwawei tajiri wa Huwawei alitengenezwa na serikali ya china yenyewe umiliki wa Huwawei serikali ya china inahusika kwa asilimia kubwa Sana mpaka kuwa pale hiyo private ownership china ni Changa la macho tu Ila matajiri wote china wanawezeshwa na kutengenezwa na CPC hivyo usimamizi wa Private ownership china serikali pia Ina share zake kwa kila kampuni binafsi China na zinapata usimamizi kutoka serikalini kwa 100% refer tukio la Jack Ma. tuje kwenye collective ownership hii inahusisha shughuli za kiuchumi zinazo milikiwa na jumuia ya watu wengi huko China mfano Kijiji na hii pia ilianzishwa na huyo huyo Deng Xiaoping na serikali ya hilo eneo inapofanyika collective ownership inahusika katika usimamizi ili collective ownership iwe na manufaa . Kwa hiyo mpaka hapo pote kwenye State, Private na collective ownership serikali ya China chini ya CPC inahusika katika usimamizi na upangaji wa sera katika hizo sekta zote . china Hakuna soko huria Kama unalo lifahamu wewe bali china Kuna Government controlled market . Ndio maana matajiri wa China walivyo ni tofauti na matajiri wa marekani na ulaya . Yaani serikali ya China inawapangia matajiri wake kuwa hata faida itayopatikana katika kampuni lazima irudi kuwezesha jamii ili kuuenzi ujamaa hii kitu haipo kwenye soko huria serikali kuwapangia matajiri namna hii. Ndio maana ukaitwa ujamaa wenye sifa za kichina inabidi uusome huo ujamaa wa china namna ulivyo.
 
Bahati mbaya sana linapokuja suala la uchumi na biashara binadamu wengi hawafanyi mambo kwa IMANI bali kwa FAIDA na MASLAHI BINAFSI ya moja kwa moja.
Kinachopaswa kumsukuma mtumishi wa umma asimamie vizuri kwa ufanisi kiwanda au kampuni ni imani kwamba hicho kiwanda au kampuni ikifanya vizuri matunda yake yatamfaa yeye mwenyewe leo kwa maana Tanzania ya sasa, watoto wake mwenyewe kwa maana ya kesho, na wajuukuu na vitukuu vyake kwa maana ya Tanzania endelevu ya vizazi vijavyo.

Nafikiri wasimamizi wa mashirika ya umma na viwanda vya miaka ya 70 kama bado wapo hai leo hii watakuwa wanajionea wazi wazi ulegevu au uzembe au ujinga/upuuzi wao. Wajukuu/vitukuu vyao leo hii watasoma vyuo vikuu na kubakia kufanya umachinga na uchuuzi wa bidhaa imported kwa sababu ya uzembe wao na kutokuwa na maono. Kama hilo halipaswi kuwa incentive ya kutosha kusimamia kitu kwa moyo na kwa uzalendo, karma ipo pale pale, apandacho mtu ndicho atakachovuna.
 
Huwezi kuwapangia watu wahitaji, wazalishe na wanunue nini halafu uchumi wako usavaivu muda mrefu bila mabavu, vitisho, ukandamizaji na vurugu nyingi. Hiyo ndio sababu ya kufa kwa Ujamaa wa USSR, China ya Mao na ule wa nchi za Africa.

Kuweka sera za ufanyaji kazi wa soko inaitawa "regulations". Mataifa yote ya kibepari yanazo regulations ili kudhibiti market failures, externalities etc, sijui kwa nini wewe unafikiri au kuaminishwa hilo ni jambo la kipekee sana linalofanywa huko China tu.

Kuna tofauti kubwa ya serikali kuweka udhibiti kwenye soko huria pamoja kutoa huduma muhimu sana ambazo hakuna mtu aliye tayari kuzitoa NA serikali kuwa inamiliki viwanda vya bidhaa, mashamba, Ranchi, fremu za maduka, inapanga kiasi cha uzalishaji, nani apate kiasi gani, nani azalishe nini.

Nchi nyingi zipi hizo SOEs, hapa Tanzania ni pamoja na ATCL. Ulaya na US kuna kampuni/masharika ya reli, nyuklia, maji, ndege ambayo bado serikali ina mkono wake.

Matajiri wa China ni kama matajiri wengine wa Ulaya, Russia na Africa kuwalazimishwa na serikali ya China kutoa utajiri wao kuwasaidia maskini ni udikteta tu wa CCP lakini miongo mingi sasa wasipoikosoa CCP wala imekuwa haifuatilii utajiri wao.
Ujamaa wa enzi za Nyerere wa serikali kumiliki hadi maduka inawezekana ulikuwa na mapungufu yake. Lakini dhana kwamba basi duka likimilikiwa na serikali lazima lifanye vibaya kisa ni duka la umma ni dalili za ubovu wa mtu anayesimamia duka kuliko ubovu wa dhana yenyewe ya ujamaa. Ufanisi wa sekta binafsi hautokani na ubora wa dhana ya ubepari bali unatokana na usimamizi thabiti. Ujamaa kama imani ukiambatana na watu wanaoweza kutafsiri kwa usahihi dhana hii mi nafikiri ni mfumo unaoweza kuifikisha nchi mbali.
 
