Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Africa kwa majadiliano Washington

Mkuu, nina maarifa ya kutosha kwenye vitu ninavyoviongea.

Siyo tu wanaweza kuua huto tuviwanda twetu, wanaua hata watu wetu wenye kuwaletea vikwazo kwenye ajenda yao ya global dominance. Au napo utataka nilete ushahidi?
 
Dah ! Ila kuna ukweli Kwa hili aisee , inauma
 
Tupo pamoja sana katika hili.
 

Mbona yapo makampuni mengine ya mbegu hapo hapo kwenye hiyo website?


Halafu mbegu za Monsanto na soda za CocaCola wakati mbegu na soda zingine zinapatikana, ndiyo sababu za kuuwa viwanda tulivyoachiwa na wakoloni? Conspiracy theories tuu.

Ukitaka kujua kwa nini viwanda vilikufa msikilize Professor Ayittey achana na conspiracy theories

 
Na hii ndio naamini hii ndio failure yetu Hasa subsaharan countries zote , with exception labda ya South Africa , Sisi waAfrica tukiendelea na hii mentality ya consumerism with negligible productivity kamwe hatutoboi .

Trade imbalance ni tatizo kubwa Sana ,na ni uzezeta WA serikali zetu
 
Umeniomba ushahidi kuhusu mbegu za marekani kuuzwa Tanzania nimekupa. Suala la kwamba kuna makampuni mengine pia yanauza mbegu nje ya kampuni za Marekani hilo ni suala jingine. Na bado hapo haujui nani yupo nyuma ya hayo makampuni mengine yasiyomtaja Marekani moja kwa moja kwenye frontline branding.

Na pia nimekumbuka kuwa sikukujibu kuhusu origins za viwanda vya Nyerere. Naona unasisitiza kwamba viwanda hivi aidha kwa vile viliachwa na wakoloni au vilianzishwa kwa msaada wa wakoloni basi somehow hakukuwa na incentive yoyote ya wakoloni kuviua. Hii hoja yako bado niendelee kuiweka pending kwa sababu majibu yake siyo black and white kiviile. Lakini itoshe tu kukushawishi kwamba Nyerere alijenga viwanda vingi vipya ambavyo havikuachwa na wakoloni na sina muda wa kuvilist hapa. Vigoogle mwenyewe.
 
kwann hiyo mifumo iliua viwanda vya afrika na kumuacha China akamate soko ? je kwann hawakuua viwanda vya nchi za Asia au Wanawapenda Asia sn ? tuende mbele turud nyuma sisi ndo tumejiua wenyew mf hata ss hv ule msaada wa corona ukiuliza umetumikaj haielewek yaan Dunian waafrika tungekuwa pekee yetu basi tungekuwa msituni mpk leo
 

Kama hujui kwa nini unaandika kama unajua? Conspiracy theories tu. Hoja yako toka mwanzo ni Wamarekani wamefanya njama kuuwa viwanda ili tubaki soko. Sasa kama mbegu zingine zinapatikana, soda zingine zinapatikana tumebakije kuwa soko tuu? Na viwanda vilivyokufa vingi ni vitu tunavyotoa China siyo magharibi.

Viwanda vilivyojengwa na misaada navyo unasema vilijengwa na Nyerere. Vilivyoachwa na wakoloni navyo unaviita vya Nyerere. Kazi kweli.
 
unapiga kelel ikifika asubui unakumbuk uliempigia kelele ndo anakuleteaga mkate wa chai na ndo ushazoea tena huna namna utaweza vp kuwakabili wale wa dozi ya ukimwi au tb au chanjo bure je vitabu vya mashuleni vp kuhus sekta ya kiusalama , itakubid ukubali tu POWER AFRICA DEVELOPMENT PARTNERS sbb imeundwa system kukulazimish ukubali au upoteze vyote
 
Viwanda viliendeshwa kwa hasara kwa muda mrefu tuu. Mfano mzuri ni TBL. Nyerere alivyokitaifisha kilikula hasara sana. Cha kushangaza nchi ya wanywa bia kama Tanzania kiwanda kitaendeshwaje kwa hasara? Hapo ndiyo utajua wanaolaumu Marekani na nchi za magharibi hawasemi ukweli au wanasambaza conspiracy theories tuu.
 
Leta pia na ya NATO na wenzie
ttzo la uchiz huanzia hapo baada ya kutetea unaemshabikia unataka nkusaidie kumjadili unaemchukia , inaonesha unapenda bila kuwa na sabab za msingi na matokeo yake ndo hayo , hujui kipi kinakuvutia kwa Urusi
 
Pumba sijaona strong reason ya kutetea ujamaa yaan ardhi yangu ila serikali ina haki zaid ya mm nlienunua ardhi ? serikali za kidikteta ?
 
Eti Afrika ni makao makuu ya comedy duniani[emoji1][emoji1][emoji119][emoji119] .daah mkuu umenivunja mbavu , Afrika sijui tumelaaniwa
mtu ana ndevu anasema hatujaendelea kwasabab ya Mabeberu , mtu wa hv huwa namuona km kichaa , yaan uachiwe mirad still hutak kuiifunza kuiendesha unategemea miujiza , no research no future targets , Tumeua viwanda tumeia reli ya kati , mabas ya mwendokasi huu mwaka wa 7 ila yamechoka yanakaribia kufanana na yale ya 1980s imagine after 25 yrs yatakwepo kwel ? makampuni mengi yamefer kiufup tunajiua wenyew plus undugu na siasa nying hadi kweny elimu , usalama na ulinzi , Afya . Kwa hali hii mtu mzm anadiriki kusema ni mabeberu ndo chanzo , baada ya miaka 50 tutamuona China km mchawi kwa ujinga wetu wenyew
 
mitizamo ya kike hiyo yaan unaacha unapoweza , kufuata palipomalizwa na mwingine hlf unamlaumu kwann ulifuata product yake
 
Hilo ni swali zuri sana kwa kweli. I'd say kwamba you are very much right kwamba kipindi kile Marekani alivyokuwa akipigana vita baridi alipigana kotekote kuhakikisha anasimamisha mfumo wa dunia utakaomfavour yeye. Hata nchi za Asia alipigana, refer Vietnam War. Majibu yangu kwa nini Asia iliibuka ikiwa productive baada ya vita baridi nadhani ni combination ya uongozi bora mfano Singapore, Thailand, South Korea, Indonesia, uzalendo wa watu wa Asia plus the fact kwamba wamarekani waliona fursa ya uwingi wa watu wa Asia na kuamua kutengeneza win-win partnership.

Hakuna anayepinga win-win partneship kati ya Westerners na nchi za Afrika hata leo hii. Ila kwetu hapa sioni kama westerners walikuwa tayari kufanya partnership za aina hiyo kwa sababu wanazozijua wao.

Kuhusu kuwaacha China wakamate soko, hilo hata wao limewakamata by surprise. Hawapendi na hawakutegemea. Credit ziende kwa China aliyeweweza kuona fursa ambapo wamagharibi pamoja na ujanja wao hawakuiona. Nguvu ya China kwa sasa ni next level.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…