Tatizo umekwisha Jenga fikra hasi kichwani kwako kuwa ujamaa ni udikteta hivyo kwako unaweka hata ugumu wa kutaka kuamini kuwa wafanyacho china ni ujamaa kwa mfumo wao wewe unaona faida zipatikanazo kwenye makampuni ya kichina kurudishwa na kusaidia wengi china ni udikteta lakini unasahau kuwa ujamaa hivyo ndivyo unavyo taka Ila wewe unaita udikteta . Pia unasema serikali ya china iliacha kufatilia makampuni binafsi huko china hicho kitu hakipo tokea wakati wa Deng Xiaoping mpaka Sasa makampuni binafsi huko china serikali Ina share na wala hayajiendeshi yenyewe hakuna ubepari duniani unaofanana na wa china Hakuna mahali popote ubepari wa namna ile China inawekeza pesa na kutengeneza matajiri kutoka katika mwavuli wa CPC china matajiri hawachipuki Kama mchicha wanatengenezwa na CPC na hii ni kutoka utawala wa Deng Xiaoping mpaka Sasa China makampuni hajiendeshi bila ya kusimamiwa na serikali hichi kitu hakipo na sidhani kama kitakuja kutokea .
 
Bahati mbaya sana linapokuja suala la uchumi na biashara binadamu wengi hawafanyi mambo kwa IMANI bali kwa FAIDA na MASLAHI BINAFSI ya moja kwa moja.
Wow, you sound like a REAL ELITE. I love that.

Except you need to make a little improvement on your vocabulary.

Elites use ASSERTIVE WORDS. They don't prefer sympathetic linguistic tones.

I am sure you will work on that — And i expect BIG CHANGES from you.

ELITE-TARD.
 
Ujamaa wa enzi za Nyerere wa serikali kumiliki hadi maduka inawezekana ulikuwa na mapungufu yake. Lakini dhana kwamba basi duka likimilikiwa na serikali lazima lifanye vibaya kisa ni duka la umma ni dalili za ubovu wa mtu anayesimamia duka kuliko ubovu wa dhana yenyewe ya ujamaa. Ufanisi wa sekta binafsi hautokani na ubora wa dhana ya ubepari bali unatokana na usimamizi thabiti. Ujamaa kama imani ukiambatana na watu wanaoweza kutafsiri kwa usahihi dhana hii mi nafikiri ni mfumo unaoweza kuifikisha nchi mbali.
Inapaswa atazame hata makampuni makubwa duniani kutoka china yote ni State ownership Hakuna ubepari wa namna hii serikali kwa asilimia kubwa kufanya biashara . Ujamaa wa kichina unafanikiwa kutokana na serikali yao kuwa na wataalamu wa kuweza kusimamia na kuendesha makampuni na pia kutokana na uwajibikaji na uzalendo walio nao wachina hii hupelekea makampuni yao ya umma kufanikiwa na kuwa makubwa duniani kitu ambacho sisi tulishindwa.
 
Bahati mbaya sana linapokuja suala la uchumi na biashara binadamu wengi hawafanyi mambo kwa IMANI bali kwa FAIDA na MASLAHI BINAFSI ya moja kwa moja.
Faida na maslahi ya moja kwa moja kwani hayajazingatiwa katika mfumo au imani ya kijamaa? Mameneja wa viwanda na mashirika ya umma miaka ya 70 walilipwa maslahi ya moja kwa moja yaliyoendana na uchumi wa Tanzania ya miaka hiyo. Kwamba meneja wa factory ya kutengeneza baskeli ya Swala mwaka 1970 alitamani apate maslahi sawa na CEO wa kiwanda cha Phoenix China haikuwa sahihi. Ndiko huko kukosa maono ya muda mfupi na muda mrefu kwa viongozi wetu na wasimamizi wetu wa miaka hiyo ninakokuzungumzia. Nchi yetu wakati ule ndipo mara tu imetoka katika makucha ya ukoloni na ndo inaanza kuchukua baby steps za kujitegemea, na baadhi ya hatua za uchumi zilizochukuliwa wakati huo zilikuwa za lazima.
 
Inapaswa atazame hata makampuni makubwa duniani kutoka china yote ni State ownership Hakuna ubepari wa namna hii serikali kwa asilimia kubwa kufanya biashara . Ujamaa wa kichina unafanikiwa kutokana na serikali yao kuwa na wataalamu wa kuweza kusimamia na kuendesha makampuni na pia kutokana na uwajibikaji na uzalendo walio nao wachina hii hupelekea makampuni yao ya umma kufanikiwa na kuwa makubwa duniani kitu ambacho sisi tulishindwa.
Ni kijana mzuri twende nae pole pole. Pengine anautizama ubepari na ujamaa kama pande mbili zinazokinzana. Ni vizuri pia ajue kwamba ujamaa na ubepari vinaweza kuwa pande mbili za shilingi: upande mmoja unaosaidis upande mwingine, reciprocally.
 
Dah, CocaCola unayokunywa imezalishwa moja kwa moja Marekani? Lakini kwa kila elfu moja ya CocaCola kuna kama mia tano hivi inamwendea mmarekani. Hata mbegu za mahindi ndivyo hivyo hivyo. Popote zinapozalishwa teknolojia ya aina ya mbegu ni ya wamagharibi na hizo mbegu unavyozinunua kila msimu kuna senti zinamnufaisha mwenye trademark.

Hilo la bidhaa za wamagharibi kutoka China kwamba hatuzimudu nisilizungumzie sana. Sidhani kama tuna uwezo wa kutofautisha kati made in China ambazo asili yake ni Marekani na made in China ambazo asili yake ni China zinazoingizwa Tanzania. Kuna watanzania wanaweza kuafford bidhaa kutoka popote pale, tena original, na hapa suala la msingi siyo product imetoka wapi au nani anafaidika. Suala la msingi ni mifumo ya uchumi wa dunia iliyoasisiwa na marekani na washirika wake ambavyo imefanya hata kale ka uwezo ketu kadogo ka ubunifu na uzalishaji kalikoanza kujengwa awamu ya Nyerere na viwanda vyake, na aina ya elimu na maarifa yaliyokuwa yakitolewa mashuleni wakati ule, kalivyofutika kabisa kabisa.

Mmarekani hapa anajitokeza kwa sababu thread inamhusu Biden na dhana ya "Power Afrika".

Ushahidi wa unayoongelea kuhusu mbegu uko wapi? Weka source hapa. Kama huna source basi unaongea conspiracy theories tu.

Bidhaa za Marekani na Ulaya wanazimudu wangapi? Wachache sana. Hata enzi za Nyerere kuna wachache waliokuwa wanauwezo wa kusafiri na kurudi na bidhaa za Ulaya na Marekani. Sasa hao Wamarekani wauwe viwanda vyetu wakati vitu vyao Watanzania wengi hawavimudu ni vichekesho.
 
Ni kijana mzuri twende nae pole pole. Pengine anautizama ubepari na ujamaa kama pande mbili zinazokinzana. Ni vizuri pia ajue kwamba ujamaa na ubepari vinaweza kuwa pande mbili za shilingi: upande mmoja unaosaidis upande mwingine, reciprocally.
Hicho ni kitu na sababu moja wapo Mimi kujiita mjamaa wa kisasa . Mimi na ungana na kundi moja na wakina Deng Xiaoping, Xi Zhongxun, Zhao Ziyang, Xi Jinping, Hu Jintao na wengine wengi walio amua kufanya ujamaa unaobadilika kutokana. Na mazingira na wakati .Ujamaa haupaswi kuonekana Kama mfumo uliodumaa usio kua hicho kitu Mimi nakipinga vikali tena nachukizwa na nafadhaishwa niki kutana na watu wenye fikra hasi wenye kuamini kuwa ujamaa ni mfumo uliojifungia katika chumba kimoja cha fikra . Wana lazimisha ujamaa lazima uwe Kama ule wa wakati wa Mwalimu Nyerere, Mao Zedong, Lenin Wana sahau kuwa ujamaa ni mfumo wa kibinadamu ulioanzishwa na binadamu hivyo kadiri binadamu anavyo kua kifikra vivo hivyo fikra za Kijamaa lazima zikue na zibadilike pale penye kuhitaji mabadiliko. Wakati Father Karl max anaandika falsafa za Kijamaa miaka ya 1800s haimainishi kuwa fikra zile za Kijamaa zilizoandikwa miaka hiyo Basi lazima zibaki hivyo hivyo hata miaka ya 3050 hicho kitu sio sahihi lazima Kuna falsafa za Karl max juu ya ujamaa za miaka ile lazima kwa Sasa ziwe zina mabadiliko kidogo na hapo ndipo Chuma Deng Xiaoping alishinda Deng alifahaamu fika kuwa lazima ujamaa ubadilike kutokana na wakati ni lazima uruhusu mawazo mema yenye manufaa kuingia ndio maana wengi wanao amini ujamaa ni ule tu wa Mwalimu , Mao, Lenin, wakiiona huu ujamaa wa china ya Sasa ulio sukwa na Deng Xiaoping wao wanakimbilia kuuvisha kilemba Cha ubepari wakati sivyo . Ujamaa ni mfumo ulio hai hivyo unahitaji mabadiliko pale kwenye kuhitaji mabadiliko haupaswi kuonekana kuwa ni mfumo mfu siku zote toka wakati Karl Marx anaandika falsafa miaka ya 1800s mpaka miaka yote uendelee kuwa hivyo hicho kitu hakipaswi kutambulika hivyo na hapa ndipo wengi Wana shindwa kufaulu.
 
Back
Top Bottom